Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,622
- 2,897
Wakuandika au wakufikiri? Hana hoja huyo. Subiri atarudi kukucopy hoja yako na ataipeleka kwenye AI na kurudi hapa na hoja kibao zingine hazihusiki😆😆Labda anaona uvivu mkuu
Wakuandika au wakufikiri? Hana hoja huyo. Subiri atarudi kukucopy hoja yako na ataipeleka kwenye AI na kurudi hapa na hoja kibao zingine hazihusiki😆😆Labda anaona uvivu mkuu
Matatizo ya biblia ni tafsiri nyingi na mara nyingine zinaleta maana tofauti. Mungu ange REGRET kumuumba mwanadamu asingemucha Noah... neno sahihi badala ya REGRET ni SORROW ... Mungu alihuzunika kumuumba mwanadamu vile alivoona kachafuliwa na malaika walokuja duniani.Mungu ni product ya mtu
Ndio maana ana jinsia (Me) na ukitaka kubisha, jaribu kuangalia watu waliowahi kumuita Mungu ni mwanamke utaona jinsi jamii ilivyo react.
Mungu ana mapungufu vitu kama emotions vinamtatiza pia.
Tumeona kwenye vitabu vya dini vikionesha mara kadhaa masononeko ya Mungu kwenye baadhi ya mambo ambayo hafurahishwi nayo.
View attachment 3543757
Kwa hiyo wewe unayekumbana na stress za kimaisha na kufikiri njia sahihi ya ku overcome hiyo situation ni kufanya maombi Mungu akupe tulizo la nafsi.
Jua kabisa stress ni tatizo kubwa hata Mungu wako hajaweza kupata ufumbuzi wa hii changamoto.