Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

Yohana20:17"Yesu akamwambia acha kuning'ang'ania,kwamaana Bado sijaoanda kwenda kwa Baba.Lakini nenda kwa ndugu zangu nawe uwaambie, Ninapanda KWENDA KWA BABA YANGU NA BABA YENU na kwa MUNGU WANGU NA MUNGU WENU " ukisoma hili andiko utaelewa kuwa hata Yesu ana Mungu anayemwabudu na yeye sio Mungu
Okay brother let's start

When Jehovah said;
Isaiah 44:6
[6]Thus saith the LORD the King of Israel, and his redeemer the LORD of hosts; I am the first, and I am the last; and beside me there is no God.

But also Jesus said in revelation;
Revelations 1:17-18
[17]...And he laid his right hand upon me, saying unto me, Fear not; I am the first and the last:
[18]I am he that liveth, and was dead; and, behold, I am alive for evermore...

Do you see the similarity?

Okay, let's hear what Mosses has to say;
Deuteronomy 6:4
[4]Hear, O Israel: The LORD our God is one LORD.
Screenshot_20240126_122204_Chrome.jpg

Now, Let's see what "One" real meant back then....
The hebrew word for the "One" is "Echad" which means "United", "Unity", "The idea of unity", "being of many parts yet one", also "Echad" stresses/describes "unity/oneness but recognises the diversity within that oneness"

And that's why Jesus said in John;
John 10:30
[30] I(Jesus) and my father(Yehovah) are one.

It gets more interesting...
The root word of "Echad" is "Achad" which means "To Unify" and it also means "To go one way or another"
That's why Jesus said;
John 14:6
[6] I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.

Also, Jesus accepted worship from humans multiple times and it's well recorded in the bible, what kind of a prophet accepts worship??

And if you remember when Jews asked him "You're not fifty(50) yet, how come you claim you saw Abraham" and Jesus said "Truly, truly I say unto you, before Abraham, I AM"
Why didn't he say "I was"? Why did Jesus say "I am", this is very significant, if you remember in the old testament when Mosses asked Yehovah "if they ask me who sent you what should I tell them?" and yehovah replied "Tell them I AM WHO I AM sent you"
Do you see another similarity??

Anothet interesting fact, If you read Proverbs you will see that even back then Yehovah had a son and both are one together with the holy spirit
Proverbs 30;4(talks about Yehovah)
Who hath ascended up into heaven, or descended?
Who hath gathered the wind in his fists?
Who hath bound the waters in a garment?
Who hath established all the ends of the earth?
What is his name,
and what is his son's name, if thou canst tell?

Jkalevela Do you need any more proof??

Rabbon Tayana-wog
 
Mimi naona tabu kufanya maombi kwa "Mungu wa Israel".
Hii inawapa kiburi Jews kuona watu wanamshobokea Mungu wao!
Hufahamu kitu nikufundishe leo. Tunamuabudu Mungu ambaye aliitumia nchi ya Israel kama Lango kufikia na kukomboa Mankind mkuu. Toka enzi hao wana wa Israel walimkataa Mungu wao toka kipindi cha Musa hadi Uesu alipokuwa katika mwili wakamkataa. Tunaomba kwa Jina la Yesu lenye Maana Yehova ni Mkombozi wetu na utimilifu wote wa kiungu umrkamilika katika Jina Yesu.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Huna akili.

Mungu huziweka Roho za WANADAMU ndani ya miili ya WANADAMU.

Adamu aliumbwa na Mungu, Hilo Tendo hata halikufanyika.

Akili Yako finyu ndo inakufanya uwaze uwazavyo.

Ikiwa mganga wa kienyeji anaweza kumpa mwanamke mtoto aliye Pepo na Kuzaliwa,

Iweje Mungu ashindwe jambo Hilo dogo?

Pumbavu kabisa.
Twende taratibu huu mchezo hauhitaji hasira,mbona naona unajikanganya mwenyewe ulisema Yesu ndiye Mungu halafu unasema Mungu ndiye aliyeweka ujauzito na roho kwenye tumbo la Mama yake Yesu! Sasa Mungu ni aliyeweka ujauzito au Mungu ni yule aliyewekwa na hatimaye kuzaliwa na Maria? au alicheza part zote yeye mwenyewe.? Ni kuelimishana tu.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Soma andiko lolote kwenye hiyo Biblia halafu ulinganishe na Biblia nyingine halafu uone kama Zina maana sawa au tofauti
Tofauti haiko wazi, ndio maana nikasema mpaka uwe na uelewa sana kugundua hilo. Hii tafsiri ya ulimwengu mpya (2017) inatofautiana pia baadhi ya maneno ukillinganisha na tafsiri za nyuma . Wenzako walisema ni kiswahili cha kisasa japo kuna maana halisi inapotea kulingana na kukua kwa lugha.
 
