Je Mungu anaweza kuwa Mungu; Je mtu anaweza kuwa Mungu?

Harmonize aliwahi kusema Mungu ni mwanamke.

Uliskia matamko ya masheikh?

Shaggy ana goma lake linaitwa strength of woman, moja ya verse yake anasema kwa jinsi ulimwengu ulivyoumbwa anadhani huwenda Mungu ni mwanamke.

Angalia reaction ya watu, wapo masheikh wa istiqama walikuja na video za masaa matatu kusema hiyo ni kufru.

Lakini niambie kuna rekodi gani ya mtu aliyewahi kusema Mungu ni mwanaume na jamii ika react kwa hasira kuwa amefanya kufuru?
 
Nimekupata mkuu, hilo lipo wazi kabisa.

Sema ile verse pale ndo nilishangaa
 
Swali ni je, Kila kilichopo lazima kiwe na chanzo?

Kama jibu ni ndiyo basi hili swali litakuwa na mantiki ikiwa huko mbeleni hautoweka mipaka.

Isifike mahali lipatikane jibu kuwa kuna kitu ambacho chenyewe ndio kisababishi cha vitu vyote halafu hicho kitu hakina chanzo.

Hapo utakuwa umeharibu msingi wa saali na kulazimisha majibu ambayo hayaheshimu sheria na kanuni ya upatikanaji wa jibu.

So kwa kifupi itakuwa ni swali ambalo linakuleta kwenye majibu ambayo ni infinite.

Lakini pia hata ukajibu hapana kwenye lile swali kwamba si lazima kilichopo kiwe na chanzo, basi kumbe tunaweza kusema hata ulimwengu pia upo na hauna chanzo kwasababu si lazima kilichopo kiwe na chanzo.
Tuachane na ulimwengu ,Je binadaamu na viumbe vingine vilitokeaje? Na kwanini vikawa Ke na Me kama vilizuka tu?
 
Moja kwa moja swali lako umeshalipinga mwenyewe kwa kanuni ya first cause paradox.
Ila vilivyomo vina mwanzo na mwisho na ndiyo maana wanasayansi wanasema jua likija kuzima mfano leo itachukua miaka milioni 50 kusambalatisha solar system(Mwisho wa Dunia).
 
Hapa tayari kanuni ya swali lako umeivunja mkuu , first cause paradox.
 
Ila vilivyomo vina mwanzo na mwisho na ndiyo maana wanasayansi wanasema jua likija kuzima mfano leo itachukua miaka milioni 50 kusambalatisha solar system(Mwisho wa Dunia).
Itachukua dakika nane tu mkuu, dunia itakosa gravitatinal achor na kuanza kuranda kwenye space, na masaa matano kufika pluto hivyo kwa solar sytem nzima tuseme ni masaa matano mpaka nane
 
Kuku na yai ilianza nini? Kimantiki alianza Kuku maana huyo ndiyo aliyeumbwa kisha akapewa mfumo wa reproduction.

Je unaamini uwepo wa Shetani na Mzimu? Je unaamini uwepo wa uchawi?
Mimi sio mfuasi wa kuamini shetani wala Mungu

Ila kwa mfano wako lazima kila kitu kiwe na chanzo na Mungu ndio chanzo ila yeye hana chanzo .

Hapo ndipo first cause paradox inapoonekana , yani unatengeneza kanuni fulani ila wewe unakwepa kuhukumiwa na hizo hizo kanuni zako ili kulinda imani yako🤔
 
Kuna theory nyingine ambayo mi naona ndio nzuri, effect inaanza kisha cause, kama ulishaona series ya dark wameitumia hiyo,
Tuseme civilizatio imekuwa advance sana kutokana na kardshlev scale tumefika hatua ya ku harness energy kwenye black holes na kutengeneza quantum computer yenye uwezo mkubwa hivyo tunataka kuunda ulimwengu sababu unachohitaji ni energy tu ila energy inahitajika kubwa sawa na energy nzima ya ulimwengu hivyo bila kujua tunatengeneza ulimwengu mpya ila tunaharibu ulimwengu huu na big bang inatokea na mambo yanaanza upya, yani inakuwa sisi wenyewe tutatengenza huu ulimwengu huko future na sysytem inakuwa na timeloop hakuna mwanzo wala mwisho
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kauli: “Mungu ni dhana tu ya jamii” ina matatizo makubwa.

Kwa logic , Kama Mungu ni dhana tu:​

1. Hakuna Mungu wa kweli
2. Hakuna ufunuo, ukweli wa juu, wala maadili ya kudumu

Lakini dini (Ukristo na Uislamu) zinadai: Mungu alizungumza , Aliongoza historia kwa hivyo Huwezi kusema ni dhana tu halafu useme alinena kweli.

Kibiblia , Mungu hajitambulishi kama wazo la jamii bali kama aliye hai na huru:​

“Mimi ndimi niliye” (Kutoka 3:14)​

Manabii waliupinga utamaduni wa jamii zao, hivyo Mungu si zao la mapokeo.

Kwa Qurʾān “Yeye ni Allah, Mmoja” (112:1)​

Ukweli hauamuliwi na jamii wala mapokeo (6:116).

​

Ukristo na Uislamu ni nusu tu ya dunia,
 
Kuna theory nyingine ambayo mi naona ndio nzuri, effect inaanza kisha cause, kama ulishaona series ya dark wameitumia hiyo,
Tuseme civilizatio imekuwa advance sana kutokana na kardshlev scale tumefika hatua ya ku harness energy kwenye black holes na kutengeneza quantum computer yenye uwezo mkubwa hivyo tunataka kuunda ulimwengu sababu unachohitaji ni energy tu ila energy inahitajika kubwa sawa na energy nzima ya ulimwengu hivyo bila kujua tunatengeneza ulimwengu mpya ila tunaharibu ulimwengu huu na big bang inatokea na mambo yanaanza upya, yani inakuwa sisi wenyewe tutatengenza huu ulimwengu huko future na sysytem inakuwa na timeloop hakuna mwanzo wala mwisho
Effect inatokea vipi bila sababu, ( causal loop)🤔
 
Back
Top Bottom