Apo sawa usirudie tenaMushkeli kwa watekelezaji WA ndoa hizo na sio Allah azza WA jallah
Sasa turudi kwenye swali langu
Kwenye ndoa ya Mutah mtoto alikuwa anapewa jina la baba yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apo sawa usirudie tenaMushkeli kwa watekelezaji WA ndoa hizo na sio Allah azza WA jallah
Ujue Mimi mwenyewe ni mwanafunzi WA Cuba!Apo sawa usirudie tena
Sasa turudi kwenye swali langu
Kwenye ndoa ya Mutah mtoto alikuwa anapewa jina la baba yupi?
Ililetwa kwa wanaume ambao wapo mbali na wake zaoUjue Mimi mwenyewe ni mwanafunzi WA Cuba!
Kwahiyo usinitoe kwenye reli!
Jibu swali langu Kwanza,je unajua makusudio ya ndoa hizo? Halafu tutaendelea na mjadala
Ililetwa kwa wanaume ambao wapo mbali na wake zao
Vitani au safarini
Mtoto atakae zaliwa kwenye ndoa ya siku 3 alikuwa anapewa jina la baba yupi?
-Kumbuka sio vitani tu ata ukiwa safarini Yani upo mbali na wake zakoHakukuwa na ndoa ya siku tatu, mara nyingi vitani huchukua Mda mrefu na ndio wale wacha Mungu waliogopa kufanya uchafu na kuoa.
-Kumbuka sio vitani tu ata ukiwa safarini Yani upo mbali na wake zako
-Pia kumbuka waislamu mpaka Leo hii Kuna wapo vitani na Kuna wanaosafiri
-mutah sio ndoa ila walio translate ndio walilizimisha Kuweka neno ndoa na ata kwenye Uislamu hakuna neno ndoa ila neno lilitumika ni nika Yani F word
Allah alisema ni siku tatu ukitaka kuongeza unaweza , hili la eda weka uthibitisho kwamba ndoa ya Mutah Kuna eda
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
Hii Ina maana Sahih al-Bukhari kitabu chake ni takataka kwakoHakuna ndoa kama hiyo
Yani ndoa ya siku tatu.
Halafu mwanamke na mwanaume Tu kukubaliana kuona wenyewe pasina mashahidi,pasina maharimu hapana kitu kama hicho
Samahani Mkuu nna swali moja linaleta utata.Nimeshuhudia kuna Mzee mmoja alikuwa ni Mwislamu(ameshatangulia mbele za haki),aliwajengea wanawake wawili nyumba mbili,kila mwanamke na nyumba yake,ila hakufunga nao ndoa alikuwa anaishi hivyohivyo na kuzaa nao watoto.Hadi anakufa hakuwahi kufunga ndoa..Sasa swali ni kwamba hapo watoto ni haki ya Baba yao au Mama zao.? Naomba jibu hapa tafadhali maana watoto wamegawanyika,wengine wamefuata Imani kwa Baba na wengine upande wa Mama zao maana akina Mama sio Waislamu.Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika.
Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye kisheria anatambulika kama mtoto wa mama aliye mzaa Tu.
Ingawa kikawaida atafahamika kama mtoto wa Baba Fulani lkn kidini huyo Baba hatambuliki na hivyo kuna haki Fulani ambazo Baba hawezi kumfanyia mtoto wake.
Moja wapo ni huyo mtoto hafai kuitwa Jina la ubini WA Baba yake,Hilo Jambo ni haramu Sana na Mungu ameshalikemea tayari, ingawa Kwa bahati mbaya Sana Kwa kutojua wengi wamewapa majina ya ubini wao hao watoto wa nje ya ndoa.
Na lingine ni kumuozesha kwenye ndoa, Baba Hana haki ya kumuozesha binti yake WA nje ya ndoa Kwa mumewe kwani ndoa hiyo ni batili na haifai kabisa.
Lingine huyo mtoto hawezi kumrithi Baba yake kwasababu kisheria huyo mtoto sio WA huyo Baba,Bali Baba anaweza kumpa sehemu ya Mali huyo mtoto,lkn mara Tu huyo Baba anapokufa basi huyo mtoto Hana haki ya Kurithi chochote.
Lakini sio vibaya huyo Baba kumhudumia huyo kijana Kwa malezi na mahitaji mbali mbali maadam Tu yeye ndiye sababu ya kuja Hicho kiumbe hapa duniani.
Na mtoto ambaye Hana Baba kisheria anaweza kuitwa Kwa jina la mama yake, Kwa mfano ETUGRUL BEY ASHA au Kwa jina la ubini Kwa upande wa mama yake.
Kubwa ni kutambua uzao mzuri ambao hata kizazi chako kinaweza pata haki stahiki ni kizazi ambacho kinatokana na ndoa takatifu ambayo IPO Kwa mujibu wa Sheria.
