Ni ukweli upi huo ambao wewe uliutafuta?Kwa hiyo unakubali mungu hayupo, Ila ni imani nzuri kwa wazembe wasiotaka kujisumbua kutafuta ukweli?
Sasa unamwambia mtu athibitishe, je athibitishe kwa namna gani...?! kwa njia za kisayansi ama...?! Au unaona ni virahisi tu, kutamka thibitisha...Kusanya hayo maelezo yako yote na uyafanye sentesi moja yenye kuleta maana, ukishamaliza hapo sasa thibitisha kuwa Mungu yupo ili tuendelee na mjadala.
Ukweli usio na kujichanganya kama habari zenu za kuwapo mungu.Ni ukweli upi huo ambao wewe uliutafuta?
Athibitishe kwa mantiki isiyojichanganya.Sasa unamwambia mtu athibitishe, je athibitishe kwa namna gani...?! kwa njia za kisayansi ama...?! Au unaona ni virahisi tu, kutamka thibitisha...
Kitu unakiishi utaweza vipi kuthibitisha...?!
Kama hawezi kuthibitisha sasa anasemaje kuwa hicho kitu kipo?Sasa unamwambia mtu athibitishe, je athibitishe kwa namna gani...?! kwa njia za kisayansi ama...?! Au unaona ni virahisi tu, kutamka thibitisha...
Kitu unakiishi utaweza vipi kuthibitisha...?!
Hakuna sehemu niliyosema nathibitisha kuwepo kwa mungu wala hakuna nilipo nilipolazimika kufanya hivyo. Ubaya wa kukariri na kukosa uhuru wa mawazo unakufanya kuchanganya neno kukanusha na kuthibitisha.Kabla ya yote, kubali hujathibitisha mungu yupo.
Hakuna unaposema unathibitisha kuwepo kwa mungu lwa sababu huwezi kuthibitisha kuwepo kwa mungu.Hakuna sehemu niliyosema nathibitisha kuwepo kwa mungu wala hakuna nilipo nilipolazimika kufanya hivyo. Ubaya wa kukariri na kukosa uhuru wa mawazo unakufanya kuchanganya neno kukanusha na kuthibitisha.
Sasa athibitishe kwa namna gani...?! Aingie maabara kumthibitisha Mungu ama...?! Achana na haya ma ubishi ambayo hayana msingi...Kama hawezi kuthibitisha sasa anasemaje kuwa hicho kitu kipo?
Kitu kisicho na mantiki, utathibitishaje kwa mantiki...?! Kwa mfano kuna mantiki gani kulisha maelfu kwa mikate miwili na samaki watano...?!Athibitishe kwa mantiki isiyojichanganya.
Povu nalo limekutoka kweli kweli....Sasa athibitishe kwa namna gani...?! Aingie maabara kumthibitisha Mungu ama...?! Achana na haya ma ubishi ambayo hayana msingi...
Kwa mfano ninaposema Mungu ni Pendo, utakaponiambia nithibitishe je nithibitishe kwa namna gani...?! Unajua hakuna kitu kirahisi kama kupinga...
Au unataka kusikia wanasayansi wamemgundua Mungu, ndio uamini ama...?! Sasa unapomwambia mtu thibitisha athibitishe kwa namna gani...?! We upo huko mbali akuthibitishie kwa kutumia keyboard, au unadhani ni mlinganyo huu...?!
Hauoni kuwa kushindwa kwenu kuthibitisha kuwa hakuna mungu ndio sababu hadi leo watu wanaendelea kuamini kuwa mungu yupo?Hujathibitisha mungu yupo.
Ndio ueleze basi tuujue huo ukweli.Ukweli usio na kujichanganya kama habari zenu za kuwapo mungu.
Dada povu ndio nini...?!ila nafurahi kuona unazungumza kitu ambacho huna uelewa nacho, nithibitishe kwa njia yoyote kiaje...?! Tatizo mmekariri vitu vyote ni "logic" tu...Povu nalo limekutoka kweli kweli....
Kama yupo kweli thibitisha kwa njia yoyote ile, na kama huna uthibitisho kaa kimya ukijua ya kuwa unachokiamini HAKIPO
Haya nihakikishie usemacho wewe sasa kuwa hayupo.Hakuna unaposema unathibitisha kuwepo kwa mungu lwa sababu huwezi kuthibitisha kuwepo kwa mungu.
Kwa sababu hayupo.
Mkuu wa chuo asiejua povu.....Dada povu ndio nini...?!ila nafurahi kuona unazungumza kitu ambacho huna uelewa nacho, nithibitishe kwa njia yoyote kiaje...?! Tatizo mmekariri vitu vyote ni "logic" tu...
Umefika hitimisho ambalo sio sahihi, na kwa mtindo huo umeshazua kujifunza zaidi, kwa hiyo unachojifanya ni kupinga tu, ili uweze kufurahisha akili yako...
Hakina mantiki kwa sababu hakipo. Ndiyo maana huwezi kukithibitisha kwa mantiki.Kitu kisicho na mantiki, utathibitishaje kwa mantiki...?! Kwa mfano kuna mantiki gani kulisha maelfu kwa mikate miwili na samaki watano...?!
Kwani wakuu wa chuo huwa wanajishughulisha na mapovu..?! Halafu sioni mahusiano ya mapovu na tunayojadili hapa...Mkuu wa chuo asiejua povu.....
Sasa kama hata namna ya kuthibitisha huwezi na bado una ujasiri wa kutype ndo naona wazi jinsi ulivyo na tatizo.
Kati yangu mimi na wewe nani amekariri?
Bado sijafikia hitimisho ila kushindwa kwako kuthibitisha ndo kumepelekea uone kuwa ni hitimisho
Kama umeshindwa kuviweka hapa kwenye hiyo simu yangu ndo utaweza?Kwani wakuu wa chuo huwa wanajishughulisha na mapovu..?! Halafu sioni mahusiano ya mapovu na tunayojadili hapa...
Nimekuuliza unataka uthibitishiwe maabara...?! Wewe upo ki "logic" zaidi...
Ngojea nije nikuchekie vitabu vizuri upate kusoma, lakini ondoa hilo hitimisho lako, linajifunga usiweze kuingiza kitu kingine zaidi ya "hayupo" nitakutumia kwenye simu yako...