Je, mtu huyu nimfungulie kesi ya aina gani?

SIJAWAHI ONA JAMBO LA AJABU LA NAMNA HII, BABA SI UPO?, MWENZAKO AMETANGULIA, WEWE NDIO BABA WA FAMILIA NA KAKA YA DADA ATAKUWAJE MSIMAMIZI, INFACTS MALI ZOTE ZILIZOKUWA ZENU NI ZA FAMILIA YENU, NA ZOTE ZINASTAHILI KUANDIKWA MAJINA YA WATOTO WENU KUONDOA UTATA,MALI ZOTE ZIANDIKWE KWA MAJINA YA WATOTO, NA SI BABA, MAANA ANAWEZA KUOA AKAONGEZA MGOGORO, COURT MUST DO THAT, KWA USIMAMIZI WA BABA NA HUYO MSIMAMIZI. THE END.(matendo ya kichawi huenda yakakuandama uwe makini vile akili itakavyokutuma)
 
Unaonekana mstaarabu sana....jitoe ufahamu uitishe kikao uwapige biti tena usiwaangalie usoni! Punguza upole watakuumiza kihisia hao udhoroteshe bure afya yakoπŸ˜’
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Halafu umemuachia shemeji akupangie mali zako na watoto wako, hivi shemeji ameingiaje hapo?
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Unafikiri au unajua usimamizi wa mirathi ulihitajika kwa nia gani? Nahisi kama unapelekeshwa na hiyo familia tangu mwanzo, hujitambui. Tafuta mwanasheria, au nenda mahakamani ukaeleze haya wakupe muongozo. Na angalizo, hata kama mke alikuwa na Mali zake, mrithi si kaka yake, kwani marehemu ana watoto, na wewe ni baba yao.
 
Pole sana ndg na kufiwa, Chukua tahadhari sana maana watu wakitaka kudhulumu Mali wako radhi kufanya lolote lile! Mi kuna fala mmoja alijichomeka kwenye Mali za Mzee wetu eti anasema yeye na Mzee walichangia Baba mmoja Mama tofauti wakati hatujawai kumuona hata siku moja toka Mzee wetu Yuko hai, tukakuta kagushi Mirathi yetu na kafanikiwa kuchomoa documents za Nyumba za Mzee,mbona nilimuwashia Moto hadi akawa ananipa mikwara eti ataniachia radhi,mbona alizitema mwenyewe!!
 
pol
kwanza pole sana mkuu kwa msiba wa mkeo cha pili tafuta mwanasheria
 
Siyo watu wote wanajua Mambo ya Mirathi na taratibu zake, wengine ndiyo hadi waafiwe ndiyo labda wanaweza kuanza kujua Mambo hayo tena kwa kuelekezwa na watu wanaojua utaratibu wa Mirathi!!
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Pole sana kwa maelezo haya inaonesha una vigezo vyote vya kushinda kesi.
Ushauri wangu kuwa makini sana na huyo shemeji yako, siku zako za kuishi zinahesabika. Pia usianike kila kitu humu anaweza kuwa anakuchora tu. Tafuta mwanasheria mzuri akusaidie kaka.
 
Huyo shemeji ana mengi
Ndugu hawaaminiki siku hizi,unawasaidia badae wanakutanguliza wakijua mali zako zitakuwa zao!
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishin

Mkuu Arovera hiyo ni endapo wangekuwa hawajafunga ndoa na hawana watoto,sasa wamefunga ndoa na wamekuwa mume na mke!,Hiyo familia ya mwanamke ni wapumbavu!,any way nadhani afuate sheria
Haina maana ya kwamba kikao Cha familia au ukoo kikishakaa na kumteua msimamizi wa mirathi ndo Basi kashakuwa, mahakama ndo inayomuidhinisha na kwa sababu walifunga ndoa ya kikristo special forum/court hapo ni mahakama ya wilaya ambapo kunaprocedure za kufuata ambazo mme au watoto lazima wahusishwe coz ndo warithi, mashauri ya mirathi hasa kwa wakristo Ni tofauti kidogo na waislam au waamini kimira ambao wao nimakahama ya mwanzo tu na Hakuna complication Sana primary court,... Huku mahakama ya wilaya lazima huyo anaejiita msimamizi wa mirathi afanye PETITION FOR LETTER OF ADMINISTRATION, lazima pawe na CONSENT OF THE HEIRS yaani warithi wawe wamemkubali huyo jamaa kuwa msimamizi, Kuna issue za general citation zitatoka , kuna form ya administration of bond without surety ambapo huyo msimamithi wa mirathi lazima aweke bond ya kiasi Cha pesa au Mali yake Kama dhamana ili asije akafuja au kutumia Mali za marehemu,..na kwa maana hio huyo msimamizi wamirathi Kama Hakuna taratibu hizo nilizozitaja hapo juu kufuatwq Basi huyo jamaa sidhani Kama anatambulika na mahakama kama msimamizi wa mirathi ,kikao tu Cha kumteua msimamizi wa mirathi hakitoshi...na hata Kama ikitokea kaaidhinishwa na mahakama na bado hafanyi wajibu wake bado anweza akawe revoked kwa sheria na anashitakiwa... Na as long as wewe una ndoa na mnawatoto kwenye issue ya mirathi ninyi ndo most favorable Sana kuliko hao ndugu wengine hasa kwenye Mali ambazo mlichuma wote
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishin

