Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Kusanya hayo maelezo yako yote na uyafanye sentesi moja yenye kuleta maana, ukishamaliza hapo sasa thibitisha kuwa Mungu yupo ili tuendelee na mjadala.
Sasa unamwambia mtu athibitishe, je athibitishe kwa namna gani...?! kwa njia za kisayansi ama...?! Au unaona ni virahisi tu, kutamka thibitisha...

Kitu unakiishi utaweza vipi kuthibitisha...?!
 
Athibitishe kwa mantiki isiyojichanganya.
 
Kabla ya yote, kubali hujathibitisha mungu yupo.
Hakuna sehemu niliyosema nathibitisha kuwepo kwa mungu wala hakuna nilipo nilipolazimika kufanya hivyo. Ubaya wa kukariri na kukosa uhuru wa mawazo unakufanya kuchanganya neno kukanusha na kuthibitisha.
 
Hakuna unaposema unathibitisha kuwepo kwa mungu lwa sababu huwezi kuthibitisha kuwepo kwa mungu.

Kwa sababu hayupo.
 
Kama hawezi kuthibitisha sasa anasemaje kuwa hicho kitu kipo?
Sasa athibitishe kwa namna gani...?! Aingie maabara kumthibitisha Mungu ama...?! Achana na haya ma ubishi ambayo hayana msingi...

Kwa mfano ninaposema Mungu ni Pendo, utakaponiambia nithibitishe je nithibitishe kwa namna gani...?! Unajua hakuna kitu kirahisi kama kupinga...

Au unataka kusikia wanasayansi wamemgundua Mungu, ndio uamini ama...?! Sasa unapomwambia mtu thibitisha athibitishe kwa namna gani...?! We upo huko mbali akuthibitishie kwa kutumia keyboard, au unadhani ni mlinganyo huu...?!
 
Povu nalo limekutoka kweli kweli....

Kama yupo kweli thibitisha kwa njia yoyote ile, na kama huna uthibitisho kaa kimya ukijua ya kuwa unachokiamini HAKIPO
 
Hujathibitisha mungu yupo.
Hauoni kuwa kushindwa kwenu kuthibitisha kuwa hakuna mungu ndio sababu hadi leo watu wanaendelea kuamini kuwa mungu yupo?
Ukisema visivyokuwepo havithibitishiki,maana yake hatuna uhakika wa vitu tusemavyo havipo kuwa ni kweli havipo na si vinginevyo.
 
Povu nalo limekutoka kweli kweli....

Kama yupo kweli thibitisha kwa njia yoyote ile, na kama huna uthibitisho kaa kimya ukijua ya kuwa unachokiamini HAKIPO
Dada povu ndio nini...?!ila nafurahi kuona unazungumza kitu ambacho huna uelewa nacho, nithibitishe kwa njia yoyote kiaje...?! Tatizo mmekariri vitu vyote ni "logic" tu...

Umefika hitimisho ambalo sio sahihi, na kwa mtindo huo umeshazua kujifunza zaidi, kwa hiyo unachojifanya ni kupinga tu, ili uweze kufurahisha akili yako...
 
Mkuu wa chuo asiejua povu.....
Sasa kama hata namna ya kuthibitisha huwezi na bado una ujasiri wa kutype ndo naona wazi jinsi ulivyo na tatizo.
Kati yangu mimi na wewe nani amekariri?

Bado sijafikia hitimisho ila kushindwa kwako kuthibitisha ndo kumepelekea uone kuwa ni hitimisho
 
Kitu kisicho na mantiki, utathibitishaje kwa mantiki...?! Kwa mfano kuna mantiki gani kulisha maelfu kwa mikate miwili na samaki watano...?!
Hakina mantiki kwa sababu hakipo. Ndiyo maana huwezi kukithibitisha kwa mantiki.
 
Mkuu wa chuo asiejua povu.....
Sasa kama hata namna ya kuthibitisha huwezi na bado una ujasiri wa kutype ndo naona wazi jinsi ulivyo na tatizo.
Kati yangu mimi na wewe nani amekariri?

Bado sijafikia hitimisho ila kushindwa kwako kuthibitisha ndo kumepelekea uone kuwa ni hitimisho
Kwani wakuu wa chuo huwa wanajishughulisha na mapovu..?! Halafu sioni mahusiano ya mapovu na tunayojadili hapa...

Nimekuuliza unataka uthibitishiwe maabara...?! Wewe upo ki "logic" zaidi...

Ngojea nije nikuchekie vitabu vizuri upate kusoma, lakini ondoa hilo hitimisho lako, linajifunga usiweze kuingiza kitu kingine zaidi ya "hayupo" nitakutumia kwenye simu yako...
 
Kama umeshindwa kuviweka hapa kwenye hiyo simu yangu ndo utaweza?
Kwanini uone kuwa ni hitimisho kama sio mwisho wako wa kufikiria? Thibitisha tu mkuu hadithi hazitakusaidia chochote
 
Halafu Jimena mtu kushindwa kukuthibitisha ndio inapelekea kitu fulani kisiwepo...?! Hii mantiki ya namna hii mmejifunzia wapi...?!
 
Back
Top Bottom