Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

Hayo ni mapungufu Yao kama wazazi wake, lakini ukweli utabakia pale pale kuwa huyo ni mtoto wa mama kama ni kweli hakuzaliwa ndani ya ndoa

Kwahiyo mama ndo ana haki zote

Mama ajazaa peke yake kashiriki na mtu. kwa kigezo hiko ni kujifunga.
mfano mzuri umeona leo watu wakijipendekeza kwa walifanikiwa ambao kama wengekuwa maskini basi wasinge wajua. Mimi na sema hizi dini zipo kwa ajili ya maskini si tajiri
 
Kwani hiyo imani yako inasemaje? kuhusu mke ulio jitwalia bila hizi ya wazazi wake kwa sababu tunapo ongelea ndoa ni kitendo cha kukabidhiwa mke na wazazi wake wakiume hiyo bdio ndoa labda wewe ujui nini maana ya neno ndoa
 
mama ajazaa peke yake kashiriki na mtu. kwa kigezo hiko ni kujifunga.
mfano mzuri umeona leo watu wakijipendekeza kwa walifanikiwa ambao kama wengekuwa maskini basi wasinge wajua.
mimi na sema hizi dini zipo kwa ajili ya maskini si tajiri
Hapana mkuu napingana na wewe,hata kama mama amezini na mwanaume lkn mwenye mtoto ni mama

Unajua kinachokupa uhalali wewe kama Baba ni ndoa,nje ya hapo huenda mwanamke kazaa na mwanaume mwingine Kwa mfano je hapo utasema huyo ni mwanao.

Na ndio maana mathalani mke wangu ametembea na wewe na kuzaa mtoto basi ujue mtoto ni wangu kisheria kwasababu mwenye shamba ni Mimi.
 
Hayo ni mapungufu Yao kama wazazi wake, lakini ukweli utabakia pale pale kuwa huyo ni mtoto wa mama kama ni kweli hakuzaliwa ndani ya ndoa

Kwahiyo mama ndo ana haki zote
hakuna cha kweli zaidi ya ukweli ile ni DAMU yako hakuja cha kukwepa hapo

kama DNA zinasoma ni damu yako ni yako mzee et unaweza muhudumia na kumpa baadhi ya mali ila anakua sio mtoto wako blah blah blah sasa sio wako why umuhudumie [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hayo ni mapungufu Yao kama wazazi wake, lakini ukweli utabakia pale pale kuwa huyo ni mtoto wa mama kama ni kweli hakuzaliwa ndani ya ndoa

Kwahiyo mama ndo ana haki zote

Kwann pia awe wa mama? Acha undezi,huyo mtoto anakosa gani? Hakuamua kujileta mwenyewe duniani bali ni hao wazazi wake so hastaili adhabu yoyote.Kama hizo dini zinatuelekeza hivyo basi haina maana ya kuwa na hiyo dini maana ni unyanyasaji
 
Hilo ni Swali au Jibu?

Naona kama umetoa Jibu kwa njia ya Swali.... Anyway to each his/her own

Ila kama unataka kujua mawazo yangu kama unachosema ni sahihi au Sheria zilizopitwa na wakati nifahamishe ili tuendelee au tusitishe mjadala....

Mambo ya Bastard, Snow, Sun n.k. nadhani yamepitwa na wakati huwezi kumuhukumu mtoto kwa sins of their father's (by the watu hata hilo kama ni dhambi au sio dhambi bado ni debatable)
 
taizo la kafiri upinga kila kitu hali yakuwa kitabu chao kinapinga uzinzi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mujibu wa Sheria ya mtoto ya 2009,moja kati ya haki za mtoto ni jina la ubini.Kwa Sheria za Tanzania hakuna mtoto haramu,kwa hiyo mtoto wa nje ya ndoa anastahiki sawa na mtoto wa ndani ya ndoa.
 
Utaambiwa ismail ni mtoto wa ndoa wa binti farao, ila ukweli ni mtoto was hajiri mchepuko aliye halalishwa na mke wa ndoa.
 
Sijui kama nimekuelewa vizur au laa

Zinapokuja Sheria za Mungu hatuna mamlaka ya kusema ni za zamani au laa, kwakuwa haijasemwa zinatumika Kwa kipindi Fulani Tu?

Tunachoweza kubadili na kuweka kifungu kingine ni Sheria zetu wanadamu kama katiba na Sheria zetu ndogo ndogo tulizo jitungia wenyewe.

Na

Katika Uislamu tangu awali hakuna dhambi ya Baba kweenda Kwa mtoto au hakuna dhambi ya kurithi
 
Ngoja niachane na huu mjadala lakini Mimi nitabaki na kile ninachokiamini kuwa ni sahihi masuala ya Mungu kasema huku tunawatesa wengine siwezi kuunga mkono.
Ngoja nikuelimishe kidogo kila unachokiona duniani kiko chini ya under control hata ww uko chini ya under control.

Mwenyezi mungu kaumba binadamu na kamuwekea na taratibu maalumu ni namna gani aendeshe maisha yake na sio ilimradi tu anaishi.

Mfano leo ww utatafuta pesa kwa nguvu zako utanunua gari lakini hiyo gari huwezi kuiendesha barabarani mpaka upitie utaratibu fulani licha ya kwamba hakuna aliye kusaidia kununua hilo gari.

Au ukitaka kufungua biashara utatakiwa ufuate utaratibu maalumu licha ya sio kufungua kiholela holela.

Hivyo hivyo kwa mungu alikuumba akasema nendeni mkaijaze dunia lakini kaweka utaratibu wa kuzaliana na sio kuzaliana kiholela holela.

Dawa ya kuhepusha haya sio kuukimbia ukweli bali ni sisi kuacha uzinzi wa kiholela, hakika ni ukatiri na ubinafisi mkubwa kwa mwanaume kumpa binti wa watu mimba hali ya kuwa huna mipango ya kumuoa.
 
taizo la kafiri upinga kila kitu hali yakuwa kitabu chao kinapinga uzinzi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Tatizo sio ukafiri tatizo ni logic haiji,hiyo dini yenu ni ya kikandamizi kabisa,sasa kwann mzigo aachiwe mama peke yake wakati hiyo zinaa wamefanya wote,tena pengine huyo mwanaume ndio alimlaghai huyo mwanamke mpaka huyo mtoto akapatikana halafu mseme ni wake peke yake.Imagine wewe ndo ungekuwa huyo mtoto na unasikia maneno kama hayo na hukuwah muomba Mungu akulete kwenye familia isiyo ya ndoa?
 
Utaambiwa ismail ni mtoto wa ndoa wa binti farao, ila ukweli ni mtoto was hajiri mchepuko aliye halalishwa na mke wa ndoa.
Ukitaka kuhoji hayo basi itabidi uanze kuhoji je uzao kutoka Kwa adam ilikuwaje kuwaje

Nadhan unatambua wale watoto ilibidi watembee na madada zao ili kizazi kiongozeke, je hapo utasemaje?
 
Haijakatazwa kuwapa mapenzi wala malezi, na ndio maana hata Mali unaweza kumpa lkn kuna haki kadhaa hastahili kupata kama nilivyoeleza hapo juu
kaelewa tu hili awe kafiri apinge kila kinacho semwa kwa mujibu wa din ya wisilamu hata kama kimedhihili kwenye kitabu chao

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…