Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Mungu yupo ; Vithibitisho, ni Uumbaji wake, Matendo yake, Wateule wake, Ukuu wake, Sheria zake, Elimu yake, Siri zake, Upendo wake, Rehema zake, Nguvu zake, n.k
Huwezi kusema uthibitisho wa kuwapo kwa mungu ni uumbaji wake kirahisi hivyo ukamaliza habari.

That is both lazy and circular.

Unajuaje kwamba huo uumbaji ni wa mungu?
 
Utajuaje unachofikiri umeona kabla hakijaonekana kipo na si ndoto tu?
Ni imani endelevu pekee ndio inaweza kukufanya uelewe Mungu kuwa Mungu wa kweli yupo. Na pia ni imani potofu inaweza kukufanya uamini kuwa wachawi, waganga wa kienyeji n.k vinasaidia.

Imani endelevu ni zawadi kutoka kwa Mungu. Imani potofu ni zawadi kutoka kwa shetani .
 
Hujajibu swali uliloulizwa, kama umejibu swali, si nililouliza.

Kitu gani kinakufanya ufikiri imani yako ni sahihi na mungu yupo?

Imani yako ni endelevu kivipi wakati idea ya kuwepo mungu inajipinga yenyewe?
 
Huwezi kusema uthibitisho wa kuwapo kwa mungu ni uumbaji wake kirahisi hivyo ukamaliza habari.

That is both lazy and circular.

Unajuaje kwamba huo uumbaji ni wa mungu?
Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Nimekuelezea hapo juu vizuri kwamba Knowledge (kujua) just puffs up, but Understanding ( Uelewa) builds up.

Namaanisha, hata nikikuandikia hapa siri za Mungu na ukuu wake wote na hauna imani endelevu , hautaelewa chochote. Sababu ni kwamba macho yako yanakuwa hayana tofauti na MTU mwenye govi au kipofu.

Kwahiyo basi, kwa Uelewa wangu, nakuona ni MTU ambae hujatahiriwa, mbishi na huna unyenyekevu mbele za Mungu. I have nothing to do with you . Ila siku ikifika, kwa mapenzi ya Mungu na kwa kupitia Yesu Kristo, utayaona yote Haya ninayokuandikia sasa, utajitambua na Mungu atakupa uwezo wa kutambua siri za watu wengine.

Asante.
 
Nikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya.

Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale Nikilinganisha Na Agano jipya naona Tofauti Kubwa Sana

Mfano AGANO LA KALE
Mungu Alikuwa ni Wa Hasira Sana na Anayependa Sana Waumini wake Wafuate Sheria ... Kulikuwa na Sheria Za Kitakatifu Mfano Kujiosha Mwili... mavazi.. Kuhudumia Sehemu ya Kuabudia kwa usafi wa hali ya juu... kuvukisha Ubani... kujitawaza... n.k n.k

Sasa Nitapokuja Kusoma Agano jipya Mungu anakuwa Amebadilika Sana Hasa Katika Kuabudiwa.. .. Yale Mambo ya kale aliyotaka hayapo tena.. Je Mungu amebadilika Hataki Tena Ubani... Zawadi za kuteketezwa Alizosema zinamvutia?

Je Kuna Ubaya Gani Kutoa Sadaka Za hivyo.. kuna Ubaya Gani Kurudia Kule kwa Kale.. Kujisafisha Uendapo Kuabudu..... Kuwa Msafi Au kujitawaza kama kale...

Does God change His Mind?

