Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Unaelewa kwamba hujajibu swali, ila umekubali kwamba hujui jibu umerahisisha mambo kwa kuita kitu usichokijua "Mungu" ?

Kwa nini tunapenda kuita "Mungu" kitu tusichokijua badala ya kuchunguza ili tupanue uelewa?
naona umeanza kutambua uwepo wake ww unaamini kuwa yupo shida yako kwann aitwe Mungu na sio jina jingine. hilo halina shida tunga jina lingine uwe unaamiiunaamii kupitia hilo.
 
Wapi nimeanza kutambua kwamba Mungu yupo?

Nimeanzaje kutambua hivyo?

Kitu gani kinakupa fikra hiyo?
 
Wapi nimeanza kutambua kwamba Mungu yupo?
kwa kusema kwa nn tukiite kitu tusicho kijua Mungu hapo tayari. na unavobishia swala la Mungu bishia kwa imani sio kwa fikra zako tutakesha hapa .
 
Unataka Kuniambia Unajitambua wewe Umetoka Wapi?[emoji2]
Hata nikikwambia sijui. Hilo halithibitishi Mungu yupo.

Usichanganye mambo mawili tofauti.

Mimi kutokujua square root ya mbili ni nini haimaanishi mtu akinipa jibu la uongo la square root ya 2 ni 10 sitajua kwamba jibu ni ka uongo. Lina contradiction.

Vivyo hivyo. Mimi kutokujua chanzi cha maisha, haina maana ni kazima nikubali jibu lenye contradiction la huyo Mungu.

Unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata kama hujui jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua jibu la Mungu ni la uongo hata kama sinui jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua square root ya 2 si 10 hata kama sijui square roit ya 2 ni nini.
 
kwa kusema kwa nn tukiite kitu tusicho kijua Mungu hapo tayari. na unavobishia swala la Mungu bishia kwa imani sio kwa fikra zako tutakesha hapa .
Nikisema kwa nini tukiite kitu tusichokijua Mungu nishakubali Mungu yupo?

Nikisema kwa nini tunakiita kitu tusichokijua "pembetatu yenye peembe sita" nimekubali "pembe tatu yenye pembe sita" ipo?

Wewe ukisema "kwa nini mnaniita mwizi?" umekubali kwamba wewe ni mwizi?

Ukisema "kwa nini mnaniita a married bachelor?" Umekubali kwamba kuna "a married bachelor"?

Unapoandika nibishie kwa imani, siyo kwa fikra zangu, unaelewa kwamba hakuna imani isiyo na fikra na ukisema nibishie kwa imani siyo kwa fikra unajionesha hujui imani wala fikra ni nini?
 
Hata nikikwambia sijui. Hilo halithibitishi Mungu yupo.

Usichanganye mambo mawili tofauti.

Mimi kutokujua square root ya mbili ni nini haimaanishi mtu akinipa jibu la uongo la square root ya 2 ni 10 sitajua kwamba jibu ni ka uongo. Lina contradiction.

Vivyo hivyo. Mimi kutokujua chanzi cha maisha, haina maana ni kazima nikubali jibu lenye contradiction la huyo Mungu.

Unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata kama hujui jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua jibu la Mungu ni la uongo hata kama sinui jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua square root ya 2 si 10 hata kama sijui square roit ya 2 ni nini.
Hapana Tunashindwa Kuelewana, mimi sijasema ni lazima uamini! Ukiamini sawa, Hata Usipoamini pia ni sawa tu sababu, Siamini kama hili ni jambo la lazima sana lililotuleta hapa Duniani (kujua Source Yetu)

Ila uache Uongo Mr Kiranga wewe kama hujui jambo Fulani (Upo Gizani) Huwezi kustuka kwa vyovyote mimi nikija na kukudanganya!

Ni sawa Hujui Mji mkuu wa China unaitwaje, (Upo gizani) mimi nikaja na kukwambia Unaitwa "Fen lee"! Itakupasa Uamini, sababu wewe huna jibu!(Hujui) Ukianza kuleta Ujuaji maana yake Unajua Jibu ni nini! Lakini si kwa mtu ambae hajui!
 
Nikisema kwa nini tukiite kitu tusichokijua Mungu nishakubali Mungu yupo?

Nikisema kwa nini tunakiita kitu tusichokijua "pembetatu yenye peembe sita" nimekubali "pembe tatu yenye pembe sita" ipo?

Wewe ukisema "kwa nini mnaniita mwizi?" umekubali kwamba wewe ni mwizi?

Unapoandika nibishie kwa imani, siyo kwa fikra zangu, unaelewa kwamba hakuna imani isiyo na fikra na ukisema nibishie kwa imani siyo kwa fikra unajionesha hujui imani wala fikra ni nini?
swala la Mungu halijawahi kuisha tunapoteza.mda kubishana amini kile unachoamini mkuu Siku njema.
 
Kwanza kabisa, hili ni "suala" si "swala".

Swala ni mnyama.

