Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Apo sawa usirudie tena

Sasa turudi kwenye swali langu
Kwenye ndoa ya Mutah mtoto alikuwa anapewa jina la baba yupi?
Ujue Mimi mwenyewe ni mwanafunzi WA Cuba!

Kwahiyo usinitoe kwenye reli!

Jibu swali langu Kwanza,je unajua makusudio ya ndoa hizo? Halafu tutaendelea na mjadala
 
Ujue Mimi mwenyewe ni mwanafunzi WA Cuba!

Kwahiyo usinitoe kwenye reli!

Jibu swali langu Kwanza,je unajua makusudio ya ndoa hizo? Halafu tutaendelea na mjadala
Ililetwa kwa wanaume ambao wapo mbali na wake zao
Vitani au safarini

Mtoto atakae zaliwa kwenye ndoa ya siku 3 alikuwa anapewa jina la baba yupi?
 
Ililetwa kwa wanaume ambao wapo mbali na wake zao
Vitani au safarini

Mtoto atakae zaliwa kwenye ndoa ya siku 3 alikuwa anapewa jina la baba yupi?

Hakukuwa na ndoa ya siku tatu, mara nyingi vitani huchukua Mda mrefu na ndio wale wacha Mungu waliogopa kufanya uchafu na kuoa.

Kwahiyo naomba nirudie tena kuna ambao wanasema hizo hazikuwepo Kwa maana nyingine kuna kauli mbili

Sasa tuje Kwa mfano kwenye mlengo kwamba hizo ndoa zilikuwepo,kama zilikuwepo basi masharti ya eda yapo pale pale,atakaa miezi mitatu na kuangaliwa kama mjamzito,kama mjamzito ina maada eda yake mpaka mke atakapo jifungua,na hakuna ubishi hapo maadamu hiyo ni ndoa basi mtoto ataitwa Kwa jina la Baba

Lakini

Kuna kauli kubwa Sana kwamba hizo ndoa hazikuwepo Kwa maana kwamba ndoa zilikusudiwa kujenga jamii imara na kuendelea kizazi na sio kuwa na ndoa ambazo baadae kizazi kinaparanyika
 
Hakukuwa na ndoa ya siku tatu, mara nyingi vitani huchukua Mda mrefu na ndio wale wacha Mungu waliogopa kufanya uchafu na kuoa.
-Kumbuka sio vitani tu ata ukiwa safarini Yani upo mbali na wake zako
-Pia kumbuka waislamu mpaka Leo hii Kuna wapo vitani na Kuna wanaosafiri
-mutah sio ndoa ila walio translate ndio walilizimisha Kuweka neno ndoa na ata kwenye Uislamu hakuna neno ndoa ila neno lilitumika ni nika Yani F word

Allah alisema ni siku tatu ukitaka kuongeza unaweza , hili la eda weka uthibitisho kwamba ndoa ya Mutah Kuna eda

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Hakuna ndoa kama hiyo

Yani ndoa ya siku tatu.

Halafu mwanamke na mwanaume Tu kukubaliana kuona wenyewe pasina mashahidi,pasina maharimu hapana kitu kama hicho
 
Hakuna ndoa kama hiyo

Yani ndoa ya siku tatu.

Halafu mwanamke na mwanaume Tu kukubaliana kuona wenyewe pasina mashahidi,pasina maharimu hapana kitu kama hicho
Hii Ina maana Sahih al-Bukhari kitabu chake ni takataka kwako

Nimemaliza kazi usirudie tena

😂🤣🤣🤣🤣 Waislamu wote Mnapinga maandiko yenu
 
Samahani Mkuu nna swali moja linaleta utata.Nimeshuhudia kuna Mzee mmoja alikuwa ni Mwislamu(ameshatangulia mbele za haki),aliwajengea wanawake wawili nyumba mbili,kila mwanamke na nyumba yake,ila hakufunga nao ndoa alikuwa anaishi hivyohivyo na kuzaa nao watoto.Hadi anakufa hakuwahi kufunga ndoa..Sasa swali ni kwamba hapo watoto ni haki ya Baba yao au Mama zao.? Naomba jibu hapa tafadhali maana watoto wamegawanyika,wengine wamefuata Imani kwa Baba na wengine upande wa Mama zao maana akina Mama sio Waislamu.
 
