Je! Mungu ni yule yule?

Je Biblia iliposema upendo wa wengi utapoa, kutakuwepo vita kati ya mataifa, tetemeko la ardhi na mambo mengine, unategemea yawapate kina nani? hivyo vita unategemea vipiganwe wapi? Njaa iliyotabiriwa iwapate kina nani? Hivyo kinachotokea popote duniani iwe vita, majanga, ukatili, usaliti, njaa na mengineyo yanathibitisha kilichotabiriwa. Na hatuwezi kumfanya Mungu afanye tunachotaka sisi (yaani awe remote controlled). Tunapoomba tunasema "mapenzi yako (MUNGU) yatimizwe (si mapenzi yetu sisi). Ningemshangaa Mungu kama angekuwa anadhibitiwa na matakwa ya binadamu, hakika asingekuwa Mungu tena. Mfano kama Mungu alisema "... kufa mtakufa hakika...".Unadhani ni haki kuomwomba Mungu kuwa tusife? na tunakufaje na lini ni maamuzi yake. Acha Mungu abaki kuwa Mungu.
 
Hakuna kama wewe humu jf mkuu na wala haluna mwenye kuweza kujibu kwa sababu hakipo
 
Hujajibu swali.

Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, aumbe ulimwengu ambao njaa, vita, magonjwa, umasikini, matetemeko ya ardhi, n.k, vinawezekana, wakati mnasema ana na alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao yote hayo hayawezekanimi hata kufikirika, licha ya kutokea?

Hujajibu swali hili.

Unasema vyote vimetabiriwa. Swali si vimetabiriwa au havijatabiriwa.

Unajibu swali ambalo sijauliza, wakati swali nililouliza umelikwepa hujalijibu.

Majibu kama lako yanaonesha hata wewe mwenyewe humuelewi huyo Mungu.

Na humuelrwi kwa sababu haeleweki.

Na haelewekwi kwa sababu hayupo. Katungwa kwa hadithibya kuungwa ungwa tu, inayojipinga pinga kwa contradictions kibao.
 
Tafuta kitabu kinachosema Annunaki and creation of human being[emoji12].
And why human being was created[emoji12]
 
Tafuta kitabu kinachosema Annunaki and creation of human being[emoji12].
And why human being was created[emoji12]
I have read that story. More than 20 years ago.Along with the Epic of Gilgamesh.That is Sumerian mythology. It does not talk about an omnipotent, omniscient, omni benevolent God.

The Ancient Aliens

Ama hujasoma maswali yangu, ama hizo stories za Wasumaria ulizosema nizisome hujazisoma.

Kwa sababu ungesoma maswali yangu na hizo stories za Wasumaria, ungeona kwamba maswali yangubyako pale pale hayajajibiwa.

Hizo stories za Wasumaria nyingi zimeenda kuwa kwenye Biblia kivingine.
 
sasa huoni kuwa mpka hapo hiyo biblia inajichnganya ..huku inamsifu Mungu kuwa nimwenye upendo na Mwenye kuweza yote ..huku upnde huo inaanza kutaja udhaifu wa hvyo vitu ambavyo mnasema kuwa ameviumba ..hoja nikwamba .kama kweli Mungu nimuweza wa yote kwanini aruhusu mabalaa kuwafika viumbe wake ...?? alishindwa nini kuutumia huo uweza wa yote kuweza kuzuia hizo hali zinazojitokeza ...
so kama biblia imezungumzia hayo yote uliyoyataja hapo nahitaji mimi nawewe sote tukubaliane hapa kuwa MUNGU huyo sio muweza wa yote ..sio muweza wa yote kwa sababu ameshindwa kuuzuia ubaya kutokuwepo wakati alikuwa na uwezo wakuzuia usiwepo..""":
na hapo hapo tu kishakubaliana hivyo nahitaji mimi nawewe tukubaliane kuwa biblia sio kitabu cha kukiamini tena kabisaaa
kwa sbabu kimetuambia kuwa Mungu ni muweza wa yote na hapo hapo kimeshindwa kusimamia hoja YAKE baada ya kutuonyesha kuwa dunia itakuwa ni uwanja uliojaa mabalaa..uovu na hofu kwa walimwengu""

nawasilisha
 
It fits mkuu the existence of jp with men qualities ina falsify hio conclusion.....


