Hata kama waliua mbona wametuachia viwanda vizima tumeviuaMkuu tukubali tu kwamba jamaa wanatuacha mbali sana katika kila sekta. Ukisema kuuawa wahandisi, vipi kuhusu michezo? Vipi kuhudu siasa? Vipi kuhusu elimu? N.k...
Nina hakika hata wakiuliwa wahandisi na wataalam wote wa kizungu, bado watazaliwa wengine na kufanya mambo, tena zaidi ya yanayofanyika sasa! Sisi laana inatutafuna tu
Wanafaidikaje?WAPO WANAO UTALAMU WAKUTENGENEZA VYOMBO VYAKURUKA, CHOMBO MAARUFU NI UNGO AU KITU KINAFANANA NA UNGO, MFANO WA "UFO"!!!
AJABU NI WANARUKA NAZO BILA MAFUTA AU MACHINE!!!
LAKINI WANATUMIA BILA KUTAKA WATU WAJUE UTAALAMU WAO.
WENGINE WANAANGUKA NAKUKUTWA ASUBUHI HALI WAKO UCHI NA KATIKA HICHO CHOMBO...
INAWEZEKANA KUEA SABABABU YA KUTOKUENDELEA?!?
NAULIZA TU!!
Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?
Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao weupe??
Sina lengo la kuwasifia lakini najiuliza wao wamewezaje kugundua vitu tunavyoviona leo vikisaidia sana watu lakini kwa upande wetu sisi watu weusi hatujaonesha ugunduzi wowote wa kushtua dunia??
Hebu fikiria mfano teknolojia ya afya jinsi wazungu walivyoweza kugundua madawa mbalimbali ambayo mimi kama mmoja wa wanafunzi wa kozi hii huwa najiuliza hivi hawa watu walijuaje kugundua haya??
Madawa ya bacteria, fungi, protozoa na vaccinations mbalimbali za viruses hivi wao waliwezaje kugundua haya? Na kipindi wanagundua what we blacks were doing in this World??
Sometimes huwa nahisi labda Mungu aliwaumba wao kwanza halafu sisi baadae maana sioni kitu chochote kipya cha kujivunia kama mwafrika..
Technolojia za disease diagnoses kama X-rays, staining techniques, immunofluorescence, FBP, ELISA, microscope n.k Hivi wao waliwezaje kugundua? Au uwezo wa ugunduzi waliopewa wazungu ni tofauti na wa kwetu??
Ukija upande wa pharmacy utaona dawa ambazo ukizisoma utagundua nguvu kubwa ilitumika sana mpaka kuzigundua lakini kitu cha ajabu sisi weusi hakuna hata kitu tumegundua na hata kama vipo basi ni vichache mnooo!
Kuna maprofesa, madokta na PhD holders wengi tu hapa bongo lakini hakuna hata dawa moja wameweza tengeneza ikawa na brand ya kwetu tatizo liko wapi au ni mimi tu naona haya maendeleo ya watu weupe??
Ukija kuangalia teknolojia ya ujenzi wa majumba huko nako n watu hao hao weupe walio watalaamu wa kubuni mijengo mbalimbali na sisi tunaiga kwao...
Pia wameonesha uimara ktk mambo ya michezo,siasa imara,elimu za kiwango cha ajabu,n.k....sisi n miaka 50+ya Uhuru Ila hata handkerchief tunaagiza China HV where is the problem?? I ask myself the following questions..
1.Kama Mungu katuumba sawa,mbona hawa wao wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa kulko sisi?
2.Kama kila kitu chetu tunaiga kwa wazungu yaan utakuta kila kitu unachomilik hapo ulipo kimetengenezwa mbele ,so inamaanisha ili tuendelee lazma tujifunze kwao,je,wao wamejifunza wapi??
