Umekuwa mkweli sana. Kwa hilo nakuheshimu sana.Mi hata sijui labda ni jinsi tunavyo amini uwepo wa hii nguvu ya uumbaji. Naamini sikutokea tu kama kiumbe ila nina connection na nguvu ya kitu nje na ndani yangu. sijui ndio Mungu.
Ukifikia hatua niliyopo, ni lazima utapata majina mengi; Hata Yesu aliambiwa yeye ni " Demon possessed man" .. Wengine walimdharau, .. Wengine walimuita Nabii , licha ya wao kuwanazo taarifa zake mapema kabla hata hajaonekana machoni mwao.Ulivyomuona Nyerere alisemaje?
Unajuaje huna matatizo ya akili yanayokupa hallucinations?
Hujathibitisha mungu yupo.
Kuna muuza maadawa ya kulevya mmoja naye aliwahi kupita uwanja wa ndege bila documents, hilo halithibitishi mungu yupo, linathibitisha alikuwa mjanja kwenye hilo.Ukifikia hatua niliyopo, ni lazima utapata majina mengi; Hata Yesu aliambiwa yeye ni " Demon possessed man" .. Wengine walimdharau, .. Wengine walimuita Nabii , licha ya wao kuwanazo taarifa zake mapema kabla hata hajaonekana machoni mwao.
Hata baada ya kuja, aliwathibishia watu mambo mengi sana mpaka wakamuua, na akawaprove tena wrong baada ya kufufuka kama alivyokuwa akiwaambia kabla ya kifo chake ( 2000 yrs back)
Mfano; Nilikuwa sina documents kamilifu za kuniwezesha Mimi kupita airport yeyote, but kwa Uelewa wa Mungu huyu na matendo yake; Niliweza kupita kwenye airport moja yenye ulinzi mkali bila kukaguliwa nyaraka zangu. Kwahiyo usithubutu kusema hii ni bahati, waweza kujaribu pia kama unaweza!
Kabla ya kwenda mbali, thibitisha kwamba mungu yupo.
Kiranga Mwanangu, Cha kwanza Kukuthibitishia Mungu Yupo ni Uhai Ulio nao. Pili Hata Mapepo Wanamthibitisha Mungu Kwamba Yupo Au Huoni Kama Hujaona Kawaulize Wachawi Watakusimulia Yesu ni Nani.Kabla ya kwenda mbali, thibitisha kwamba mungu yupo.
Sijawahi kuugua kwa zaidi ya miaka 20, siijui hata panado inanaje kwasasa. Ninao uwezo wa nguvu za Mungu wa kukaa sehemu yeyote hatari pasipo kuugua.Kuna muuza maadawa ya kulevya mmoja naye aliwahi kupita uwanja wa ndege bila documents, hilo halithibitishi mungu yupo, linathibitisha alikuwa mjanja.
Hujathibitisha mungu yupo.
Hayo yote hayathibitishi kwamba mungu yupo.Sijawahi kuugua kwa zaidi ya miaka 20, siijui hata panado inanaje kwasasa. Ninao uwezo wa nguvu za Mungu wa kukaa sehemu yeyote hatari pasipo kuugua.
Nimewahi kuchangia damu na MTU mwenye UKIMWI , kwa kujiwekea damu yake kwenye Mwili wangu pasipo kupata maradhi hayo. Kiufupi, nina amini , hakuna gonjwa lolote linaloweza kuushika mwili wangu. I have a glorious body , not the Lowly body.
Mfano; Nilikua nchi flani ya Magaidi; sikuwa na kitambulisho , nilipata taabu sana kusafiri kwani nchi ile ni sharti kutembea na kitambulisho; Kwa nguvu za Mungu, wakati wa ukaguzi wa vitambulisho , nilikuwa nikiona kama sinema , watu wengine kukaguliwa ili hali Mimi nikiachwa.
Haya yote ni kweli
OK. Wakati nazaliwa, ulikuwa USIKU mida ya saa Saba mpaka saa tisa USIKU. Mama anasema, siku hiyo alikua peke yake ndani, uchungu mkubwa ukampata, akanywa maji yaliyokorogwa na chumvi , akasukuma mtoto (Mimi),Hayo yote hayathibitishi kwamba mungu yupo.
Mathalani, kuna watu wana kinga ya asili dhidi ya HIV.
Hujathibitisha mungu yupo.OK. Wakati nazaliwa, ulikuwa USIKU mida ya saa Saba mpaka saa tisa USIKU. Mama anasema, siku hiyo alikua peke yake ndani, uchungu mkubwa ukampata, akanywa maji yaliyokorogwa na chumvi , akasukuma mtoto (Mimi),
Anasema, alishanga kuona nimetoka na chupa ya uzazi kama kazaa mnyama; Akawa anaogopa kuniona nimo ndani ya chupa;
Akachukua kiwembe na kukata sehemu ya chupa, nikatoka. Lakini bado shingo yangu ilikua imeviringwa mara tatu na kondo la uzazi.
Bila shaka hii pia itakuwa ni suala la bahati kwako. Kwa upande wangu, niliamua kujinyenyekeza kwa Mungu na kuachana na yote maovu ili niweze kuelewa njia zake. Sasa I fully ( without a doubt) understand who I am in Christ Jesus. Naelewa vitu vingi sana. Situmii macho kutizama vitu, natumia masikioni.
Mungu yupo. Yesu yupo. Ufalme wa Mungu upo. Kama muda wako wa kuelewa Haya haujafika , please do not force it or be a stumbling block to others. Let your doubts bring you closer to God , not away from Him.
