Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Those who assert have the onus of proof, those who dissent have to only question.Nitakubali, ila na wewe hutanimbia lolote maana litakosa Uthibitisho pia![emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Those who assert have the onus of proof, those who dissent have to only question.Nitakubali, ila na wewe hutanimbia lolote maana litakosa Uthibitisho pia![emoji1]
Unataka Kuniambia Unajitambua wewe Umetoka Wapi?[emoji2]Those who assert have the onus of proof, those who dissent have to only question.
naona umeanza kutambua uwepo wake ww unaamini kuwa yupo shida yako kwann aitwe Mungu na sio jina jingine. hilo halina shida tunga jina lingine uwe unaamiiunaamii kupitia hilo.Unaelewa kwamba hujajibu swali, ila umekubali kwamba hujui jibu umerahisisha mambo kwa kuita kitu usichokijua "Mungu" ?
Kwa nini tunapenda kuita "Mungu" kitu tusichokijua badala ya kuchunguza ili tupanue uelewa?
Wapi nimeanza kutambua kwamba Mungu yupo?naona umeanza kutambua uwepo wake ww unaamini kuwa yupo shida yako kwann aitwe Mungu na sio jina jingine. hilo halina shida tunga jina lingine uwe unaamiiunaamii kupitia hilo.
kwa kusema kwa nn tukiite kitu tusicho kijua Mungu hapo tayari. na unavobishia swala la Mungu bishia kwa imani sio kwa fikra zako tutakesha hapa .Wapi nimeanza kutambua kwamba Mungu yupo?
Hata nikikwambia sijui. Hilo halithibitishi Mungu yupo.Unataka Kuniambia Unajitambua wewe Umetoka Wapi?[emoji2]
Nikisema kwa nini tukiite kitu tusichokijua Mungu nishakubali Mungu yupo?kwa kusema kwa nn tukiite kitu tusicho kijua Mungu hapo tayari. na unavobishia swala la Mungu bishia kwa imani sio kwa fikra zako tutakesha hapa .
Hapana Tunashindwa Kuelewana, mimi sijasema ni lazima uamini! Ukiamini sawa, Hata Usipoamini pia ni sawa tu sababu, Siamini kama hili ni jambo la lazima sana lililotuleta hapa Duniani (kujua Source Yetu)Hata nikikwambia sijui. Hilo halithibitishi Mungu yupo.
Usichanganye mambo mawili tofauti.
Mimi kutokujua square root ya mbili ni nini haimaanishi mtu akinipa jibu la uongo la square root ya 2 ni 10 sitajua kwamba jibu ni ka uongo. Lina contradiction.
Vivyo hivyo. Mimi kutokujua chanzi cha maisha, haina maana ni kazima nikubali jibu lenye contradiction la huyo Mungu.
Unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata kama hujui jibu sahihi ni lipi.
Naweza kujua jibu la Mungu ni la uongo hata kama sinui jibu sahihi ni lipi.
Naweza kujua square root ya 2 si 10 hata kama sijui square roit ya 2 ni nini.
swala la Mungu halijawahi kuisha tunapoteza.mda kubishana amini kile unachoamini mkuu Siku njema.Nikisema kwa nini tukiite kitu tusichokijua Mungu nishakubali Mungu yupo?
Nikisema kwa nini tunakiita kitu tusichokijua "pembetatu yenye peembe sita" nimekubali "pembe tatu yenye pembe sita" ipo?
Wewe ukisema "kwa nini mnaniita mwizi?" umekubali kwamba wewe ni mwizi?
Unapoandika nibishie kwa imani, siyo kwa fikra zangu, unaelewa kwamba hakuna imani isiyo na fikra na ukisema nibishie kwa imani siyo kwa fikra unajionesha hujui imani wala fikra ni nini?
Kwanza kabisa, hili ni "suala" si "swala".swala la Mungu halijawahi kuisha tunapoteza.mda kubishana amini kile unachoamini mkuu Siku njema.
Kiranga unaongea vitu vya ajabu sana. Hujui square root ya 2, unamuuliza Mtu, anakuambia square root ya 2 ni 10, kisha unabisha. Unabisha ingawa hujui sasa unabishaje? Kama mindset yako kiongozi hivyo, basi ww utabisha kila kitu.Hata nikikwambia sijui. Hilo halithibitishi Mungu yupo.
Usichanganye mambo mawili tofauti.
Mimi kutokujua square root ya mbili ni nini haimaanishi mtu akinipa jibu la uongo la square root ya 2 ni 10 sitajua kwamba jibu ni ka uongo. Lina contradiction.
Vivyo hivyo. Mimi kutokujua chanzi cha maisha, haina maana ni kazima nikubali jibu lenye contradiction la huyo Mungu.
Unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata kama hujui jibu sahihi ni lipi.
Naweza kujua jibu la Mungu ni la uongo hata kama sinui jibu sahihi ni lipi.
Naweza kujua square root ya 2 si 10 hata kama sijui square roit ya 2 ni nini.
Jaribu kufikiria kwa nn hatufikiihatufikii muafaka .Kwanza kabisa, hili ni "suala" si "swala".
Swala ni mnyama.
Pili, kama tunapoteza muda kwa nini unashiriki katika suala la kupoteza muda?