Kuna maneno Donald trump alitutukana waafrika lkn mm nikiyaangalia naona kama ni ukweli mtupu kabisa....anasema tumekalia Almas,dhahabu na aina zote za madini lkn bado sisi n maskini na tunaishia kugombana na kuuana sisi kwa sisi kisa Mali asilia hii,tatzo liko wapi wakubwa zangu..mm ndio naanza kukua na kuona Africa jinsi ilivyo..najiuliza kama hawa walionitangulia hawajaweza kutengeneza chochote kile hii inamaanisha sisi ni wa kuzaliwa,kukua,kuoa/kuolewa,kuzaa na kufa tu au??
Au sisi ni zao LA laana (mtanisamehe hapa) maana hamna mchango naoona uliotokana na waafrika ktk kuhakikisha a world is at good form and peace...civil wars,hunger and starvation,poverty,poor hygiene,poor housing,poor infrastructure, political intolerance, diseases,and all forms of bad issues are within us brothers and sisters!!!! Where have we messed??
I conclude kwa Leo kwa kusema HV:A world peace can be maintained without blacks in presence but the world can't run without whites??? Why???
Weusi ni walalamishi sana ni dalili ya kutokuwa na akili wazungu ni best human hata kama tutajiteteaje yaaniHii mada yako ina viashiria vya nguvu kwamba hujiamini! Mawazo kama hayo yanaonesha jinsi gani unavyoweza kudanganywa na Mzungu katika suala lolote na ukakubali na kuamini. Hii ni kasumba mbaya sana kwa binadamu na inachangiwa kwa kiasi kikubwa na makovu ya ukoloni. Wazungu toka enzi za Ukoloni walilitambua hilo. Wao wanaita “The white man’s magic”. Walitumia hii Mzungu magic yao katika kutawala maana watawaliwa waliamini kama unavyoamini wewe. Pamoja na hiyo, Wazungu pia wakawaaminisha watoto wao na vizazi vyao kwamba wao(wazungu) ni ‘super human’ na binadamu wengine wote wako chini yao, kiakili na kila kitu! ((BY THE WAY, HII NI KWELI KABISA)). Watoto tangu wanapozaliwa wanafundishwa hivyo!! Inawezekana mambo haya sasa hayafanyiki hadharani lakini mpaka miaka ya 1970s haya yalifanyika waziwazi. Ndiyo maana tulipopata uhuru chini ya Mwalimu Nyerere tulikuwa kati ya nchi za kwanza kupinga ukoloni mamboleo. Mwaka 1967 kwenye Azimio la Arusha ilitamkwa waziwazi kwamba kitendo chochote kinachowaongezea wananchi kuondoa makovu ya kutawaliwa ni kitendo cha maendeleo. HAYO MAWAZO NI HATARI SANA MAANA YANAHATARISHA UHURU WA WATU BINAFSI NA TAIFA KWA UJUMLA. Nakusihi UJIAMINI tu. Wazungu wametangulia kwenye Sayansi na Teknolojia lakini haina maana kwamba binadamu wengine hawawezi kuwashika na kuwazidi...Tayari tunaona mataifa yanayowasogelea kwa haraka sana.
Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?
Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao weupe??
Sina lengo la kuwasifia lakini najiuliza wao wamewezaje kugundua vitu tunavyoviona leo vikisaidia sana watu lakini kwa upande wetu sisi watu weusi hatujaonesha ugunduzi wowote wa kushtua dunia??
Hebu fikiria mfano teknolojia ya afya jinsi wazungu walivyoweza kugundua madawa mbalimbali ambayo mimi kama mmoja wa wanafunzi wa kozi hii huwa najiuliza hivi hawa watu walijuaje kugundua haya??
Madawa ya bacteria, fungi, protozoa na vaccinations mbalimbali za viruses hivi wao waliwezaje kugundua haya? Na kipindi wanagundua what we blacks were doing in this World??
Sometimes huwa nahisi labda Mungu aliwaumba wao kwanza halafu sisi baadae maana sioni kitu chochote kipya cha kujivunia kama mwafrika..
Technolojia za disease diagnoses kama X-rays, staining techniques, immunofluorescence, FBP, ELISA, microscope n.k Hivi wao waliwezaje kugundua? Au uwezo wa ugunduzi waliopewa wazungu ni tofauti na wa kwetu??