Asante!
Je , umewahi kujiuliza kwanini watu wengine kabla ya kifo chao wanao uwezo wa kuita watu / Ndugu na kuongea nao , then ndio wanakufa? ( wanao pia uwezo wa kumsubiri hata MTU akiwa mbali)Hujathibitisha mungu yupo.
Idea ya kuwepo kwa mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu inajipinga yenyewe kabla sijaipinga.Je , umewahi kujiuliza kwanini watu wengine kabla ya kifo chao wanao uwezo wa kuita watu / Ndugu na kuongea nao , then ndio wanakufa? ( wanao pia uwezo wa kumsubiri hata MTU akiwa mbali)
Je umewahi kujiuliza hiyo pumzi asili yake ni wapi?
Umewahi kujiuliza kwanini ni vigumu sana kwa MTU muovu kusoma Biblia hata nusu page, lakini ukimpa magazeti 30 anao uwezo wa kuyamaliza?
Je una amini kwamba shetani yupo? Una amini kwamba hapo ulipo unaishi chini ya maji kama samaki?
Je una elewa siri iliyopo katika kuzaliwa , kuoa na kufa?
Je umewahi kuushughulisha mwili wako kutafuta, MTU akifa huwa pumzi yake inaenda wapi? Mbona unaweza sana kujishughulisha kwenda kwa waganga na kutafuta wanawake?
Kwanini usitafute ukweli ukawa huru? Nina Amini, mpaka hapo ulipo hauna ukweli wowote; Unaishi tu bila kujielewa; Unashindwa hata na nyumbu , ambae anaelewa nyakati au hata na ndege anaye elewa kiota chake kilipo hata akienda sehemu ya ugenini.
Na Je, umewahi kujiuliza kuhusu moto wa jehanamu? Na paradiso?
Unaweza thibitisha kuwa hizo hadithi zimetungwa na watu?Hakuna mungu, huyo unayemsoma ni hadithi tu zimetungwa na watu.
Ukijua hili swali lako halitakutatiza.
Kiranga ; Kwa Mamlaka ya Yesu Kristo niliyonayo, Nina amrisha Utukufu wa Mungu na nguvu zake, zikatawale juu ya maisha yako , ndani ya siku 7 kuanzia sasa - mara baada ya kusoma ujumbe huu , ili uweze kuwa shuhuda wa watu wengine kuhusu kuwepo kwake. Katika Jina La Yesu. Thank you Lord! Thank you Jesus Christ! Thank you Holy Spirit! May your will be done to this person O'God, for your Glory O'Lord God Almighty! AmenIdea ya kuwepo kwa mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aliyeumba ulimwengu huu inajipinga yenyewe kabla sijaipinga.
Mungu wenu hayupo, kama pembetatu duara.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ameumbaje ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?Unaweza thibitisha kuwa hizo hadithi zimetungwa na watu?
Huwezi kulazimisha uongo kuwa ukweli.Kiranga ; Kwa Mamlaka ya Yesu Kristo niliyonayo, Nina amrisha Utukufu wa Mungu na nguvu zake, zikatawale juu ya maisha yako , ndani ya siku 7 kuanzia sasa - mara baada ya kusoma ujumbe huu , ili uweze kuwa shuhuda wa watu wengine kuhusu kuwepo kwake. Katika Jina La Yesu. Thank you Lord! Thank you Jesus Christ! Thank you Holy Spirit! May your will be done to this person O'God, for your Glory O'Lord God Almighty! Amen
Tatizo umezoea kujadili mada kwa njia ulizozizoea tu.Ukisema mimi kusema mungu hayupo ni hadithi, hujakanusha kwamba kusema mungu yupo ni hadithi.
Ukisema mimi nimeiba, hujakanusha habari kwamba wewe umeiba.
Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Kabla ya yote, kubali hujathibitisha mungu yupo.Tatizo umezoea kujadili mada kwa njia ulizozizoea tu.
Hili neno la kukanusha umelileta wewe mwenyewe,labda nikuulize tofauti ya kukanusha,kukataa na kuthibitisha?
Ikiwa hao watu hawawezi kuthibitisha je,ni kipi kinachokufanya wewe uwe na uhakika wa kuona wenye kusema kuwa kuna kuna mungu hawako sahihi bali ni hofu tu?Tatizo wamejengewa hofu,
Mtu anaweza hata kipigana ukimwambia anachokiamini hakipo, na wakati huo huo ukimwambia athibitishe uwepo wa huyo Mungu hawezi[emoji23]
Hivyo unataka kusema wenye kuamini mungu ni wale wasio na elimu mbalimbali kama wewe?unajua kama ukanaji uwepo wa mungu ulikuwepo toka enzi za ujinga, usifikiri ni suala lililo ibuka juzijuzi.Lakini wengi tu tulilelewa katika misingi hiyo ya dini, ila baada ya kukuwa na kupata elimu mbali mbali tuliruhusu akili zetu kujifunza.
Sasa wao wanasema heri uamini usimkute kuliko kutokuamini kisha akawepo. Hii ni zaidi ya cognitive dissonance
Hujathibitisha mungu yupo.Hivyo unataka kusema wenye kuamini mungu ni wale wasio na elimu mbalimbali kama wewe?unajua kama ukanaji uwepo wa mungu ulikuwepo toka enzi za ujinga, usifikiri ni suala lililo ibuka juzijuzi.