Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Kumbuka SKU ya mwsho ni hukumu tu na sio hearing of cases .hakuna pa kukata rufaa wala kuomba kurejewa kwa hukumu upya( review of cases) sasa hayo maswali ya kumuulza Mungu cku ya mwsho sio ajabu ukakosa iyo nafas
hahaaa sasa Mungu hata hataki kuwasikiliza watu watakuwa na hoja zipi ambazo labda zinaweza kuwa na logic ..halafu bado mnasema kuwa Mungu Huyo anaupndo ..inaingia akilini kweli ?? hivi baba yko apate kukuadhibu kwa maneno yakuskia au kukutotaka kujua kwanini ulitenda kosa Fulani utaridhika kweli !!? utamuhisi vipi Huyo baba ??
 
Kwa hiyo siku ukifariki kiongozi utazikwa vp?? hakutakua na mapambio, Ibada, sala, dua, ?

Note: sikuombei ufariki.. misimamo yako na fikra zako zimenifanya niwaze hivo.
kwani kila anaye fariki anazikwa ....daahh akili nyingine hiziiiii

hahaaaa
 
“aliyewakarisha”?

Ndo maana unaona ‘alitukarisha’!
Usitake sema unaweza reasoning battle na Kiranga the guy alikuwa anawakalisha sana!...Hes an amazing being!, ID yangu ya 2012 (5 years after JF launch) icheki usizani ni 2018 hii just sikuwa naitumia but i used to follow your arguments he was nailing you all!!..
 
Mkuu nimeleta mada ya MUNGU, DINI NA IMANI but mods wameihamisha seems wameipeleka jukwaa la Dini lkini kifupi kuna nadharia inaitwa DEISM hii ina aamini Mungu yupo lakini nguvu za huyu Mungu ziliisha/zimelingana na ulimwengu alioutengeneza kiasi kwamba sasa hivi hana uwezo wa kubadili chochote zaidi ya kuangalia creation zake!..
Pia kuna nadharia ya PANTHEISM hii yenyewe inaamini Muumbaji na Uumbaji wake ni kitu kimoja ambacho hakiwezi tenganishwa hapa namaanisha MOTHER NATURE ndio MUUMBAJI wetu!.
Au kuna ile ingine ya AUTOTHEISM yenyewe inaamini kila mtu ana uungu ndani yake ni just kuufikia ukifata njia fulani, nazani hapa watu wa meditation wanahusika!.
All in all asijitokeze mtu akasema hizo ni nadharia tu nitamuuliza swali ashindwe lijibu na kusababisha niharibu Imani yangu
Ukiniuliza Nitafata DEISM simple, clear and understandable!
- wick
well mkuu ngoja ..nikaufuatilie huo Uzi ...nione yaliyomo
 
Hivi Kiranga amewahi kuthibitisha kwamba Mungu hayupo? Kuna ushahidi aliokuja nao kuthibitisha kwamba Mungu hayupo? Au ni dhana ile ile iliyozoeleka ya kuzunguka mbuyu!
Kiranga hawezi thibitisha uwepo wa Mungu kwa sababu anaamini hayupo, kwani kitu kisicho kuepo inathibitishwaje? Wa kuthibisha uwepo wa Mungu ni wewe unayesema na kuamini yupo.

Acheni porojo jibuni hoja za Kiranga, Mungu yupo, yupo wapi ni nani amewai muona zaidi ya hadithi za kusadikika kwenye vitabu vilivyo andikwa na binadamu kama wewe.

Kiranga ana hoja hapa inayo hitaji tafakuri ya hali juu sana, kama huna majibu bora upite kimya kimya usilete hadithi za kusadikika, hatutaki kuamini bali tuna taka uthibitisho. Hoja nyingine ni maji marefu kuzidi kimo chako si lazima ujibu.
 
kama ana amini uwepo wa Mungu kuwa yupo kwa kupitia vitabu ..basiii ni wakati sahihi kwake kuanza kuamini kuwa kuna kina zena na betina ..kipepe na madenge ..Lodi lofa ..tena afadhali ya hao wamepachikwa taswira na tunawaona ktik magazeti na wanaotunga hadithi zao wapo ..tunaweza kuwauliza kuhusu uwepo wao nawakatupatia majibu ...vipi kuhusu wao majibu yakuwa Mungu yupo kwann wanashindwa kuwa nayo"" !??

ktika dini Yetu ya kiislam tunaambiwa eti mtume hakuwa na pictr yke basiii hana pictr yakuchorw wala yakupigwa basiii hata sanamu lake kweli ?? watu wakale wengi walikuwa wanatumia kuchonga mawe ili kuacha kumbukumbu za watu Fulani ndio maana hadi leo hii kuna masanamu ya Julia Cesar kiongozi wa utawala wa Roma aliyezaa na Cleopatra lakini ajabu sana hkuna sanamu ya yesu wala pictr yake halisi hvyo hvyo kwa Muhammad ..wakati huyu Cesar alitangulia kuwepo duniani kbla ya hao wote "" yaani na umaarufu wao wrote waliowahi kuwa nao kweli hakuwahi kutokea hata mtu mmoja kuwachora na kuacha kumbukumbu zao ....!! au ndio walikuw wakichorwa hawachoreki ??
 
Usitake sema unaweza reasoning battle na Kiranga the guy alikuwa anawakalisha sana!...Hes an amazing being!, ID yangu ya 2012 (5 years after JF launch) icheki usizani ni 2018 hii just sikuwa naitumia but i used to follow your arguments he was nailing you all!!..

Mtu mwenyewe hata tahajia za maneno mepesi zinakushinda! Hilo pekee ni dirisha katika upeo wako.

