Je! Mungu ni yule yule?

Hahaha umeisoma mada ya Theism?. if not hebu rudi kaisome ujue huyo unayeita Mungu yupo kwenye aina ngapi!.. Otherwise tafuta thread yangu Mungu, Dini na Imani soma some grips!, then your welcome to return with more arguments!.
Huyoo ni atheist huyo mtakesha nae aseee



Cc Smart911
 
Logic yako ina a non sequitur reasoning.

Non sequitur (logic) - Wikipedia
 
kwahiyo mkuu wwe unaona sawa kupitia hukumu na shida zilizojaa majuto kwaajili ya makosa aliyohi kuyatenda babu mzaa bibi yko !!? "" yaani kbisaa serikali ya Tanzania inakukamata leo na kukufikisha mahakamani kisha inakufungulia kesi na kukutuhumu kuwa una makosa kwa sabbu babu mzaa bibi yko aliwahi kubaka ama kuiba ng'ombe za watu ...mahakama inakuhukumu na unakwenda jela kutmikia kifungo

na ikitokea umekufa ukiwa huko jela analetwa mwanao kukitumikia kifungo chako ulichorithi kesi ya babu mzaa bibi yko "" yaani unaona nisawa kabisaaa wala hauhoji kuwa MUNGU huyu mpenda haki mbona anakuonea """ Kam MUNGU HUYU NI MUWEZA WA YOTE KWANINI ASINGEWAUMBA BINAADAMU WOOOOTE WALIOKUFA NA WALIOPO NA KILA MMOJA ANGEJARIBU KUMPATIA HUO MTIHANI ALIOWAPA HAO ADAMU NA HAWA ILI IKITOKEA MTU AKASHINDWA AJIJUE MWENYEW NA HUKUMU YAKE KULIKO KUWAINGIZA WATU KWENYE MATATIZO YASIYO WAHUSU....HUYU MUNGU WENU VIPII AISEEEE .....HALAFU KWANINI UWAUMBE WATU KISHA UANZE KUWAWEKEA MAZUNGIRA MAGUMU YAKUISHI KWANI WAO WALIKWAMBIA KUWA WANATKA KUJA DUNIANI ...SIYALIKUWA NIMAPENDEKEZO YAKE MWENYEWE ....MAANA KAMA HAO WATU KABLA YAKUUMBWA WANGEKUWA WAMETUMA MAOMBIA YAKUTAKA KUJA KUISHI HUKU SAWA WALIKUWA NA HAKI YA KUWEKEWA MASHART ..LAKINI YEYE NDIYE ALIYAWAHITAJI ..HALAFU YEY HUYO HUYO ANAWAWEKEA MOTO AWACHOME ...HAPO HAPO BADO KUNA MATSUNAMI ..VIMBUNGA VIKUBWA ..MAVOLCANO ..CJUI TETEMEKO ..MUNGU HUYU VIPI SIMNASEMA KUWA NIMUWEZA WA YOTE ..KWANINI ATUWEKE KWENYE MAISHA YA HOFU KIASI HIKI
!!?? kwanini asingetumia huo uweza wa yote katika kutuweka kwenye mazingira salama ....MUNGU MWENYE UPENDO AMEACHA BINTI WAWATU AKWILINA AMEPIGWA RISASI NA KUFA LAKINI HAJAZUIA HILO LISITOKEE ..MUNGU MWENYE UPENDO ANAACHA SYRIA WATU WANAUWANA KAM KUKU ..WAAFRICA WALIKUWA WANAKAMATWA NA KUGEUZWA WATUMWA KISHA WANAFNGWA MINYORORO NA KUPELEKWA UTUMWANI YEYE ANATAZAMA TU .....UPENDO WA HUYU MUNGU WENU UKO WAPI AISEEEEE


THIS IS NOT FEAR AISEEEEE
 
Huyoo ni atheist huyo mtakesha nae aseee


Cc Smart911
Namuhakikishia sitatumia bible/quran kumjibu lakini tutafika tu, ngoja asome kwanza nilichomwambia maana kumbe hajui Mungu kagawanyika ila anauliza Mungu ni nani!?.
 


Umeandika

"Kiranga ili aamini kuwa kitu hiki kipo ni mpaka akione au akishike, akinuse nk kinyume na hapo haamini kama kitu hicho kipo kitu ambacho ni kigumu kufanyika kwa Mungu ili tumthibitishie maana katika hili Mungu wetu anasema Hakuna mwanadamu yeyote atakayemuona akaishi "

Mpaka hapo umeshakosea.

Nakubali square root ya 2 ni ndogo kuliko 2.

Lakini sijawahi kuiona, kuinusa,kuishika,kuisikia wala kuilamba.
 
1st class philosophers wenyewe wale classical ones walishindwa kujibu hayo makwesheni kila mmoja alibaki na akiaminicho yeye...they didn't come into conclusion iwe nyie !!!!


Cc Smart911
 
1st class philosophers wenyewe wale classical ones walishindwa kujibu hayo makwesheni kila mmoja alibaki na akiaminicho yeye...they didn't come into conclusion iwe nyie !!!!


Cc Smart911
kwahiyo Mungu yupo !??
na ana upendo !? nimuweza wa yote pia sindio ...tuanzie hapo kwanza mkuu ..kabla cjakusakizia kwa alwatana au kiranga...hahaaa
 
Namuhakikishia sitatumia bible/quran kumjibu lakini tutafika tu, ngoja asome kwanza nilichomwambia maana kumbe hajui Mungu kagawanyika ila anauliza Mungu ni nani!?.
Mtakesha hapo make tayari wewe ni theist naye atheist... Two Opposite ideas views


Cc Smart911
 
Jibu ni simple

Tayari unaijua maana umeshaiona 2 ukubwa wake nk kwa hiyo ni rahisi kuamini

Tofauti na Mungu ambaye hujawahi
 
Kusema unaweza hata kusema wewe haupo wakati upo.

Unaweza kusema vilivyo viwe visivyo.

Hilo halina shida wala mjadala.

Lenye mjadala ni uthibitisho.
Nakuhakikishia hivi siku moja wewe utakuwa shuhuda namba moja ya kwamba Mungu yupo na ndie aliyeziumba mbingu na nchi.
 
Upeo wa Mungu sio sawa na wa kibinadamu.
 
HAHAAAA
 
Sisi tunaoamini kuwa Mungu yupo tunatumia imani.
 
Upeo wa Mungu sio sawa na wa kibinadamu.
safi sana ...sas kama jibu nihilo unaanzaje kumpiga mbuzi wako mwenyewe kisa tu amekula mahindi uliyokuwa na mpango wakwenda kuyasaga...??kwanni umpige wakati unajua kuwa upeo wake na wako haufanani ...mbona hana upeo wakujua kuwa yle mahindi yanamahitaji mengine zaidi yakujuwa kuwa nichakula chake ...sasa Hutu Mungu kama anajua kuwa binaadamu hatoweza kumuelewa kwakuwa anaupeo mdogo ..Anataka kumchoma moto iliiweje !??
huoni kuwa niuonevu huo ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…