Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

SIJAWAHI ONA JAMBO LA AJABU LA NAMNA HII, BABA SI UPO?, MWENZAKO AMETANGULIA, WEWE NDIO BABA WA FAMILIA NA KAKA YA DADA ATAKUWAJE MSIMAMIZI, INFACTS MALI ZOTE ZILIZOKUWA ZENU NI ZA FAMILIA YENU, NA ZOTE ZINASTAHILI KUANDIKWA MAJINA YA WATOTO WENU KUONDOA UTATA,MALI ZOTE ZIANDIKWE KWA MAJINA YA WATOTO, NA SI BABA, MAANA ANAWEZA KUOA AKAONGEZA MGOGORO, COURT MUST DO THAT, KWA USIMAMIZI WA BABA NA HUYO MSIMAMIZI. THE END.(matendo ya kichawi huenda yakakuandama uwe makini vile akili itakavyokutuma)
 
Ugh!! Umeenda mbali sana mkuu,kiufupi,mimi nina Mali nyingine ambazo hata wao hawazijui,nyumba ninayoishi ni ya kwangu,na mke wangu aliikuta na nyingine kadhaa,kinachomsukuma huyo shemeji yangu nafikiri ni njaa,alizoea kulelewa na dada yake(mke wangu)sasa hivi hana pakuchuma,nitajaribu Kuwaita ndugu zake tuongee kwa mara ya mwisho,then nitaamua,sasa hivi nina muda wa kutosha,asante kwa mchango wako ndugu.
Unaonekana mstaarabu sana....jitoe ufahamu uitishe kikao uwapige biti tena usiwaangalie usoni! Punguza upole watakuumiza kihisia hao udhoroteshe bure afya yako😒
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Halafu umemuachia shemeji akupangie mali zako na watoto wako, hivi shemeji ameingiaje hapo?
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Unafikiri au unajua usimamizi wa mirathi ulihitajika kwa nia gani? Nahisi kama unapelekeshwa na hiyo familia tangu mwanzo, hujitambui. Tafuta mwanasheria, au nenda mahakamani ukaeleze haya wakupe muongozo. Na angalizo, hata kama mke alikuwa na Mali zake, mrithi si kaka yake, kwani marehemu ana watoto, na wewe ni baba yao.
 
Ugh!! Umeenda mbali sana mkuu,kiufupi,mimi nina Mali nyingine ambazo hata wao hawazijui,nyumba ninayoishi ni ya kwangu,na mke wangu aliikuta na nyingine kadhaa,kinachomsukuma huyo shemeji yangu nafikiri ni njaa,alizoea kulelewa na dada yake(mke wangu)sasa hivi hana pakuchuma,nitajaribu Kuwaita ndugu zake tuongee kwa mara ya mwisho,then nitaamua,sasa hivi nina muda wa kutosha,asante kwa mchango wako ndugu.
Pole sana ndg na kufiwa, Chukua tahadhari sana maana watu wakitaka kudhulumu Mali wako radhi kufanya lolote lile! Mi kuna fala mmoja alijichomeka kwenye Mali za Mzee wetu eti anasema yeye na Mzee walichangia Baba mmoja Mama tofauti wakati hatujawai kumuona hata siku moja toka Mzee wetu Yuko hai, tukakuta kagushi Mirathi yetu na kafanikiwa kuchomoa documents za Nyumba za Mzee,mbona nilimuwashia Moto hadi akawa ananipa mikwara eti ataniachia radhi,mbona alizitema mwenyewe!!
 
pol
Habari za shughuli ndugu zangu,

Naombeni mnishauri kwa jambo hili ambalo naona nalazimika kulifanya, nilipata msiba kwa kufiwa na mke wangu wa ndoa manzoni mwa mwaka huu, baada ya mazishi kuna kikao cha ndugu kilikaa kujadili mustakabali wa familia kama ilivyo desturi sasa kwenye kikao kile, wengi walikuwa ni ndugu wa mke wangu.

Wengi wao hata nilikuwa siwafahamu, kikao kikamteua shemeji yangu ambaye ndiye kaka mkubwa wa mke wangu awe msimamizi wa mirathi, mke wangu alikuwa na mali alizochuma yeye mwenyewe kabla hatujaoana,na mimi nilikuwa na zangu binafsi.

Na kuna kiwanja alikinunua kwa kaka yake huyohuyo wakati tukiwa tunaishi pamoja,higher kiwanja tukajenga nyumba za kupangisha,na tukapata mpangaji mmoja aliyepanga vyumba vyote 8, wakati huo mimi nilikuwa nipo nje ya mkoa kikazi.