Hapo watoto ni haki ya mama zao,,kifupi ni hivi kinachompa haki ya watoto baba mtu ni ndoa tu na si nje ya hapo
 
ki fupi tu ni Kwamba Dini na Mungu ni vitu viwili tofauti, na ninachofahamu mimi mtoto si wa Mama wala wa Baba, bali wazazi ni kama portal tu, ni njia tu ya kuja kwenye dunia ambayo ni kijisehemu cha ulimwengu, Arithi ama kutorithi ki ujumla ni sehemu tu ya mission za huyo kiumbe, havina maana sana, sema, dini zimewafanya wanaadamu wawe busy sana na mambo ya kuwatoa mchezoni
 
hiyo dini ni ya waishmael, kwa mnaomjua Ishmael alikuwa mtoto wa kambo (mtoto haram kwa mujibu wa uislam) wa Ibrahim aliyezaa na housegirl wake Hajir wakati mkewe Sara akiwa hapohapo. kwenye urithi, mtoto huyu wa kambo Ishmael hakupewa chochote zaidi ya kuambiwa akazaliane, urithi wa Ibrahim ulienda kwa Isaka mtoto wa ndoa wa Sara.

kuanzia hapo, wakaanzisha chuki dhidi ya wajukuu wa Isaka (ambao ni wayahudi/waisrael) hadi leo, na hadi kuran inawaita "mayahudi" sio wayahudi. kwasababu wao walikuwa watoto haram, hawakukumbuka machungu babu yao alipitia, bado wakatangaza kuwa mtoto wa nje ni haram asirithi hadi leo. ni kama masikini hua hataki kukaa pamoja na masikini anaweza kukandamiza maskini wenzie ili asionekane maskini, nao kwasababu ni watoto wa kambo ile ukambo wanauchukia hadi leo na wanakandamiza watoto wa kambo wenzao bila kukumbuka kwamba na wao walinyimwa hadi urithi kwasababu ya ukambo.
 
Hapo watoto ni haki ya mama zao,,kifupi ni hivi kinachompa haki ya watoto baba mtu ni ndoa tu na si nje ya hapo
kama ni hivyo hiyo dini ni ya kuikimbia, kwani mtoto ana kosa gani? makosa ya wazazi anaadhibiwa mtoto, ni dini ya haki hiyo?
 
Kwa hiyo chimbuko la uislam ni Ishmael ( mtoto wa nje ya ndoa )
 
kama ni hivyo hiyo dini ni ya kuikimbia, kwani mtoto ana kosa gani? makosa ya wazazi anaadhibiwa mtoto, ni dini ya haki hiyo?
Bahati mbaya huu mjadala nilishaufunga tayar

Tuache na uislamu wetu

Shukrani
 
Hizi dini zililetwa na majahazi mkuu zisikutese sana kwani mila desturi zetu zinasemaje kama wafrika
 
Hapo watoto ni haki ya mama zao,,kifupi ni hivi kinachompa haki ya watoto baba mtu ni ndoa tu na si nje ya hapo
Sawa nimekuelewa,na suala la Imani vipi,watoto wana uhuru wa kuchagua wawe kwenye Imani ipi,maana Imani ya Baba watoto hawana elimu nayo kabisa hawajui lolote lile ingawa wengine wamefuata kwa Baba
 
Sawa nimekuelewa,na suala la Imani vipi,watoto wana uhuru wa kuchagua wawe kwenye Imani ipi,maana Imani ya Baba watoto hawana elimu nayo kabisa hawajui lolote lile ingawa wengine wamefuata kwa Baba
Watoto wana haki ya kuchagua imani ipi wanataka kuifuata,,,mafundisho ya uislamu yanasema hivi "halazimishwi mtu kuingia katika dini" ni tofauti na watu wengine wanavyosema kuwa uislamu ulienezwa na mapanga kitu ambacho si sahihi

Ila ikiwa mtu kwa hiari yake mwenyewe ameingia katika uislamu basi hana budi kufuata sheria au taratibu za kiislamu zinazo kuwa wajibu juu yake kama kuswali na mengineyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…