Licha ya uwezo wako huo mdogo, una haki ya kuwa na maoni yako maana hivyo ndivyo uonavyo kulingana na uwezo wako mdogo ulionao.

Hebu nipe mifano mitano tu ambayo he was “ nailing” me.
 
There is no proof that such a God exists.

Now for huma affairs to be organized by reason, no God at all is needed.
Jibu lako juu ya Je Mungu ana exist?. nitalijibu kwa kutumia materials and logical nikitumia Bible au Quran nitajicontradict mwenyewe! (although im a bible believer].
Kwenye Philosophy kuna kitu kinaitwa Infinitism ambapo hii ni imani/muono kwamba maarifa yeyote yanaweza thibitishwa kwa kutumia mnyororo wa reasonings!. Hapa namaanisha Hatuwezi kukujibu direct Mungu yupo lakini jibu moja litapelekea tupate jibu lingine litakalo justify swali lingine lenye jibu lingine tuweze kujibu swali lingine!. "if A is justified by B , B by C, and so forth".
So hapa jibu moja litatuleta kwenye jibu jingine mradi tukiescape skepticsm zako!. Kama ambavyo The Principle of Avoiding Arbitrariness (PAA) inavyosema "for all X, if a person, S, has a justification for X, then there is some reason, R1, available to S for X; and there is some reason, R2, available to S for R1 and so!"..

Kifupi Mungu yupo ila njia tunazotumia kumuamini ni Tofauti hata wewe somehow unaamini uwepo wake ila sio kama majority of us!.
 
well mkuu ngoja ..nikaufuatilie huo Uzi ...nione yaliyomo
Poa mkuu sina access kule, ID yangu imesumbua imebidi nitumie hii nilokuwa nimeisahau muda sana!..
 
Ukishaongelea infinitism umeshakubali Mungu hayupo.

Kwa sababu infinitism ni idea ya mambo yasiyo na mwisho,na idea ya Mungu ni kwamba Mungu ndiye mwanzo na mwisho wa yote.

Infinitismitakwambia Mungu yupo, na yeye ana Mungu wake, na Mungu wake anaMungu wake, ad infinitum,ad nausea.

Infinitisminaongelea chain of reasoning.Mungu haruhusu chain iendelee kwa sababu yeye ndiye mwanzo na mwisho wa yote.

Huyo anakuwa si Mungu tena.

It becomes just another clog in an infinite machine.

If you are familiar with Godel's Incompletenes Theorem you will see that Infinitism cannot prove the existence of God, because proof for that existence will need to come froma realmoutside the realm in which God exists.

And once there is a realm in which God does not exist, that God is no God.
 
Poa mkuu sina access kule, ID yangu imesumbua imebidi nitumie hii nilokuwa nimeisahau muda sana!..
anhaaa kumbe ..sasa unapaswa """ kuiweka avatar ili nipate wepesi wakuwa na kukumbuka
 
Jibu lako juu ya Je Mungu ana exist?. nitalijibu kwa kutumia materials and logical nikitumia Bible au Quran nitajicontradict mwenyewe! (although im a bible believer].
Kwenye Philosophy kuna kitu kinaitwa Infinitism ambapo hii ni imani/muono kwamba maarifa yeyote yanaweza thibitishwa kwa kutumia mnyororo wa reasonings!. Hapa namaanisha Hatuwezi kukujibu direct Mungu yupo lakini jibu moja litapelekea tupate jibu lingine litakalo justify swali lingine lenye jibu lingine tuweze kujibu swali lingine!. "if A is justified by B , B by C, and so forth".
So hapa jibu moja litatuleta kwenye jibu jingine mradi tukiescape skepticsm zako!. Kama ambavyo The Principle of Avoiding Arbitrariness (PAA) inavyosema "for all X, if a person, S, has a justification for X, then there is some reason, R1, available to S for X; and there is some reason, R2, available to S for R1 and so!"..

Kifupi Mungu yupo ila njia tunazotumia kumuamini ni Tofauti hata wewe somehow unaamini uwepo wake ila sio kama majority of us!.
mkuu umemuona kiranga kaijibu hoja yako !!!?? hebu itetee nione kama kweli nitaondoka na kitu toka kwako
 
hahahah Kiranga siwezi bishana directly nachoweza ni kupangua hoja zake kwa kutumia mnyororo wa reasoning arguments kwake bible/quran are just books!..Tatizo nahangaika na mods wanirudishie Account lakini ili kumuweza kiranga usitumie Bible quotes tumia Principle of Avoiding Arbitrariness (PAA) au Principle of Avoiding Circularity (PAC).
 
naam kwa hizi reference za vitabu vya imani hawezi kukuelewa hata kidogo
 
Anavielewa sana sema atapita kimya sababu anajua siwezi vitumia effectively kumuelekeza they are complicated in such!..[emoji23]

Me nimekubali arguments za Kiranga although zipo strong but naweza zivunja lakini sina mbinu so he wins ingawa what i can't explain doesn't mean its false!.
 
Kiongozi mwambie tu ... Biblia yasema "MPUMBAVU" anaamini moyoni mwake HAKUNA MUNGU ....
Biblia ina contradictions lukuki na hivyo si kitabu cha kufiatilia kila lililoandikwa kama neno la Mungu.

Kitabu kinachoitwa kitakatifu cha Mungu kikishakuwa na contradiction hata moja tu kinajiondolea credibility.

Kama kuna upumbavu hapa, ni kuamini kwamba kitabu chenye contradiction ni kitabu cha Mungu.

The same goes for the Quran.
 
Back
Top Bottom