Kwa hiyo, hata wakati ujenzi unaendelea, mimi sikuwepo,mtu aliyekuwa akisimamia ujenzi ni huyo kaka wa mke wangu, kwakuwa hakuwa na shughuli yoyote kipindi hicho hivyo nikawa namlipa asaidie kusimamia ujenzi na hata shughuli nyinginezo za ujenzi kwenye nyumba nyingine niliyokuwa naijenga mtaa mwingine ambayo ndiyo tunayoishi hata sasa,sasa tabu imekuja baada ya yeye kukabidhiwa jukumu la kusimamia mirathi.

Kwanza alikosana na yule mpangaji hali iliyomlazimu mpangaji yule kuhama mimi nikiwa sipo,kisha akawapangishia wapangaji wengine bila kunitaarifu.

Baadaye kodi ikaanza kusumbua,mara anitumie mara asitume, nikaamua kumfuata ili anieleze tatizo ni nini, baada ya kufokeana sana akaniambia yeye ndiye msimamizi wa mali zote kwa hiyo sipaswi kumpangia.

Ni takribani miezi mitano sasa hajaleta kodi ya nyumba,wale wapangaji sijui aliwaseti vipi,maana kila nikijaribu kuwafata huwa wananikwepa,nadhani hajafungua mirathi mahakamani kwani kuna vielelezo ambavyo angepaswa kuvipata kutoka kwangu ila hakuwahi kuniomba nimpatie, sasa nafikiri nimpeleke mahakamani,ila huko sina nijualo especialy kwa kesi ya aina hii.

Naamini hapa kuna wajuzi wa mambo kama haya. Hivyo naomba mchango wenu wa mawazo ili niweze kuilinda haki ya familia yangu nikiwa na ujasiri.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
kwanza pole sana mkuu kwa msiba wa mkeo cha pili tafuta mwanasheria
 
Wewe jamaa inaonekana hauko sawasawa.
Kesi ya usimamizi wa mirathi inafunguliwa mahakamani , na tangazo linawekwa ili kama kuna pingamizi basi upate muda wa kushughulikia.
Sasa wewe unakuja na habari zako hapa eti hukuwa na taarifa.

Kuna shida mahali..
Siyo watu wote wanajua Mambo ya Mirathi na taratibu zake, wengine ndiyo hadi waafiwe ndiyo labda wanaweza kuanza kujua Mambo hayo tena kwa kuelekezwa na watu wanaojua utaratibu wa Mirathi!!
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Pole sana kwa maelezo haya inaonesha una vigezo vyote vya kushinda kesi.
Ushauri wangu kuwa makini sana na huyo shemeji yako, siku zako za kuishi zinahesabika. Pia usianike kila kitu humu anaweza kuwa anakuchora tu. Tafuta mwanasheria mzuri akusaidie kaka.
 
Huyo shemeji ana mengi
Ndugu hawaaminiki siku hizi,unawasaidia badae wanakutanguliza wakijua mali zako zitakuwa zao!
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishin

Mkuu Arovera hiyo ni endapo wangekuwa hawajafunga ndoa na hawana watoto,sasa wamefunga ndoa na wamekuwa mume na mke!,Hiyo familia ya mwanamke ni wapumbavu!,any way nadhani afuate sheria
Haina maana ya kwamba kikao Cha familia au ukoo kikishakaa na kumteua msimamizi wa mirathi ndo Basi kashakuwa, mahakama ndo inayomuidhinisha na kwa sababu walifunga ndoa ya kikristo special forum/court hapo ni mahakama ya wilaya ambapo kunaprocedure za kufuata ambazo mme au watoto lazima wahusishwe coz ndo warithi, mashauri ya mirathi hasa kwa wakristo Ni tofauti kidogo na waislam au waamini kimira ambao wao nimakahama ya mwanzo tu na Hakuna complication Sana primary court,... Huku mahakama ya wilaya lazima huyo anaejiita msimamizi wa mirathi afanye PETITION FOR LETTER OF ADMINISTRATION, lazima pawe na CONSENT OF THE HEIRS yaani warithi wawe wamemkubali huyo jamaa kuwa msimamizi, Kuna issue za general citation zitatoka , kuna form ya administration of bond without surety ambapo huyo msimamithi wa mirathi lazima aweke bond ya kiasi Cha pesa au Mali yake Kama dhamana ili asije akafuja au kutumia Mali za marehemu,..na kwa maana hio huyo msimamizi wamirathi Kama Hakuna taratibu hizo nilizozitaja hapo juu kufuatwq Basi huyo jamaa sidhani Kama anatambulika na mahakama kama msimamizi wa mirathi ,kikao tu Cha kumteua msimamizi wa mirathi hakitoshi...na hata Kama ikitokea kaaidhinishwa na mahakama na bado hafanyi wajibu wake bado anweza akawe revoked kwa sheria na anashitakiwa... Na as long as wewe una ndoa na mnawatoto kwenye issue ya mirathi ninyi ndo most favorable Sana kuliko hao ndugu wengine hasa kwenye Mali ambazo mlichuma wote
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishin

