Inatokana na form ya energy, mfano light ni aina ya energy pia inaweza kuwa kama paricles na particles zina behave, hivyo behaviour ni some kind of intelligence
Du...🙄kumbuka kuwa binadamu na computer na vyote ni energy pia, je binadamu hana Akili ? Kama anayo ni proof kuwa energy inaweza kufanyika akili... ushahidi ni sisi binadamu wenyewe akili zetu na miili yetu na nafsi zetu vyote ni energy...Energy si Mungu.
Ni kweli , Energy haipotei, hubadilika tu
Lakini Energy haina akili , Energy haina hiari , Energy haiweki sheria
Sheria ya “energy hubadilika” inatumika ndani ya mfumo uliopo, haijibu:
Kwa nini mfumo upo kabisa? Kwa nini kuna energy na sheria zake?
Kumfanya Mungu sawa na energy ni kuchanganya makundi (category error).
Energy hufanya kazi, lakini haiwezi kueleza chanzo, mpangilio, na kusudi.
Trinity ni tafsiri potovu ya madhehebuni
ukifika kwenye quantum level particles zina anza ku behave tofauti na laws za universe hyo unaelezeajeTabia ya chembe si akili.
Chembe inafuata sheria za asili, si nia au ufahamu. Mpangilio wa energy ni mechanical, si hiari.
Kwa hivyo Kusema energy ni Mungu au intelligence ni category error — ubaya wa mantiki.
Tafsiri ya trinity ni ya kisiasa siyo ya kimungu ...Ni kweli Utatu ni fumbo la tafsiri ya madhehebuni, si mantiki safi au ukweli unaojitegemea.
Utatu (Trinity) ni tafsiri ya kibinadamu, si maandiko safi.
hujaribu kuunganisha asili zisizofanana, Mungu asiye na mwanzo, asiye na mipaka , Binadamu mwenye mwanzo, mahitaji, na mipaka (Yesu) , Roho Mtakatifu . Hii inazalisha mgongano wa kimaana: haiwezi kuwa “Mungu mmoja na mtu mmoja na Roho mmoja” kiasili.
Du...🙄kumbuka kuwa binadamu na computer na vyote ni energy pia, je binadamu hana Akili ? Kama anayo ni proof kuwa energy inaweza kufanyika akili... ushahidi ni sisi binadamu wenyewe akili zetu na miili yetu na nafsi zetu vyote ni energy...
Every thing is energy...unajua maana ya hii kauli kisayansi ?...energy ndiyo kila kitu ufahamu ni energy, akili ni energy..mawazo ni energy mwili ni energy chemistry yote ni energy cell za viumbe hai zote ni energyBinadamu ana akili, lakini haihusiani moja kwa moja na energy kama fomu tu. Energy (mwanga, chembe, umeme) hufuata sheria, haijui, haina nia — haiwezi kuwa ufahamu.
Binadamu ana akili kwa sababu energy imepangwa na mfumo changamano wa neva, seli, na mwili — si energy yenyewe inayojitekeleza.
Kwa hivyo Kuona binadamu ni proof kwamba energy ni akili hiyo ni category error.
Pia Energy inaweza kuunda miundo changamano, lakini haiwezi kuwa na ufahamu au nia yenyewe.
Every thing is energy...unajua maana ya hii kauli kisayansi ?...energy ndiyo kila kitu ufahamu ni energy, akili ni energy..mawazo ni energy mwili ni energy chemistry yote ni energy cell za viumbe hai zote ni energy
ukifika kwenye quantum level particles zina anza ku behave tofauti na laws za universe hyo unaelezeaje
Tumia akili ....energy ndiyo inafanyika vitu mbalimbali ..ndiyo maana ya energy can charge from one form to another ...jifunze deep sayansi about matters and energy...energy ndiyo inabadilika na kufanyika vitu mbalimbali vilivyo hai na visivyo hai.Kila kitu ni energy kiasili, lakini energy yenyewe haina ufahamu au nia. Binadamu ana akili kwa sababu energy imepangwa ndani ya mfumo changamano, si energy yenyewe.
Kuona binadamu ni proof energy , akili ni category error.
Tumia akili ....energy ndiyo inafanyika vitu mbalimbali ..ndiyo maana ya energy can charge from one form to another ...jifunze deep sayanye about matters and energy...energy ndiyo inabadilika na kufanyika vitu mbalimbali vilivyo hai na visivyo hai
Huyo ndo mtindo wake wa kujibu hoja😅😅😅😅😅Ungejibu tu kawaida bwashee , mambo ya mimi kujadiliana na akili mnemba ni uonevu na dharau bwashee
😃 inakera kuhojiana na mtu ambae hasumbui ubongo wakeHuyo ndo mtindo wake wa kujibu hoja😅😅😅😅😅
Ukimuuliza analipeleka huko kwenye robot lake anakuja anapest huku😃 inakera kugojiana na mtu ambae hasumbui ubongo wake
Hii haikubaliki mkuu ni kunipotezea mda tuUkimuuliza analipeleka huko kwenye robot lake anakuja anapest huku
Ianaonekana hamna anachokijua labdaHii haikubaliki mkuu ni kunipotezea mda tu
Hapo sijajua mkuuIanaonekana hamna anachokijua labda
Sasa mda wote anategemea hilo robot unafikiri kuna kitu hapo mkuu..Asipotumia hawezi kujenga hoja😄😄😄Hapo sijajua mkuu
Labda anaona uvivu mkuuSasa mda wote anategemea hilo robot unafikiri kuna kitu hapo mkuu..Asipotumia hawezi kujenga hoja😄😄😄