Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

Siwezi kusema chanzo, labda mechanism - nuclear fusion
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Ulimwengu huu hakuna aujuwae mwanzo wala mwisho wake.

Mwenyewe kwenye Qur'an anasema yupo karibu na wewe, hujijuwi tu.


Usimfananishe Mwenyezi Mungu na chochote. Unapata tabu kwa sababu ulishaaminisha zile picha za mzungu kuwa ni mungu wako.
 
Ndiyo maana yake wanakubali kuwa nguvu za uumbaji zipo na zinajulikana ila wanakataa kuwa hizo nguvu zina jitambua(yaani ni nafsi)
Nafsi ni nini? Kwamba tafsri ya nafsi ni nguvu zinazo jitambua?
 
Ni jibu nini sasa hapo mambo ya Mungu aachiwe Mungu, hebu nikuulize swali alaf unipe majibu unaweza niambia funza kaingiaje kwenye kokwa la embe? Ukipatia basi ntaujibu ilo la kwako
Sasa kama haujui funza kafikaje kwenye embe utaweza kweli kujua mungu alikuwa wapi kabla ya kuumba ulimwengu?
Hapa mi nitakuwa sawa na mtu anaelima mpunga kwa lengo la kuvuna mahindi.
Hiyo kazi sifanyi
 

Duuh noma kweli
 
Umedanganywa....ulimwenguni kuna majua mengi sana
 
Nafsi ni nini? Kwamba tafsri ya nafsi ni nguvu zinazo jitambua?
Nikama sisi ...sisi kisayansi pia ni energy na nafsi ni energy pia kwa kuwa vitu vyote ni energy.....wanasayansi wanapinga huu ukweli kuwa energy inaweza kujitambua licha wao wenyewe pia ni energy zenye kujitambua
 
Angalia mifumo ya dunia ilivyoundwa kwa ustadi mkubwa utagundua Mungu yupo.kwa mfano aliona majira yanatakiwa yabadilike kuwe na mchana na usiku.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ni mjinga tu asiyeona uwepo wa Mungu.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mungu huyo Aliumbaje wajinga wasio ona uwepo wake?

Mungu huyo, Alishindwaje kuumba binadamu werevu tu wanao ona uwepo wake?

Automatically kazi ya Mungu ya uumbaji ina dosari na kasoro kwa kuumba binadamu wajinga wasio ona uwepo wake.
 
Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Hapakuwa na 'kabla' kabla muda haujaumbwa. Ni sawa na kuuliza north of north pole! Hauwezi kuuliza kilichokuwepo kabla wakati hiyo kabla inatokana na muda
 
Ulimwengu huu hakuna aujuwae mwanzo wala mwisho wake.

Mwenyewe kwenye Qur'an anasema yupo karibu na wewe, hujijuwi tu.


Usimfananishe Mwenyezi Mungu na chochote. Unapata tabu kwa sababu ulishaaminisha zile picha za mzungu kuwa ni mungu wako.
Kwa nini nyie huwa mnaingilia kazi zake
 
Nikama sisi ...sisi kisayansi pia ni energy na nafsi ni energy pia kwa kuwa vitu vyote ni energy.....wanasayansi wanapinga huu ukweli kuwa energy inaweza kujitambua licha wa wao wenyewe pia ni energy zenye kujitambua

Duuh noma kwekweli
 
Japo siiamini bibilia ila naijua vizuri sana kwa vile nimekulia katika imani kali sana ya kikristo.
Mwanzo inasema roho wa Mungu akatulia katika vilindi vya maji


Dunia ilikuwa ukiwa tena giza totoro na dunia yote ilikuwa ni maji tu. Mungu aliiumba dunia akiwa juu ya maji ya dunia. Ukiondoa binadamu aliyeumbwa kwa mkono, vingine vyote viliumbwa kwa neno, yaan alikuwa akitamka tu vinatokea
 
Waandishi kama hawa nawashangaa wanawaamini wanasayansi wa kizungu kuliko Mungu yani vitabu vya wanasayansi mnaviamini kuliko vitabu vya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…