Mkuu Arovera hiyo ni endapo wangekuwa hawajafunga ndoa na hawana watoto,sasa wamefunga ndoa na wamekuwa mume na mke!,Hiyo familia ya mwanamke ni wapumbavu!,any way nadhani afuate sheria
Haina maana ya kwamba kikao Cha familia au ukoo kikishakaa na kumteua msimamizi wa mirathi ndo Basi kashakuwa, mahakama ndo inayomuidhinisha na kwa sababu walifunga ndoa ya kikristo special forum/court hapo ni mahakama ya wilaya ambapo kunaprocedure za kufuata ambazo mme au watoto lazima wahusishwe coz ndo warithi, mashauri ya mirathi hasa kwa wakristo Ni tofauti kidogo na waislam au waamini kimira ambao wao nimakahama ya mwanzo tu na Hakuna complication Sana primary court,... Huku mahakama ya wilaya lazima huyo anaejiita msimamizi wa mirathi afanye PETITION FOR LETTER OF ADMINISTRATION, lazima pawe na CONSENT OF THE HEIRS yaani warithi wawe wamemkubali huyo jamaa kuwa msimamizi, Kuna issue za general citation zitatoka , kuna form ya administration of bond without surety ambapo huyo msimamithi wa mirathi lazima aweke bond ya kiasi Cha pesa au Mali yake Kama dhamana ili asije akafuja au kutumia Mali za marehemu,..na kwa maana hio huyo msimamizi wamirathi Kama Hakuna taratibu hizo nilizozitaja hapo juu kufuatwq Basi huyo jamaa sidhani Kama anatambulika na mahakama kama msimamizi wa mirathi ,kikao tu Cha kumteua msimamizi wa mirathi hakitoshi...na hata Kama ikitokea kaaidhinishwa na mahakama na bado hafanyi wajibu wake bado anweza akawe revoked kwa sheria na anashitakiwa... Na as long as wewe una ndoa na mnawatoto kwenye issue ya mirathi ninyi ndo most favorable Sana kuliko hao ndugu wengine hasa kwenye Mali ambazo mlichuma wote
 
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Mali za mkeo wamiliki Halali ni watoto Zako kwahiyo kaka mtu atulie na asilete ujuaji onesha msimamo mapema tu
 
Hapa ndio kuna kutoana roho sijui kwanini akili yangu huwa haitakagi kigombea mali. Yaani huwa niko radhi nimuachie tu mtu.

Watu wa hivyo hawakawii hata kwenda kukuroga nawe ufe. Kuwa makini mkuu. Watoto wako bado wadogo kama iko ndani ya uwezo wako embu baki tu ukimtazama.

Ila ukiweza basi komaa, japo naanza kunusa hatari.
 
Ushauri mzuri sana kaka,ubarikiwe sana
 
Umeshapigwa chini kitendo cha kunyimwa usimamizi was mirathi ilikuwa mbinu ya kukutupolia mbali na kukudhulumu
 
Ila hizi familia hizi basi tu.
Tafuta mwanasheria umwelezee nadhani atakupa ushauri wa kisheria zaidi na wapi uanzie.
Ila hao ndugu uliwaendekeza ni wakati sasa usimame na kuonyesha misimamo yako na punguza mazoea ibaki heshima kati yenu itakusaidia sana.
Sikulaumu sana manasijui ulikuwa unapitia hali gani kwa wakati huo.
 
Unaonekana mstaarabu sana....jitoe ufahamu uitishe kikao uwapige biti tena usiwaangalie usoni! Punguza upole watakuumiza kihisia hao udhoroteshe bure afya yako[emoji19]
Kweli kabisa dada,sikujua kuwa huyo muhuni angekuwa serious ki hivi,kipindi cha nyuma alikuwa mstaarabu mno,nilikuwa namtuma na ninamwachia kiasi kikubwa tu cha fedha bila tatizo,amebadilika ghafla,ubinaadamu kazi sana dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…