Ukija upande wa pharmacy utaona dawa ambazo ukizisoma utagundua nguvu kubwa ilitumika sana mpaka kuzigundua lakini kitu cha ajabu sisi weusi hakuna hata kitu tumegundua na hata kama vipo basi ni vichache mnooo!
Kuna maprofesa, madokta na PhD holders wengi tu hapa bongo lakini hakuna hata dawa moja wameweza tengeneza ikawa na brand ya kwetu tatizo liko wapi au ni mimi tu naona haya maendeleo ya watu weupe??
Ukija kuangalia teknolojia ya ujenzi wa majumba huko nako n watu hao hao weupe walio watalaamu wa kubuni mijengo mbalimbali na sisi tunaiga kwao...
Pia wameonesha uimara ktk mambo ya michezo,siasa imara,elimu za kiwango cha ajabu,n.k....sisi n miaka 50+ya Uhuru Ila hata handkerchief tunaagiza China HV where is the problem?? I ask myself the following questions..
1.Kama Mungu katuumba sawa,mbona hawa wao wameoneshwa kuwa na uwezo mkubwa kulko sisi?
2.Kama kila kitu chetu tunaiga kwa wazungu yaan utakuta kila kitu unachomilik hapo ulipo kimetengenezwa mbele ,so inamaanisha ili tuendelee lazma tujifunze kwao,je,wao wamejifunza wapi??
Kuna maneno Donald trump alitutukana waafrika lkn mm nikiyaangalia naona kama ni ukweli mtupu kabisa....anasema tumekalia Almas,dhahabu na aina zote za madini lkn bado sisi n maskini na tunaishia kugombana na kuuana sisi kwa sisi kisa Mali asilia hii,tatzo liko wapi wakubwa zangu..mm ndio naanza kukua na kuona Africa jinsi ilivyo..najiuliza kama hawa walionitangulia hawajaweza kutengeneza chochote kile hii inamaanisha sisi ni wa kuzaliwa,kukua,kuoa/kuolewa,kuzaa na kufa tu au??
Au sisi ni zao LA laana (mtanisamehe hapa) maana hamna mchango naoona uliotokana na waafrika ktk kuhakikisha a world is at good form and peace...civil wars,hunger and starvation,poverty,poor hygiene,poor housing,poor infrastructure, political intolerance, diseases,and all forms of bad issues are within us brothers and sisters!!!! Where have we messed??
I conclude kwa Leo kwa kusema HV:A world peace can be maintained without blacks in presence but the world can't run without whites??? Why???
kama ulikuwepo kwenye akili ya ngu vileBinafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution?

Mi nlipokuwa nakaa alukuwepo mzee mmoja alikuwa anafua vyuma anatengeneza vyuma mikuki na kadhalika sema nalogundu sisi waafrika tuna roho mbaya coz tulipo enda angalia namna alivyo kua anatengeneza alitufukuza pia kuhusu madawa nikweli dawa za kienyeji zinatibu yupo mzee anapangisha folen kibao ya watu wanaopona ukijalibu kumuuliza dawa unachanganya Veep hawezi kukukwambia we mwambie naumwa sehem fulan anakuchanganyia na unaponaKabla ya wazungu kuja Africa tulikuwa na wahandisi wetu walifua vyuma tukapata majembe, visu, mapanga n.k walipotuvamia wazungu waliwaua wote waliokuwa na ujuzi huo tukakwama kuendelea kuhusu madawa na vifaa tiba tulikuwa na dawa zetu nzuri za miti tulitibiwa nazo kuongezeka kwa magonjwa kunatokana na maendeleo ya kisayansi usione kama wao ni wabunifu kwani hata hayo magonjwa wanatengeneza wawo ili wafanye biashara ya dawa magonjwa mengi ni mapya tumeyasikia miaka ya 1980 na kuendelea wazungu na waafrika wote tupo sawa kiakili
sasa kama wanaendelea kuua maana yake wametushinda akili kama mtoa mada alivyosema kwa nini na sisi tusiwageuzie kibaoNi somo pana mkuu waliendelea kuua na kusambaza sayansi yao wakaiita rahisi
Na Haya ni moja ya matokeo ya mfumo wetu wa elimu au mtaala.......