Cc Smart911
Feat, fit. Missed the beat a bit.

Kusema mwanamme ni mwanamme na kukanusha upotovu kwamba mwanamme ni mwanamke unaotokana na logical non sequitur si kazi ngumu.

Labda kama tutachanganya feat na fit.

Hapo I will vote by my feet.

Or even finger.

No linger.
 
Biblia ina contradictions lukuki tushaziweka hapa zinajaza kurasa.

Kwa hivyo hakiwezi kuwa kitabu kitakatifu cha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Hili swali la imekuwaje Mungu huyu akaumba ulimwengu unaowezekana kuwa na mabaya ni swali dogo, liko clear na zuri.

Na mpaka sasa halijajibiwa.

Kwa sababu hakuna anayeweza kulijibu.

Kwa sababu Mungu huyo hayupo. Katungwa tungwa kwa kuungwa ungwa uongo uongo wa hapa na pale.
 
mkuu mimi nashangaa mnooo ..mtu badala yakukaa huko nakuanza kupitia comment za awali anakuja huku direct nakuuvamia mjadala kisha anaanza kuhoji maswali ambayo Tayari tumeshayatolea ufafanuzi "" Hawa watu cjui vipi aiseee !?
 
mkuu mimi nashangaa mnooo ..mtu badala yakukaa huko nakuanza kupitia comment za awali anakuja huku direct nakuuvamia mjadala kisha anaanza kuhoji maswali ambayo Tayari tumeshayatolea ufafanuzi "" Hawa watu cjui vipi aiseee !?
Mtu unamuuliza kwa nini Mungu mwenye uwezo wote na uoendo wote kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hairuhusu mabaya.

Anakujibu kimsingi "ilitabiriwa" na "Mungu hapangiwi".

Mpaka hapo unaona tatizo la uelewa.

Hajaelewa swali, hajalijibu.

The question is not about forcing God what to do. The question is about logical consistency.
 
Naamini kuwa Mungu yupo kama vile wewe unavyoamini hayupo.
Unaruhusiwa kuamini unachotaka.Mradi huvunji sheria.

Mimi pia natetea uamini unachotaka.

Nakubali uhuru wa imani. Nakubali "Universal Declaration of Human Rights". Katiba ya Tanzania misingibyake ya Uhuru wa Kuabudu au kutoabudu naikubali.

Ulivyojibu inaonesha hujaelewa mjadala unahusu fact, si faith.
 
P
 
hahaa halafu hapo hapo wanasema kuwa Mungu anaupndo ...Mungu anaupndo lakini hataki kusikiliza hoja za watu "" maana kama hapangiwi niwazi hataki kusikiliza hataki kusikiliza hoja za mtu"" so waweza zaje kusema kuwa baba yako anakupnda lakini hataki kusikiliza hoja zako "" kuhusu changamoto unazokutana nazo ukiwa shuleni"" huwenda unataka kumwambia kuwa mazingira ya shule unayosomea sio mazuri nihatarishi kwa uhai wako "" lakini hoja inajibiwa kuwa baba yako hapangiwi "" SASA HUYU BABA VIPI ""!!? UPENDO WAKE UNATIJA GANI KAM HASIKILIZI MTOTO WAKE
 
Ukipanga maneno ya alphabet kuleta maana tu umetumia logic tayari.

Labda hujui tu.
Hivyo ukisema Embe ili liwe Tamu linahitaji Jua na Mvua

Na si Mvua peke yake

Tayari makuzi ya mmea yatakuwa yamejicontradict.!

Na embe halina maana!?
 


Ofcourse mwanaume ni mwanaume.... tunaangalia Ile essence... man is essentially man by the things that made him to be a man likewise to women... regardless the application of logic.


sawa we can draw certain conclusion from the premises but that conclusion in reality is not the fact...



cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…