Mkuu Arovera hiyo ni endapo wangekuwa hawajafunga ndoa na hawana watoto,sasa wamefunga ndoa na wamekuwa mume na mke!,Hiyo familia ya mwanamke ni wapumbavu!,any way nadhani afuate sheria
Haina maana ya kwamba kikao Cha familia au ukoo kikishakaa na kumteua msimamizi wa mirathi ndo Basi kashakuwa, mahakama ndo inayomuidhinisha na kwa sababu walifunga ndoa ya kikristo special forum/court hapo ni mahakama ya wilaya ambapo kunaprocedure za kufuata ambazo mme au watoto lazima wahusishwe coz ndo warithi, mashauri ya mirathi hasa kwa wakristo Ni tofauti kidogo na waislam au waamini kimira ambao wao nimakahama ya mwanzo tu na Hakuna complication Sana primary court,... Huku mahakama ya wilaya lazima huyo anaejiita msimamizi wa mirathi afanye PETITION FOR LETTER OF ADMINISTRATION, lazima pawe na CONSENT OF THE HEIRS yaani warithi wawe wamemkubali huyo jamaa kuwa msimamizi, Kuna issue za general citation zitatoka , kuna form ya administration of bond without surety ambapo huyo msimamithi wa mirathi lazima aweke bond ya kiasi Cha pesa au Mali yake Kama dhamana ili asije akafuja au kutumia Mali za marehemu,..na kwa maana hio huyo msimamizi wamirathi Kama Hakuna taratibu hizo nilizozitaja hapo juu kufuatwq Basi huyo jamaa sidhani Kama anatambulika na mahakama kama msimamizi wa mirathi ,kikao tu Cha kumteua msimamizi wa mirathi hakitoshi...na hata Kama ikitokea kaaidhinishwa na mahakama na bado hafanyi wajibu wake bado anweza akawe revoked kwa sheria na anashitakiwa... Na as long as wewe una ndoa na mnawatoto kwenye issue ya mirathi ninyi ndo most favorable Sana kuliko hao ndugu wengine hasa kwenye Mali ambazo mlichuma wote
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Mali za mkeo wamiliki Halali ni watoto Zako kwahiyo kaka mtu atulie na asilete ujuaji onesha msimamo mapema tu
 
Hapa ndio kuna kutoana roho sijui kwanini akili yangu huwa haitakagi kigombea mali. Yaani huwa niko radhi nimuachie tu mtu.

Watu wa hivyo hawakawii hata kwenda kukuroga nawe ufe. Kuwa makini mkuu. Watoto wako bado wadogo kama iko ndani ya uwezo wako embu baki tu ukimtazama.

Ila ukiweza basi komaa, japo naanza kunusa hatari.
 
Haya mambo ya usimamizi wa mirathi yapo kisheria na yana utaratibu wake hata kama wengine hatuyapendi.
Kama hamukufuata utaratibu katika hatua ya mwanzo ya uteuzi basi huyo shemeji yako wala hajawa msimamizi wa mirathi na yote aliyoyafanya kwa hizo mali yanaweza yakamwingiza pabaya kisheria. Unachotakiwa kufanaya sana ni kuteua msimamizi rasmi na haraka lifunguliwe sharuri mahakamani. Itakubidi ujieleze kwa shemeji zako wengine na watu wengine wenye hekima mpaka ieleweke alichokifanya huyo mgomvi wake.Hii itakusaidia kumtenga kwanza ili asije akaleta usumbufu mwengine.
Ushauri mzuri sana kaka,ubarikiwe sana
 
Umeshapigwa chini kitendo cha kunyimwa usimamizi was mirathi ilikuwa mbinu ya kukutupolia mbali na kukudhulumu
 
Ila hizi familia hizi basi tu.
Tafuta mwanasheria umwelezee nadhani atakupa ushauri wa kisheria zaidi na wapi uanzie.
Ila hao ndugu uliwaendekeza ni wakati sasa usimame na kuonyesha misimamo yako na punguza mazoea ibaki heshima kati yenu itakusaidia sana.
Sikulaumu sana manasijui ulikuwa unapitia hali gani kwa wakati huo.
 
Unaonekana mstaarabu sana....jitoe ufahamu uitishe kikao uwapige biti tena usiwaangalie usoni! Punguza upole watakuumiza kihisia hao udhoroteshe bure afya yako[emoji19]
Kweli kabisa dada,sikujua kuwa huyo muhuni angekuwa serious ki hivi,kipindi cha nyuma alikuwa mstaarabu mno,nilikuwa namtuma na ninamwachia kiasi kikubwa tu cha fedha bila tatizo,amebadilika ghafla,ubinaadamu kazi sana dada
 
Back
Top Bottom