Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kugombania mali za marehemu kivipi yaani?Pole sana kwa kumpoteza mke wako, na pia kwa changamoto unazopitia. Nilichojifunza kwenye hili tatizo lako, ni kwamba hamkuwa na serikali moja! Na ndiyo maana kumetokea hizo changamoto kwenye usimamizi wa hizo mali.
Kiufupi hakukutakiwa kuwa na mali za mke, au mali za mwanaume; mfano hivyo viwanja!!! Mali zote zilitakiwa za wote! Na hivyo wewe kama mume wa marehemu ulistahili kabisa kuwa msimamizi wa mirathi ya mke wako.
Na hiyo mirathi ilitakiwa igawanywe kwa kuwapa watoto zaidi mali za mama yao, halafu wewe na wazazi wa marehemu mngefuatia kwenye huo mgao. Hao ndugu wa marehemu, hawakuwa na ulazima wa kusimamia, wala kupata mirathi.
Ushauri; itisha kikao cha ndugu wa pande zote mbili ili mjadiliane, na kufikia muafaka. Kugombania mali za marehemu, siyo poa kabisa.
Wapi? Dodoma? Pole sana Ndugu Yangu, kama sio Wewe basi Kuna story kama hii inafanana Kwa 98%Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Uko Dodoma?Maswali nimeyajibu mkuu May Day
Bado ana nafasi ya kumtoa.Haya mambo haya nimeyapitia ila huwa ni magumu.
Ulikosea ulipokubali shemeji awe msimamizi wakati ww ukiwa hai
Aisee sasa mbona kama amekudharau sana mkuu na hii mikwara yake? Yaani mume wa ndoa shemeji anakupangia tena inaonekana na kipato unamzidi? Mbona inaonekana unammudu kabisa bila hata ya kupoteza hela na muda huko mahakamani?Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Yaah labda alikuwa mariooo...Huyu jamaa anatia aibu Sana,
Inaonekana familia ya mke imeona kabisa jamaa hafai kusimamia Mali zilizoachwa na marehemu mkewe au vipi?
Kwanza ulionaga wapi MKE anafariki kinakaa kikao Cha mirathi?
Nnachojua mke akishafariki automatically Mali zote zinabaki chini ya mume, na ndo anacontroll kila kitu. Na hakuna mahojiano.
Sasa Huyu mwenzetu atwambie,
Kwenye hiyo familia Alikua marioo analelewa au vipi?
Sasa why wakifanyie hivyo jamani?Niliuguza bila msaada wa ndugu zake,kwa hilo sina hatia mkuu
Una document za umiliki wa hiyo nyumba?Uchungu +hasira ndugu yangu,out of that mimi ni mwandishi mzuri mno,samahani mkuu,ushauri wako tafadhali.
Mkuu UMUGHAKA ni mke wangu wa ndoa kabisa,ndoa ya kanisani,na vyeti via ndoa ninavyo,tumejaaliwa watoto wawili,wote wapo shule na vyeti vyao vya kuzaliwa ninavyo,mke wangu tulimzika nyumbani kwangu,hapa hapa ninapoishi sasa.
Upo Madam Nakka
Wazazi wa mke wapo?Kweli,familia yao ina dada watatu,kaka watatu,na mume wa dada yao mkubwa ndiyo msemaji wa familia yao,kiufupi hawa dada zake wawili wananipa ushirikiano kiasi,kaka zake wawili pia wananisapoti kiaina,ila kuna huyo dada yao wa nje ya ndoa ndiyo anamsapoti shemeji kidogo,huyo dada mkubwa aliniambia kuwa ndugu zake hawamthamini kwa kuwa si mtoto wa mama yao,alikuja na baba,na ananipa ushirikiano wa kutosha,ila anasema hana sauti kwao.
Nipo shkamooUpo Madam Nakka