Yes, he does, in the sense that he changes his
attitude when people change their behavior. For
example, when God sent a judgment message to
the people of ancient Israel, he said: “Perhaps
they will listen and each one will turn back from
his evil way, and I will change my mind
concerning the calamity that I intend to bring on
them because of their evil deeds.”— Jeremiah
26:3 .
Many Bible translations render this verse as
saying that God would “repent” over the intended
calamity, which could be understood to mean that
he had made a mistake. However, the original
Hebrew word can mean “change of mind or
intention.” One scholar wrote: “A change in man’s
conduct brings about a change in God’s
judgment.”
Of course, just because God can change his mind
does not mean that he must change it. Consider
some situations where the Bible says that God
has not changed his mind:
God did not allow Balak to make Him change
His mind and curse the nation of Israel.—
Numbers 23:18-20 .
Once King Saul of Israel became firmly set in
badness, God did not change his mind about
rejecting him as king.— 1 Samuel 15:28, 29 .
God will fulfill his promise to make his Son a
priest forever. God will not change His mind.—
Psalm 110:4 .
Doesn’t the Bible say that God
never changes?
Yes, the Bible records God as saying: “I am
Jehovah; I do not change.” ( Malachi 3:6 )
Similarly, the Bible says that God “does not vary
or change like the shifting shadows.” ( James 1:
17) This, however, does not contradict what the
Bible says about God changing his mind. God is
unchangeable in that his personality and
standards of love and justice never alter.
( Deuteronomy 32:4; 1 John 4:8 ) Still, he can give
different instructions to people at different times.
For instance, God gave opposite instructions to
King David for fighting two consecutive battles,
yet both methods succeeded.— 2 Samuel 5:18-25
 
Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Nimekuelezea hapo juu vizuri kwamba Knowledge (kujua) just puffs up, but Understanding ( Uelewa) builds up.

Namaanisha, hata nikikuandikia hapa siri za Mungu na ukuu wake wote na hauna imani endelevu , hautaelewa chochote. Sababu ni kwamba macho yako yanakuwa hayana tofauti na MTU mwenye govi au kipofu.

Kwahiyo basi, kwa Uelewa wangu, nakuona ni MTU ambae hujatahiriwa, mbishi na huna unyenyekevu mbele za Mungu. I have nothing to do with you . Ila siku ikifika, kwa mapenzi ya Mungu na kwa kupitia Yesu Kristo, utayaona yote Haya ninayokuandikia sasa, utajitambua na Mungu atakupa uwezo wa kutambua siri za watu wengine.

Asante.
Unyenyekevu ulioupata kwa huyo mungu wako ni kutukana na ku condescend wenzako kwa kuwaita vipofu na magovi?

Kati yako wewe anayeamini usichoelewa, usichoweza kukielezea wala kukithibitisha na mimi ninayekuuliza maswali ambayo hujaweza kuyajibu, nani kipofu hapa?

Wewe ambaye umeshindwa kujibu maswali kuhusu mungu unayemuamini si kipofu?
 
Hujajibu swali uliloulizwa, kama umejibu swali, si nililouliza.

Kitu gani kinakufanya ufikiri imani yako ni sahihi na mungu yupo?

Imani yako ni endelevu kivipi wakati idea ya kuwepo mungu inajipinga yenyewe?
Uelewa ndio unanifanya hivi. Nyie ni wajuaji. Mjuaji na Muelewa ni vitu viwili tofauti. Uelewa ni zawadi pekee kutoka kwa Mungu , it's for noble people, not ignoble;

Watu wengi wanajua vitu vingi lakini hawavielewi undani wake. Why? Kwasababu hawaishi kama Mungu apendavyo. Then wanakosa Uelewa na kukalia ujuaji, name callings, Uonevu, wizi, dharau , kiburi, matukano etc
 
Hujathibitisha kwamba mungu yupo na si hadithi ya kufikirika tu.

Kushindwa kwako kujibu maswali yangu hakuonyeshi kwamba unajua wala kuelewa lolote la msingi kuhusu huyo mungu unayemuamini.
 
Does God change His Mind?