Mifumo yetu ya elimu imedizainiwa uwe msaidizi wa mzungu au uwe mtengenezaji wa alichokigundua mzungu.......
Na kibaya zaidi inakufanya Ina kufanya ujione mzungu na kujikataa.........
Naamini mtoa mada ameleta hii mada kwa mihemko na sio ki uchunguzi kama msomi
Lakini ndio hivyo kama hata cha kumfundisha mtoto tunapangiwa na wazungu unategemea huyo mtoto atakuwa na akili gani.....!!?
NB;
Kuna shida kwenye mitaala ya elimu na mataifa mengine yameligundua hayo mapema sana na kufanya mabadiliko na kupiga hatua kubwa......
Dahh!! Umenifanya nicheke sana mkuu aisee, hivi hayo ulioyaandika umefikiria kwanza?Hapo hujajibu,matokeo yake unamponda mtoa mada wakati anatafuta solution.Kama ni mitaala,kuna waafrica wengi tu wamesoma huko kwa wazungu,kwa nini wasije na mwarobaini ya yale yanayofundishwa huko? kuna wengine ni waalimu huko kwa wazungu,hivyo kama ni mataala ya elimu yao hakuna siri tena.Rejea uumbaji ulianzia wapi?Historia Gharika ilimbakiza nani? Laana ilitolewa kwa nani?,ukishayabaini hayo utajua weusi wana nafasi gani hapa duniani,watu weusi ndo watu pekee wanaoishi ukanda wa joto,ndo watu pekee wanaokaria ardhi isiyo na rutuba,ndo watu pekee wanaokaa eneo risilo na rasilimali za maana.Hapo unategemea nini
Mnajitahidi kumtetea mtu mweusi kwa kuandika insha nyingi lakini at the end unagundua mtu mweusi ni kama kiboko i mean anashinda kwenye maji ila atakatiNgoja na mimi nichangie
Kama ulivyosema mdau wa uzi huu kuwa wewe ni mmoja wa wanafunzi wa taaluma ya afya
Unajua zamani tulikuwa tunatumia au kugundua wenyewe tiba asilia ila hatukuboresha tu kwa sababu ya mfumo wa maisha.
Hawana akili kutuzidi ila ni maamuzi ya binadamu kubadili maisha yake
Fikiria baada ya vita vya pili vya duniani watu walikuwa na hali ngumu sana especially Europe kwa mfano England walikuwa na hali mbaya kimaisha ndipo serikali ikaamua kusaidia wananchi wake na kubadili mfumo wa maisha.
Wakaamua kuwasaidia wenye kipato kidogo kama kwa hela za kujikimu, na matibabu wakafanya bure
Pia elimu bure
Lakini pia wana maadili mazuri katika kazi zao pia na kufanya kwa uaminifu
Tulikuwa na maadili mazuri huko nyuma na pia kulikuwa na viwanda na kazi zilikuwa zinaenda vizuri ila tukabadili wenyewe mfumo.
Serikali ndio watu na sisi tukiamua tunaweza.
Uaminifu na kujituma katika shughuli zote na ulipaji wa kodi ambapo hizo kodi zetu zitafanya kazi kwa kuinua wananchi na maisha yao, naamini kuwa tunaweza kuwa na wataalamu wa kuvumbua kila kitu kama tutabadili mfumo wetu wa maisha tuna akili kama wao ila kama ukifanya mfumo ule ule uliozea huwezi badilika.
Hospital za serikali lazima ziwe kila mahali kwani tumeongeza watu na tunahitaji huduma kwani hizo ni kodi zetu.
Huwezi kuwa na hospital ya wilaya moja tu kwa miaka mia na population inaongezeka kila kukicha
Akili tunayo ila ni uongozi