Na hata wale ambao wanafunga ndoa za kiserikali basi watambue kidini Hicho kizazi Chao hakitambuliki na Sheria za Dini Kwa maana Baba Hana watoto hapo Ila watoto ni WA mama.
Ni hayo Tu!
Kazakh destroyer
Msonjo
Nurain
adriz
professional Driver
baby zu
Hapo watoto ni haki ya mama zao,,kifupi ni hivi kinachompa haki ya watoto baba mtu ni ndoa tu na si nje ya hapoSamahani Mkuu nna swali moja linaleta utata.Nimeshuhudia kuna Mzee mmoja alikuwa ni Mwislamu(ameshatangulia mbele za haki),aliwajengea wanawake wawili nyumba mbili,kila mwanamke na nyumba yake,ila hakufunga nao ndoa alikuwa anaishi hivyohivyo na kuzaa nao watoto.Hadi anakufa hakuwahi kufunga ndoa..Sasa swali ni kwamba hapo watoto ni haki ya Baba yao au Mama zao.? Naomba jibu hapa tafadhali maana watoto wamegawanyika,wengine wamefuata Imani kwa Baba na wengine upande wa Mama zao maana akina Mama sio Waislamu.
kama ni hivyo hiyo dini ni ya kuikimbia, kwani mtoto ana kosa gani? makosa ya wazazi anaadhibiwa mtoto, ni dini ya haki hiyo?Hapo watoto ni haki ya mama zao,,kifupi ni hivi kinachompa haki ya watoto baba mtu ni ndoa tu na si nje ya hapo
Kwa hiyo chimbuko la uislam ni Ishmael ( mtoto wa nje ya ndoa )hiyo dini ni ya waishmael, kwa mnaomjua Ishmael alikuwa mtoto wa kambo (mtoto haram kwa mujibu wa uislam) wa Ibrahim aliyezaa na housegirl wake Hajir wakati mkewe Sara akiwa hapohapo. kwenye urithi, mtoto huyu wa kambo Ishmael hakupewa chochote zaidi ya kuambiwa akazaliane, urithi wa Ibrahim ulienda kwa Isaka mtoto wa ndoa wa Sara.
kuanzia hapo, wakaanzisha chuki dhidi ya wajukuu wa Isaka (ambao ni wayahudi/waisrael) hadi leo, na hadi kuran inawaita "mayahudi" sio wayahudi. kwasababu wao walikuwa watoto haram, hawakukumbuka machungu babu yao alipitia, bado wakatangaza kuwa mtoto wa nje ni haram asirithi hadi leo. ni kama masikini hua hataki kukaa pamoja na masikini anaweza kukandamiza maskini wenzie ili asionekane maskini, nao kwasababu ni watoto wa kambo ile ukambo wanauchukia hadi leo na wanakandamiza watoto wa kambo wenzao bila kukumbuka kwamba na wao walinyimwa hadi urithi kwasababu ya ukambo.
Bahati mbaya huu mjadala nilishaufunga tayarkama ni hivyo hiyo dini ni ya kuikimbia, kwani mtoto ana kosa gani? makosa ya wazazi anaadhibiwa mtoto, ni dini ya haki hiyo?
tutafungua mwingine ili tuwaambie watu waikimbie hiyo dini sio ya haki. ndio maana unakosa hata point kuitetea kwenye kipengele hicho.Bahati mbaya huu mjadala nilishaufunga tayar
Tuache na uislamu wetu
Shukrani
ndio. mtoto wa housegirl. kama hujui, mood ni Mwarabu wa ukoo uleule wa Ishmael. hao waarabu halisi ni waishmael.Kwa hiyo chimbuko la uislam ni Ishmael ( mtoto wa nje ya ndoa )
Uislam wenu UPI?.Bahati mbaya huu mjadala nilishaufunga tayar
Tuache na uislamu wetu
Shukrani
Sawa nimekuelewa,na suala la Imani vipi,watoto wana uhuru wa kuchagua wawe kwenye Imani ipi,maana Imani ya Baba watoto hawana elimu nayo kabisa hawajui lolote lile ingawa wengine wamefuata kwa BabaHapo watoto ni haki ya mama zao,,kifupi ni hivi kinachompa haki ya watoto baba mtu ni ndoa tu na si nje ya hapo
Watoto wana haki ya kuchagua imani ipi wanataka kuifuata,,,mafundisho ya uislamu yanasema hivi "halazimishwi mtu kuingia katika dini" ni tofauti na watu wengine wanavyosema kuwa uislamu ulienezwa na mapanga kitu ambacho si sahihiSawa nimekuelewa,na suala la Imani vipi,watoto wana uhuru wa kuchagua wawe kwenye Imani ipi,maana Imani ya Baba watoto hawana elimu nayo kabisa hawajui lolote lile ingawa wengine wamefuata kwa Baba