Roho mtakatifu ni ROHO wa Yesu.

Mungu ni MMOJA NAFSI Moja.

Akiwa Mbinguni ni Baba,

Alipokuja katika mwili wa mwanadamu aliitwa mwana,

Aishipo ndani ya WANADAMU wote Kwa wakati mmoja, anaitwa Roho mtakatifu, au Roho wa Yesu.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Kwa hili upo sahihi na umesema kqeli kabisa. Mungu akutie nguvu mtumishi kwa ufunuo huu. Mara nyingi tunatumia state(Hali) tatu xa Maji kuonesha namna Nafsi tatu za Kimungu zilivyo.

maji yakiwa kwenye state ya kimiminika tunayaita maji, yakiwa kwenye state ya gas ni mvuke na yakiwa kwenye state ya ugumu ni barafu lakini yote yanabaki kuwa ni maji.
 
Okay brother let's start

When Jehovah said;
Isaiah 44:6
[6]Thus saith the LORD the King of Israel, and his redeemer the LORD of hosts; I am the first, and I am the last; and beside me there is no God.

But also Jesus said in revelation;
Revelations 1:17-18
[17]...And he laid his right hand upon me, saying unto me, Fear not; I am the first and the last:
[18]I am he that liveth, and was dead; and, behold, I am alive for evermore...

Do you see the similarity?

Okay, let's hear what Mosses has to say;
Deuteronomy 6:4
[4]Hear, O Israel: The LORD our God is one LORD.
View attachment 2901781
Now, Let's see what "One" real meant back then....
The hebrew word for the "One" is "Echad" which means "United", "Unity", "The idea of unity", "being of many parts yet one", also "Echad" stresses/describes "unity/oneness but recognises the diversity within that oneness"

And that's why Jesus said in John;
John 10:30
[30] I(Jesus) and my father(Yehovah) are one.

It gets more interesting...
The root word of "Echad" is "Achad" which means "To Unify" and it also means "To go one way or another"
That's why Jesus said;
John 14:6
[6] I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.

Also, Jesus accepted worship from humans multiple times and it's well recorded in the bible, what kind of a prophet accepts worship??

And if you remember when Jews asked him "You're not fifty(50) yet, how come you claim you saw Abraham" and Jesus said "Truly, truly I say unto you, before Abraham was, I AM"
Why didn't he say "I was"? Why did Jesus say "I am", this is very significant, if you remember in the old testament when Mosses asked Yehovah "if they ask me who sent you what should I tell them?" and yehovah replied "Tell them I AM WHO I AM sent you"
Do you see another similarity??

Anothet interesting fact, If you read Proverbs you will see that even back then Yehovah had a son and both are one together with the holy spirit
Proverbs 30;4(talks about Yehovah)
Who hath ascended up into heaven, or descended?
Who hath gathered the wind in his fists?
Who hath bound the waters in a garment?
Who hath established all the ends of the earth?
What is his name,
and what is his son's name, if thou canst tell?

Jkalevela Do you need any more proof??

Rabbon Tayana-wog
Blessed be you.

Yesu akawauliza, ninyi mwasema Mimi ni nani?

Petro akasema, wewe u Messiah, Mwana wa Mungu aliye hai.

Yesu akasema, Mwili na Damu havikukufunulia haya, Bali Baba yangu aliye Mbinguni.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Kwa hili upo sahihi na umesema kqeli kabisa. Mungu akutie nguvu mtumishi kwa ufunuo huu. Mara nyingi tunatumia state(Hali) tatu xa Maji kuonesha namna Nafsi tatu za Kimungu zilivyo.

maji yakiwa kwenye state ya kimiminika tunayaita maji, yakiwa kwenye state ya gas ni mvuke na yakiwa kwenye state ya ugumu ni barafu lakini yote yanabaki kuwa ni maji.
Kulijua Siri hii,

Mungu akufunulie, akili zetu kamwe haiwezi kulijua hili.

Ubarikiwe pia.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Twende taratibu huu mchezo hauhitaji hasira,mbona naona unajikanganya mwenyewe ulisema Yesu ndiye Mungu halafu unasema Mungu ndiye aliyeweka ujauzito na roho kwenye tumbo la Mama yake Yesu! Sasa Mungu ni aliyeweka ujauzito au Mungu ni yule aliyewekwa na hatimaye kuzaliwa na Maria? au alicheza part zote yeye mwenyewe.? Ni kuelimishana tu.
Alikujibu kwa hasira tokana na jinsi ulivyoandika kwa kejeli sio kwa nia ya kujifunza.

Ni hivi, Mungu mwenye Enzi zote aliyeumba mwanadamu bila kuingiliana kwa mwanamke na mwanaume(Adam na hawa) ndiye aliyejifanyia Mwili na kukaa tumboni kwa mwanamke ili aje amkomboe mwanadamu.

