Mm najua na hiyo imethibitishwa na wachambuzi wa Quran kuwa majina matano kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI. Hapo kwenye majina Yako 99 nimeyaona majina 4. Moja lile linalomuonyesha Allah ni Deceiver ( Al Makir) halipo. Au labda hilo ndilo Jina ambalo Allah ametuficha ili tusimtambue kuwa yeye ndiye yule SHETANI MWENYEWE?
Ash- Shakur, ayseeeee
Ndomana ukimtaja Yesu wanakuchukia!!Mm najua na hiyo imethibitishwa na wachambuzi wa Quran kuwa majina matano kati ya majina 99 ya Allah yanaonyesha yeye ndiye yule SHETANI. Hapo kwenye majina Yako 99 nimeyaona majina 4. Moja lile linalomuonyesha Allah ni Deceiver ( Al Makir) halipo. Au labda hilo ndilo Jina ambalo Allah ametuficha ili tusimtambue kuwa yeye ndiye yule SHETANI MWENYEWE?
View attachment 2902120
Mention his name!!Uzao wa isaka(wakristo) na ishamaeli (waislam) wanapingana kiimani ila baba yao ni mmoja.
Weupe (waedomu) kwa weusi (wakush) wanavutana wakati ni pacha wa baba mmoja na mama mmoja.
Muumba CHANZO HALISI kaja kututoa hapo maana yeye ni UPENDO uliopitiliza, kaja kututoa kwenye tofauti za kiimani,kiitikadi, kikabila na kitaifa tumjue yeye maana wote wenye haki tulioumbwa ni wa kwake.
Mention his name!!
YHWHSalaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Ndio jina tulilopewa wanadamuKwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
LitajeNdio jina tulilopewa wanadamu
JEHOVA SHALOMMajina yote mazuri ni yake
Yawhe
Jehova Jire
Jehova Rafa
Jehova Nisi
..........
........
Mila zetu ni zipiBrain washed...Huna lolote.
Story za waarabu na wayahudi hizo...wewe umeletewa tu...na nimarufuku kuhoji. Ukihoji unaambiwa unakufuru..
Kwanza wenyewe wanastaajabu mlivyo wajinga kwa kukumbatia mila zao na kuacha zakwenu.
(Ufunuo 22:13,16)Mungu mwenye mwanzo na mwisho (mwanzo 1:1,ufunuo 1:8, ufunuo 21:6, ufunuo 22:13) aliekuwa anaabudiwa na wengi hata yeye aliumbwa na Muumba yaani CHANZO HALISI (warumi 11:36) asiye na mwanzo wala mwisho.
(Ufunuo 22:13)
Inamtaja Yesu kuwa ndiye Alpha na Omega, ndiye mwanzo na mwisho.
Hayo ni Majina.JEHOVA SHALOM
JEHOVA ADONAI
JEHOVA RAPHA
JEHOVA RAAH
JEHOVA TSIDKENU
Jiulize yule unayeongea naye kimoyomoyo, hivi ni nani?Hayo ni Majina.
Mada inataka Jina Moja lenye kuzaa Majina hayo mengine.
Ni lazima wachukie, ni kwa sababu Allah ndiye SHETANI MWENYEWENdomana ukimtaja Yesu wanakuchukia!!
Kwaiyo worlte wasubiria majibu 😂Mkuu mi nimecheka swali lako tu, na mm niko hapa kusubiri jibu toka kwa mhusika 🤔
Jibu swali sawasawa na MADA inavyouliza ndugu🙏Jiulize yule unayeongea naye kimoyomoyo, hivi ni nani?
Soma whole chapter, Anaongelea ufufuo wa WAFU.Soma 1korintho 15:24,28
24 Hapo ndipo mwisho, atakapompa Mungu Baba ufalme wake; atakapobatilisha utawala wote, na mamlaka yote, na nguvu.
28 Basi, vitu vyote vikiisha kutiishwa chini yake, ndipo Mwana (Yesu) mwenyewe naye atatiishwa chini yake yeye aliyemtiishia vitu vyote, ili kwamba Mungu awe yote katika wote.
Mwisho anakabidhi nguvu,uweza na mamlaka kwa aliyemtuma yaani alikuwepo kabla ya chochote CHANZO HALISI.
JEHOVAHSalaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