cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Mkuu unajua kokwa la embe lakiniKinakuwa injected na kisindano cha mzazi mtu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unajua kokwa la embe lakiniKinakuwa injected na kisindano cha mzazi mtu..
Nini kokwa, hao wadudu wanakutwa hadi kwenye ubongo wa mbuzi katikati, sasa kokwa utalinganisha na fuvu?Mkuu unajua kokwa la embe lakini
Siwezi kusema chanzo, labda mechanism - nuclear fusionNishati yote duniani chanzo chakra ni jua,but can change from one form to another.kwahio mwisho wa uhai au maisha ni kufa Kwa jua letu.swali la kujiuliza Nini chanzo Cha jua?na chanzo Cha ulimwengu?after that you can define what is life?and where it came from and its original.
Kwahiyo Kama Hana Mshirika Maana Yake Hawa Manabii na Mitume wote ni Waongo.
Kuanzia Kina Musa..Elia..Yesu.. Mohamedi wote hawa Hana Ushirika nao
Malaika Wapo Wabaya..Wazuri na Waovu Unajuaje Kwamba Alikuwa anaongea na Malaika Mzuri au Mbaya.. Kama Mungu amekamilika Inakuwaje Tena Anatuma Viumbe wengine kwenda Kuongea na Wengine
Mbona Wewe Hujawahi Kutumwa Kwenda kuongea na Malaika au Viumbe wengine kama jini na Mashetani. Yaani wao tu ndio wanakuja Kwako. Huwezi jiuliza Hata Kutumia Tu Akili hapo kwamba Unapumbazwa
Kwanza Mungu Haongei na Viumbe wake. Maana Kuongea Ni mpaka Mtu apate Mwili na Mdomo na Ulimi. Mungu akiongea Basi Ujue Hapo Ana Mwili kama Wewe au Viumbe unavyo-viona vinatembea. Na Kama Angekuwa anaongea Mpka Leo hii angekuwa anaongea
Ukiona Ameandika Aliongea mwanzo halafu Leo hii Haongei Jua Umepumbazwa na Maandiko
Kwanza Hawakuja na Ujumbe Mmoja. Musa Alikuja Na Yake..
🟢Mambo ya Sabato n.k
🟢Torati
Yesu akaja na Yake..
🟢Mambo ya Mwana Wa Mungu
🟢Roho Mtakatifu
Mohamed akaja na Yake
🟢 Kuabudu Mecca
🟢Mungu hana Mshirika
Maana Leo Kuna Msikiti..Kanisa na Sinagogi. Kama Hawa Wangekuwa Wote wametumwa Na Mungu Basi Wasingepishana Hivyo. Leo hii Muislam anaabudu tofauti na Mkristo... Leo hii Wayahudi wanaabudu Tofauti na Waislamu na Wakristo. Sasa Hapo Mungu Mmoja Yupo wapi
[emoji1630]POLE KWA KUPIGWA BAN
Ulimwengu huu hakuna aujuwae mwanzo wala mwisho wake.Namaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Nafsi ni nini? Kwamba tafsri ya nafsi ni nguvu zinazo jitambua?Ndiyo maana yake wanakubali kuwa nguvu za uumbaji zipo na zinajulikana ila wanakataa kuwa hizo nguvu zina jitambua(yaani ni nafsi)
Sasa kama haujui funza kafikaje kwenye embe utaweza kweli kujua mungu alikuwa wapi kabla ya kuumba ulimwengu?Ni jibu nini sasa hapo mambo ya Mungu aachiwe Mungu, hebu nikuulize swali alaf unipe majibu unaweza niambia funza kaingiaje kwenye kokwa la embe? Ukipatia basi ntaujibu ilo la kwako
Project iliyowaleta kwenye Accient civilization ilikua ni Gold,
Dhahabu ilikua ni lengo kuu kwao
Inadaiwa Dhahabu ni ufunguo wa maisha kwao maana hapo kale ulitokea mtafuruku kwenye Sayari Zao uliokuja kuzalisha vita Kali Sana iliyohusisha Nuclear reactors power kutokana na ujuzi mkubwa wa kiteknolkjia walikuta wameharibu mifumo ya kawaida wa Sayari za Orion's
Wakajikuta Kuna material wanazihitaji Ili kurecover Moja wapo ni dhahabu basi ndio waakanza kuzunguka Sayari mbali mbali wakizitafuta ndio wakajipata wapo duniani na hapa walikuta mfumo tofauti wa kimazingira kama ilivyo Sasa,
