Je, Msajili wa Vyama vya siasa alikaa lini na IGP akaambiwa kuna kikao?

Kwa hiyo kwa maoni yako suluhu ni kukubali kuendelea "kulazimishwa kutii" milele?
Ingekuwa hivyo si basi tungekuwa bado wakoloni tunao hapa au?
 
Mkuu, ninachojua ni kwamba hakuna jambo linalodumu milele.

CCM wamejiwekea mazingira ya kujiondoa madarakani. Kama hapatatokea watu wachache waliosalia huko ndani ya chama hicho wakachukua hatua haraka na kubadili mwenendo wa chama ulivyo sasa, uhai wa chama hicho utakuwa unaelekea ukingoni.
 
kuhusu uhuru muda wa wakoloni kutawala uliisha kulingana na mikataba ya kimataifa, ndiyo maana unaona hakuna nchi inayotawaliwa tena. Kati ya wote Madela pekee yake ndiyo alipata shida wengine utadanganywa
Nimekusoma mara kadhaa humu ukirudiarudia upuuzi huu kiasi kwamba sasa unajiona bingwa juu yake na kuendelea kueneza upumbavu ukidhani wewe ni mjuaji sana.
Ngoja nikuachie hapa ujitafakari kwanza. Ukiwa na akili nzuri utaona upotofu mkubwa katika dhana hii ya kipuuzi kabisa.
 
Walevi hao. Nashauri vyama makini vipuuze kikao hicho haramu kisichokuwa na uhalali wowote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Walevi!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa upande wangu nakiona ni kikao muhimu sn sababu watakaoendelea kuumia ni vyama vya upinzani, Sirro ana mabomu, risasi, mahabusu na mahakama ndiyo kinachompa kiburi, vita yoyote ile humalizwa kwa mazungumzo.
Mkuu tatizo haliko Kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na Vyama vyenyewe wala Kwa IGP Bali tatizo kuu liko kwenye TAMKO la M/Kiti wa CCM Taifa. Yeye ndiye angeitwa na Msajili kulitolea ufafanuzi tamko lake. Nchi hii bila Katiba Mpya Rais ataendelea kutumia Mamlaka yake vibaya kukinufaisha Chama chake Huku akiwaumiza wengine.
 
Hawezi kumuita sababu ni mamlaka yake ya uteuzi
 
Mpuuzi wewe utanisaidia nini? baki na shida zako huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…