Yes, he does, in the sense that he changes his
attitude when people change their behavior. For
example, when God sent a judgment message to
the people of ancient Israel, he said: “Perhaps
they will listen and each one will turn back from
his evil way, and I will change my mind
concerning the calamity that I intend to bring on
them because of their evil deeds.”— Jeremiah
26:3 .
Many Bible translations render this verse as
saying that God would “repent” over the intended
calamity, which could be understood to mean that
he had made a mistake. However, the original
Hebrew word can mean “change of mind or
intention.” One scholar wrote: “A change in man’s
conduct brings about a change in God’s
judgment.”
Of course, just because God can change his mind
does not mean that he must change it. Consider
some situations where the Bible says that God
has not changed his mind:
God did not allow Balak to make Him change
His mind and curse the nation of Israel.—
Numbers 23:18-20 .
Once King Saul of Israel became firmly set in
badness, God did not change his mind about
rejecting him as king.— 1 Samuel 15:28, 29 .
God will fulfill his promise to make his Son a
priest forever. God will not change His mind.—
Psalm 110:4 .
Doesn’t the Bible say that God
never changes?
Yes, the Bible records God as saying: “I am
Jehovah; I do not change.” ( Malachi 3:6 )
Similarly, the Bible says that God “does not vary
or change like the shifting shadows.” ( James 1:
17) This, however, does not contradict what the
Bible says about God changing his mind. God is
unchangeable in that his personality and
standards of love and justice never alter.
( Deuteronomy 32:4; 1 John 4:8 ) Still, he can give
different instructions to people at different times.
For instance, God gave opposite instructions to
King David for fighting two consecutive battles,
yet both methods succeeded.— 2 Samuel 5:18-25
Mungu gani ana promote kupigana kama Don King?

Huyu kweli si katuni wa kuchorwa tu ambaye kiuhalisi hayupo?
 
Hakuna mjadala kwamba watu wapo.

Sijakataa kwamba ninachosema kimesemwa na watu.

What's your point?

Anayesema mungu yupo katika ulimwengu ambao hatujathibitisha kwamba mungu yupo, ana tatizo la kuthibitisha kwamba mungu yupo.

Anayesema mungu hayupo, ukimwambia maneno yake ni ya watu tu, hujamkanusha. Maana hajawahi kusema mungu yupo.

Unaposema maneno yangu ni ya watu tu, unakanusha nini?

Sijawahi kusema mungu yupo, sasa unaponiambia maneno yangu ni ya watu tu, unakanusha nini?

Tatizo unageza kanusho langu kwangu visivyo.

Mtu anayeamini mungu yupo ukimwambia maneno ya mungu yupo ni ya watu tu, na mungu hayupo, umemkanusha.

Mtu anayesema mungu hayupo, ukimwambia maneno yake ni ya watu tu, hujamkanusha. Inawezekana ukawa umeongezea nguvu hoja yake.
Sasa nikanushe nini?we umekuja na kusema suala la mungu ni hadithi nami nikakwambia nawe kusema hakuna mungu ni hadithi. Na ndiyo maana huwa mnakuja na hoja za "hamtaki kuamini mnataka kujua" na "mbona huyo mungu haonekani?" kwa hoja kama hizi ni wazi kabisa hamkijui hicho mnacho kikanusha.

Sasa sijui labda wewe ulitaka nifanyaje zaidi kwa hilo kanusho lako?
 
Unyenyekevu ulioupata kwa huyo mungu wako ni kutukana na ku condescend wenzako kwa kuwaita vipofu na magovi?

Kati yako wewe anayeamini usichoelewa, usichoweza kukielezea wala kukithibitisha na mimi ninayekuuliza maswali ambayo hujaweza kuyajibu, nani kipofu hapa?

Wewe ambaye umeshindwa kujibu maswali kuhusu mungu unayemuamini si kipofu?
Kiufupi, maswali yako yote nimeyajibu kiufasaha; tatizo hujaona. Na wala hauko familiar na sauti ya Mungu.

Naelewa kwamba , uko familiar na sauti ya shetani. Una judge kwa kwa hisia ( I mean kwa kile unachokisoma) . Umeona govi, ukajua unatukanwa, ... Hata Yesu alipondwa alipondwa mawe kwasababu hii.

