- Thread starter
- #61
Inatokana na form ya energy, mfano light ni aina ya energy pia inaweza kuwa kama paricles na particles zina behave, hivyo behaviour ni some kind of intelligence
Tabia ya chembe si akili.
Chembe inafuata sheria za asili, si nia au ufahamu. Mpangilio wa energy ni mechanical, si hiari.
Kwa hivyo Kusema energy ni Mungu au intelligence ni category error — ubaya wa mantiki.