Ni hivi, ili mwanadamu Mtu wa ndani na mtu wa nje. Mtu wa ndani ni ile Roho yenye pumzi ya Uhai na mti wa nje ndio huu mwili. Sasa yeye aliyeumba mwili aliweka Roho yake ndani ya mwanamke naye akazaliwa kama mwanadamu ili litimie lile agano lake la ukombozi kuwa mwanamke atakombolewa kwa uzao wa Mwanamke na ndio maana Yesu ndiye "uzao wa Mwanamke".
 
Hajui alisemalo,

Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuweka Roho ya mtoto ndani ya tumbo la mwanamke.

Baba huweka maji na Damu, Mungu huweka Roho.

Malaika waliumbwa bila hata Tendo Hilo kufanyika, akili za mwanadamu ni finyu sana kumfahamu na kumjua Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Alikujibu kwa hasira tokana na jinsi ulivyoandika kwa kejeli sio kwa nia ya kujifunza.

Ni hivi, Mungu mwenye Enzi zote aliyeumba mwanadamu bila kuingiliana kwa mwanamke na mwanaume(Adam na hawa) ndiye aliyejifanyia Mwili na kukaa tumboni kwa mwanamke ili aje amkomboe mwanadamu.

Ni hivi, ili mwanadamu Mtu wa ndani na mtu wa nje. Mtu wa ndani ni ile Roho yenye pumzi ya Uhai na mti wa nje ndio huu mwili. Sasa yeye aliyeumba mwili aliweka Roho yake ndani ya mwanamke naye akazaliwa kama mwanadamu ili litimie lile agano lake la ukombozi kuwa mwanamke atakombolewa kwa uzao wa Mwanamke na ndio maana Yesu ndiye "uzao wa Mwanamke".
Kwahiyo katika muendelezo huo huo wa kumkomboa mwanadamu ndiyo apigwe mijeledi, asulubiwe na kufanyiwa dhihaka za kila aina na wanadamu aliowaumba yeye mwenyewe!
 
Twende taratibu huu mchezo hauhitaji hasira,mbona naona unajikanganya mwenyewe ulisema Yesu ndiye Mungu halafu unasema Mungu ndiye aliyeweka ujauzito na roho kwenye tumbo la Mama yake Yesu! Sasa Mungu ni aliyeweka ujauzito au Mungu ni yule aliyewekwa na hatimaye kuzaliwa na Maria? au alicheza part zote yeye mwenyewe.? Ni kuelimishana tu.
Nami nikuulize,

Mbinguni yupo Mungu amekaa kwenye KITI Cha Enzi,

Hapo hapo neno linasema Mungu yupo Mahali pote Kwa wakati mmoja, unaelewa nini hapo?

Kwako Unadhani Mungu anashindwa kuwa duniani katika mwili wa mwanadamu, hapo hapo akawa Mbinguni na mambo mengine yakiendelea?

Ikiwa mchawi tu anaweza kuwa Mwanza na akawepo Dar Kwa wakati huo huo Kwa msaada wa Pepo,

Ujue Mungu anaweza kufanya yote ambayo wewe unaona hayawezekani.

Ili awe Mungu ,lazima awe na uwezo usio na limits!!
 
Hufahamu kitu nikufundishe leo. Tunamuabudu Mungu ambaye aliitumia nchi ya Israel kama Lango kufikia na kukomboa Mankind mkuu. Toka enzi hao wana wa Israel walimkataa Mungu wao toka kipindi cha Musa hadi Uesu alipokuwa katika mwili wakamkataa. Tunaomba kwa Jina la Yesu lenye Maana Yehova ni Mkombozi wetu na utimilifu wote wa kiungu umrkamilika katika Jina Yesu.
Oya mimi mkubwa mwenzio usinipe story za kitoto!
Nauliza Kwa nini Mungu wa Israel? na sio wa mataifa mengine yote?
Israel hawafiki Mil 20!
Kutumia jiyo phrase kunamfanya huyo Mungu kuwa ethnic god of Israel.

Kihistoria hiyo phrase waliitumia wana wa Israel kujifaharisha dhidi ya miungu wa mataifa mengine wakti ule kila taifa/kabila lilikuwa na mungu wake.

Lakini sasa lazima tuwe na Universal God!
 
Nami nikuulize,

Mbinguni yupo Mungu amekaa kwenye KITI Cha Enzi,

Hapo hapo neno linasema Mungu yupo Mahali pote Kwa wakati mmoja, unaelewa nini hapo?

Kwako Unadhani Mungu anashindwa kuwa duniani katika mwili wa mwanadamu, hapo hapo akawa Mbinguni na mambo mengine yakiendelea?

Ikiwa mchawi tu anaweza kuwa Mwanza na akawepo Dar Kwa wakati huo huo Kwa msaada wa Pepo,

Ujue Mungu anaweza kufanya yote ambayo wewe unaona hayawezekani.