Katika maandiko ya kale ya Sumerian wanadai waliwakuta duniani viumbe mithili ya primitive wakiishi kama wanyama wengine wa kawaida na changamoto kubwa kwao licha ya technology kubwa ila walihitaji man power wa kusaidia kazi na ndipo walipoanza majaribio ya kisayansi ya kumproject primitive Kwa kuchanganya DNA tests mara ya kwanza walianza kupata viumbe vingi kama
marmeids
viumbe kichwa Cha mbuzi kiwili wili Cha Binadamu na miguu yenye kwako,
Wakatengeneza nusu
Mtu nusu nyani
Wakatengeneza nusu farasi nusu Mtu
Wakatengeneza nusu nyoka nusu Mtu
Tatizo lilikuja Hawa viumbe walio wa project walifeli kwenye uzalishaji yaani hao viumbe wote walikua hawana uwezo wa kuzalisha Zaidi na walichukua kipindi kichache kusurvive
Annunaki wakaona wanaingia hasara kutengeza sample Kila siku kuongeza nguvu KAZI ndio walipokaa na kuamua
Kutoa DNA Za miili Yao na kuunganisha na ya primitive
Wakabahatika kumtoa Homo sapiens Sapiens kamili ambae ndie super human na akawa na uwezo wa kuzalisha na ana life span ndefu,mwenye akili,ujuzi na kutambua Nini anafanya
Humanoids waliweza kufanya Kazi wakiongozwa na akili Zao timamu na ANUNNAK wakawapa ujuzi mkubwa sana wa kuchimba gold na kuanzisha ustaarabu wa kwanza wa kale na ndio historia ya Mwanadamu na Watu ikaanzia hapo,
Hapo tunaona lengo ni Gold tu na Ndio maana jiulize Toka Hapo kale walikua wanachimba dhahabu Kwa mamillion ya Tani na zikaja kupotea ghafla tu zilienda wapi na hua haziozi?
Jibu utapata mataifa makubwa yanajua Siri za Gold na ndio maana inazalishwa Kwa wingi ila hua haieleweki inakopotelea hata utafiti wa Hivi majuzi unadai Kuna upotevu wa kutatanisha wa dhahabu yaani kiwango kinachozalishwa ni kikubwa ila kinachoingia kwenye rekodi ni kidogo Sana
Secrets a.k.a secreto!
Umedanganywa....ulimwenguni kuna majua mengi sanaNishati yote duniani chanzo chakra ni jua,but can change from one form to another.kwahio mwisho wa uhai au maisha ni kufa Kwa jua letu.swali la kujiuliza Nini chanzo Cha jua?na chanzo Cha ulimwengu?after that you can define what is life?and where it came from and its original.
Nikama sisi ...sisi kisayansi pia ni energy na nafsi ni energy pia kwa kuwa vitu vyote ni energy.....wanasayansi wanapinga huu ukweli kuwa energy inaweza kujitambua licha wao wenyewe pia ni energy zenye kujitambuaNafsi ni nini? Kwamba tafsri ya nafsi ni nguvu zinazo jitambua?
Ni mjinga tu asiyeona uwepo wa Mungu.Mungu ni dhana ya kufikirika. Hayupo
Mungu huyo Aliumbaje wajinga wasio ona uwepo wake?
Hapakuwa na 'kabla' kabla muda haujaumbwa. Ni sawa na kuuliza north of north pole! Hauwezi kuuliza kilichokuwepo kabla wakati hiyo kabla inatokana na mudaNamaanisha kabla ya ulimwengu kuumbwa, Mungu aliumba ulimwengu na kila kilichomo akiwa wapi? Je, alikuwa Mbinguni? Na wakati anaumba mbingu, alikuwa anaiumba akiwa wapi?
Kwa nini nyie huwa mnaingilia kazi zakeUlimwengu huu hakuna aujuwae mwanzo wala mwisho wake.
Mwenyewe kwenye Qur'an anasema yupo karibu na wewe, hujijuwi tu.
Usimfananishe Mwenyezi Mungu na chochote. Unapata tabu kwa sababu ulishaaminisha zile picha za mzungu kuwa ni mungu wako.
Nikama sisi ...sisi kisayansi pia ni energy na nafsi ni energy pia kwa kuwa vitu vyote ni energy.....wanasayansi wanapinga huu ukweli kuwa energy inaweza kujitambua licha wa wao wenyewe pia ni energy zenye kujitambua