Jibu lako juu ya Je Mungu ana exist?. nitalijibu kwa kutumia materials and logical nikitumia Bible au Quran nitajicontradict mwenyewe! (although im a bible believer].
Kwenye Philosophy kuna kitu kinaitwa Infinitism ambapo hii ni imani/muono kwamba maarifa yeyote yanaweza thibitishwa kwa kutumia mnyororo wa reasonings!. Hapa namaanisha Hatuwezi kukujibu direct Mungu yupo lakini jibu moja litapelekea tupate jibu lingine litakalo justify swali lingine lenye jibu lingine tuweze kujibu swali lingine!. "if A is justified by B , B by C, and so forth".
So hapa jibu moja litatuleta kwenye jibu jingine mradi tukiescape skepticsm zako!. Kama ambavyo The Principle of Avoiding Arbitrariness (PAA) inavyosema "for all X, if a person, S, has a justification for X, then there is some reason, R1, available to S for X; and there is some reason, R2, available to S for R1 and so!"..
Kifupi Mungu yupo ila njia tunazotumia kumuamini ni Tofauti hata wewe somehow unaamini uwepo wake ila sio kama majority of us!.