Kwahiyo Ndugu, ili uweze kunielewa au kuzielewa post zangu, nakushauri uzisome kwa kutumia masikio yako, sio macho yako.

Asante.
 
Sasa nikanushe nini?we umekuja na kusema suala la mungu ni hadithi nami nikakwambia nawe kusema hakuna mungu ni hadithi. Na ndiyo maana huwa mnakuja na hoja za "hamtaki kuamini mnataka kujua" na "mbona huyo mungu haonekani?" kwa hoja kama hizi ni wazi kabisa hamkijui hicho mnacho kikanusha.

Sasa sijui labda wewe ulitaka nifanyaje zaidi kwa hilo kanusho lako?
Ukisema mimi kusema mungu hayupo ni hadithi, hujakanusha kwamba kusema mungu yupo ni hadithi.

Ukisema mimi nimeiba, hujakanusha habari kwamba wewe umeiba.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
 
Zile hadithi za kwenye biblia zinaonyesha wale Mungu wako tofauti, mmoja mbabe mwingine mpole, ukiamua uende deep zaidi ndo utagundua ni stori tu kama zilivyo stori nyingine zozote zisizo na ukweli
 
Hujathibitisha kwamba mungu yupo na si hadithi ya kufikirika tu.

Kushindwa kwako kujibu maswali yangu hakuonyeshi kwamba unajua wala kuelewa lolote la msingi kuhusu huyo mungu unayemuamini.
Mungu ninaye muelewa Mimi, He dwells in Secret places, sio kwenye public places kama huyo wa kwenu. He has His own language. He can speak plainly only to His Chosen people na in parables kwa watu kama nyie.

Nimekujibu kila kitu na kukuthibitishia kila kitu; Una macho lakini hujaona, masikio lakini hujasikia.

I tell you the truth, Huwezi kuwa mzinzi au muovu na ukaweza kuielewa sauti ya Mungu.
 
Zile hadithi za kwenye biblia zinaonyesha wale Mungu wako tofauti, mmoja mbabe mwingine mpole, ukiamua uende deep zaidi ndo utagundua ni stori tu kama zilivyo stori nyingine zozote zisizo na ukweli
Watu wanaambiwa wamuamini mungu ambaye hajitambui kama anaenda au anarudi.

Na wao wanakubali na kumuamini.

Ujinga mtupu.

Kumuamini huyu mungu ni kama umejivua utu na kujipa u zombie fulani hivi ufanye mambo bila kufikiri.
 
Mungu ninaye muelewa Mimi, He dwells in Secret places, sio kwenye public places kama huyo wa kwenu. He has His own language. He can speak plainly only to His Chosen people na in parables kwa watu kama nyie.

Nimekujibu kila kitu na kukuthibitishia kila kitu; Una macho lakini hujaona, masikio lakini hujasikia.

I tell you the truth, Huwezi kuwa mzinzi au muovu na ukaweza kuielewa sauti ya Mungu.
Utamuelewaje mungu anayekaa sehemu za siri?

Ukimuelewa basi hana siri, na kama ana siri huwezi kumuelewa.

Na kwa nini awe na siri? Anaogopa nini?

Hujathibitisha lolote, labda definition yako ya kuthibitisha imepinda.
 
Watu wanaambiwa wamuamini mungu ambaye hajitambui kama anaenda au anarudi.

Na wao wanakubali na kumuamini.

Ujinga mtupu.

Kumuamini huyu mungu ni kama umejivua utu na kujipa u zombie fulani hivi ufanye mambo bila kufikiri.
Tatizo wamejengewa hofu,
Mtu anaweza hata kipigana ukimwambia anachokiamini hakipo, na wakati huo huo ukimwambia athibitishe uwepo wa huyo Mungu hawezi[emoji23]
 
Back
Top Bottom