Tatu, unaniambia niamini kile ninachoamini, kwa nini unafikiri mimi napenda au nataka kuamini?
Hesabu huwa hazidanganyi ukizifuatilia kwa uadilifu.Hapana Tunashindwa Kuelewana, mimi sijasema ni lazima uamini! Ukiamini sawa, Hata Usipoamini pia ni sawa tu sababu, Siamini kama hili ni jambo la lazima sana lililotuleta hapa Duniani (kujua Source Yetu)
Ila uache Uongo Mr Kiranga wewe kama hujui jambo Fulani (Upo Gizani) Huwezi kustuka kwa vyovyote mimi nikija na nikikudanganya!
Ni sawa Hujui Mji mkuu wa China unaitwaje, (Upo gizani) mimi nikaja na kukwambia Unaitwa "Fen lee"! Itakupasa Uamini, sababu wewe huna jibu!(Hujui) Ukianza kuleta Ujuaji maana yake Unajua Jibu ni nini! Lakini si kwa mtu ambae hajui!
Sijui square root ya 2 ni nini. Aactually hata wewe hujui. Actually hakuna anayeweza kuiandika kikamilifu square root ya 2.Kiranga unaongea vitu vya ajabu sana. Hujui square root ya 2, unamuuliza Mtu, anakuambia square root ya 2 ni 10, kisha unabisha. Unabisha ingawa hujui sasa unabishaje? Kama mindset yako kiongozi hivyo, basi ww utabisha kila kitu.
Hujui lakini unabisha
Muafaka uko overrated.Jaribu kufikiria kwa nn hatufikiihatufikii muafaka .
hapo nikama kubisha icream ya moto au ya baridi
ndio maana nikakwambia kila MTU awe na lake au unasemaje mkuu.Muafaka uko overrated.
Tukifikia muafaka kunywa maji ya mavi, huo utakuwa muafaka pia, lakini utasababisha vifo vya kipindupindu.
Ukishajibu hoja hapa JF ushajitoa kwenye habari za kila mtu awe na lake, umejadili mambo katika uwanja wa umma.ndio maana nikakwambia kila MTU awe na lake au unasemaje mkuu.
Kumjua Mungu Hakuhitaji Hisabati, Alaf Nasikitika sana Kwa Jibu Ulilonijibu Ndugu yangu! Kwani Limeonyesha Udhaifu Mkubwa mno Ulionao!Hesabu huwa hazidanganyi ukizifuatilia kwa uadilifu.
Ndiyo maana napenda sana kutumia mifano ya hesabu.
Nimekupa mfano, naona hujui kusoma, ungejua kusoma ungeuona na usingejibu ulivyojibu.
Narudia tena.
Si lazima kujua jibu sahihi ili kujua jibu unalopewa si sahihi.
Mathalani, naweza kujua kanuni tu kwamba, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, haiwezi kuwa kubwa zaidi ya mbili.
Mtu akakuuliza, square root ya mbili ni nini?
Ukamwambia sijui.
Akakwambia ni 10.
Ukajua hili jibu ni la uongo, haliwezi kuwa kweli, kwa sababu square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa zaidi ya 2.
Hapo umejua jibu la 10 ni la uongo, bila hata kujua jibu sahihi.
Kwa sababu jibu la 10 lina contradict a central principle ya kwamba, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko mbili.
Kwa hivyo, unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata bila kujua jibu la kweli, kwa kuangalia contradiction kama kwa mfano huu wa square root ya 2.
Kama hujui square root ni nini (kwa majibu yako siwezi kushangaa kama hujui square root ni nini) hilo litakuwa tatizo lako, jingine, tofauti, na linalozidi kuonesha Mungu hayupo.
Mungu wako ana contradiction.Kumjua Mungu Hakuhitaji Hisabati, Alaf Nasikitika sana Kwa Jibu Ulilonijibu Ndugu yangu! Kwani Limeonyesha Udhaifu Mkubwa mno Ulionao!
Limeonyesha Ni Jinsi Gani Umtaalam Wa Kila Kitu! Kiasi Kwamba Sisi Hapa Tunadiscuss na Mtu ambae anatusoma Nyuma Ya Kisogo Anajua kile anachojifanya anauliza!
Kama Unajua Majibu Ya Mambo Ulienda Shule Kufanya nini!? Ulimsikiliza Mwalimu wa Hisabati kwa sababu Gani Ikiwa Tangu Upo Darasa la Kwanza Ulitambua Mwalimu akisema 1+1= 3 Ni Muongo!
Ikiwa sasa Jambo Ambalo Hulijui Kabisa kabisa, Hata Kanuni Yake Hujui Eti Mtu akaja na Kukupa Kanuni ya uongo na Jibu la Uongo wewe Ukastuka Kuwa Umedanganywa!
Narudia Tena Kujua uwepo Wa Mungu Hakuhitaji Hisabati! Ni Somo la Aina Nyingine kabisa Kama History na Civics!
Nimekuuliza na wewe Thibitisha mwanzo Wako..Mungu wako ana contradiction.
Hujaondoa contradiction.
Mungu wako ni wa hadithi tu. Hayupo.
Kama unasema yupo, thibitisha kwamba yupo.