Ili awe Mungu ,lazima awe na uwezo usio na limits!!
Kama ulivyosema Mungu ana uwezo usio na limits,kwahiyo hakuwa na sababu ya kujiweka tumboni kwa binadamu aliyemuumba mwenyewe ili eti azaliwe na ndiyo aje kumkumboa mwanadamu.
Yesu sio Mungu,Yesu ni mtu tu kama wewe.
 
Kwahiyo katika muendelezo huo huo wa kumkomboa mwanadamu ndiyo apigwe mijeledi, asulubiwe na kufanyiwa dhihaka za kila aina na wanadamu aliowaumba yeye mwenyewe!
Yes, Hilo lisikusumbue Yesu ni mwanadamu 100% (maana alivikwa mwili wa mwanadamu, akazaliwa na wanadamu kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu). Kwa kuwa wanadamu anaweza fanyiwa vile na wanadamu ili lengo la ukombozi litimie, otherwise ange resist (alikuwa na uwezo huo) angepingana na unabii uliotolewa na Isaya.

Yes, Yesu ni Mungu 100%, ndio maana aliamua kutengeneza njia mpya ya wokovu kwa mwanadamu baada ya mwanadamu kuasi. Angeweza kufanya otherwise, lakini ingekuwa ni command wakati yeye anataka mwanadamu awe na person will ya kuamua cha kufanya. Yeye alichofanya ni kumpa huyo mwanadamu direction ya kufata sio kum command kufanya jamo. Hope umeelewa.
 
Kwa Ukristo.
Mungu ni cheo cha juu anatambulika kama Jehovah.
Yesu ni nguvu kuu ya utendaji iliyo ndani ya Mungu.
Thus huwezi kemea pepo kwa jina la Mungu bali Yesu.
Shetani anaogopa jina la Yesu na sio Jehovah.
Story za kusadikika hizo...ili uziamini ni lazima ujizime data ( usihoji kwa logic)
 
Yes, Hilo lisikusumbue Yesu ni mwanadamu 100% (maana alivikwa mwili wa mwanadamu, akazaliwa na wanadamu kwa ajili ya kumkomboa mwanadamu). Kwa kuwa wanadamu anaweza fanyiwa vile na wanadamu ili lengo la ukombozi litimie, otherwise ange resist (alikuwa na uwezo huo) angepingana na unabii uliotolewa na Isaya.

Yes, Yesu ni Mungu 100%, ndio maana aliamua kutengeneza njia mpya ya wokuvu kwa mwanadamu baada ya mwanadamu kuasi. Angeweza kufanya otherwise, lakini ingekuwa ni command wakati yeye anataka mwanadamu awe na person will ya kuamua cha kufanya. Yeye alichofanya ni kumpa huyo mwanadamu direction ya kufata sio kum command kufanya jamo. Hope umeelewa.
Story za kusadikika hizo..ili uziamini ni lazima ujizime data.
 
Ndo nakwambia,

Kuprove Jina YEHOVA, kemea Pepo Kwa Jina la YEHOVA Kisha uje kuleta majibu hapa.

YEHOVA ni sawa na kusema MWENYEZI MUNGU. Bado hujalitaja Jina lake.
Kwani umesoma Biblia imekuambia nini?
au unataka kubishana!
. bible ikisema huo ndo ukweli achana na maneno ya watu. Kukemea pepo ni njia wanayotumia wachungaji kuchukua pesa zako.
 
Ndo nasemaje,

Hayo Majina ni Majina yenye kuhuzisha mamlaka na uweza wa Mungu.

Mungu analo Jina ambalo tumepewa WANADAMU lililokuwa limefichwa AGANO la kale ambalo LIMEFUNULIWA.

Litaje ikiwa walijua.
Unalazimiaha ambacho hata ukijibiwa hukijui.

Shika Neno lake
Amini Neno lake
Tafuta USO wake.

Hayo ndo ya msingi sana. Safari ya Mbinguni haina ujuaji bali kuomba rehema na neema zake aliye mkuu wa wakuu wote
 
Majina yote mazuri ni yake
Yawhe
Jehova Jire
Jehova Rafa
Jehova Nisi
..........
........
YAHWEH
YHWH
JEHOVAH

Jehova jireh
Jehova rafah
Jehova shamah
......…
.........
......
Mfano Jehova jireh
Baada ya jamaa kutaka kumtoa mwanae sadaka akaletewa kondoo ndipo akasema Jehova jireh ikiwa na maana Mungu atoaye
Kwahiyo hizo ulizotaja na nyingine nyingi zinaendana na matukio yaliyotokea kwa manabii kuonyesha ukuu wa Mungu lakini siyo jina la moja kwa moja la Mungu
 
Back
Top Bottom