Pili, kama tunapoteza muda kwa nini unashiriki katika suala la kupoteza muda?

Tatu, unaniambia niamini kile ninachoamini, kwa nini unafikiri mimi napenda au nataka kuamini?
 
Hata nikikwambia sijui. Hilo halithibitishi Mungu yupo.

Usichanganye mambo mawili tofauti.

Mimi kutokujua square root ya mbili ni nini haimaanishi mtu akinipa jibu la uongo la square root ya 2 ni 10 sitajua kwamba jibu ni ka uongo. Lina contradiction.

Vivyo hivyo. Mimi kutokujua chanzi cha maisha, haina maana ni kazima nikubali jibu lenye contradiction la huyo Mungu.

Unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata kama hujui jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua jibu la Mungu ni la uongo hata kama sinui jibu sahihi ni lipi.

Naweza kujua square root ya 2 si 10 hata kama sijui square roit ya 2 ni nini.
Kiranga unaongea vitu vya ajabu sana. Hujui square root ya 2, unamuuliza Mtu, anakuambia square root ya 2 ni 10, kisha unabisha. Unabisha ingawa hujui sasa unabishaje? Kama mindset yako kiongozi hivyo, basi ww utabisha kila kitu.

Hujui lakini unabisha
 
Kwanza kabisa, hili ni "suala" si "swala".

Swala ni mnyama.

Pili, kama tunapoteza muda kwa nini unashiriki katika suala la kupoteza muda?

Tatu, unaniambia niamini kile ninachoamini, kwa nini unafikiri mimi napenda au nataka kuamini?
Jaribu kufikiria kwa nn hatufikiihatufikii muafaka .
hapo nikama kubisha icream ya moto au ya baridi
 
Hapana Tunashindwa Kuelewana, mimi sijasema ni lazima uamini! Ukiamini sawa, Hata Usipoamini pia ni sawa tu sababu, Siamini kama hili ni jambo la lazima sana lililotuleta hapa Duniani (kujua Source Yetu)
Ila uache Uongo Mr Kiranga wewe kama hujui jambo Fulani (Upo Gizani) Huwezi kustuka kwa vyovyote mimi nikija na nikikudanganya!

Ni sawa Hujui Mji mkuu wa China unaitwaje, (Upo gizani) mimi nikaja na kukwambia Unaitwa "Fen lee"! Itakupasa Uamini, sababu wewe huna jibu!(Hujui) Ukianza kuleta Ujuaji maana yake Unajua Jibu ni nini! Lakini si kwa mtu ambae hajui!
Hesabu huwa hazidanganyi ukizifuatilia kwa uadilifu.

Ndiyo maana napenda sana kutumia mifano ya hesabu.

Nimekupa mfano, naona hujui kusoma, ungejua kusoma ungeuona na usingejibu ulivyojibu.

Narudia tena.

Si lazima kujua jibu sahihi ili kujua jibu unalopewa si sahihi.

Mathalani, naweza kujua kanuni tu kwamba, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, haiwezi kuwa kubwa zaidi ya mbili.

Mtu akakuuliza, square root ya mbili ni nini?

Ukamwambia sijui.

Akakwambia ni 10.

Ukajua hili jibu ni la uongo, haliwezi kuwa kweli, kwa sababu square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa zaidi ya 2.

Hapo umejua jibu la 10 ni la uongo, bila hata kujua jibu sahihi.

Kwa sababu jibu la 10 lina contradict a central principle ya kwamba, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko mbili.

Kwa hivyo, unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata bila kujua jibu la kweli, kwa kuangalia contradiction kama kwa mfano huu wa square root ya 2.

Kama hujui square root ni nini (kwa majibu yako siwezi kushangaa kama hujui square root ni nini) hilo litakuwa tatizo lako, jingine, tofauti, na linalozidi kuonesha Mungu hayupo.
 
Kiranga unaongea vitu vya ajabu sana. Hujui square root ya 2, unamuuliza Mtu, anakuambia square root ya 2 ni 10, kisha unabisha. Unabisha ingawa hujui sasa unabishaje? Kama mindset yako kiongozi hivyo, basi ww utabisha kila kitu.

Hujui lakini unabisha
Sijui square root ya 2 ni nini. Aactually hata wewe hujui. Actually hakuna anayeweza kuiandika kikamilifu square root ya 2.

It is an irrational number.It cannot be written in fractions and in decimal form does not terminate.

Lakini mtu akiniambia square root ya 2 ni 10, nitakataa. Kwa sababu square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2 ili ikizidishwa kwa yenyewe ipate jibu 2. Kumi ukiizidisha kwa yenyewe unapata jibu 100, si 2, kwa hiyo haiwezi kuwa square root ya 2.

Jibu lolote lililo kubwa zaidi ya 2 lina contradict kanuni ya msingi kwamba "square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2", hivyo, kama umepewa multiple choice answers, hapa ukiona jibu kubwa kuliko 2 tu unajua hili haliwezi kuwa sahihi, bila hata kujua jibu sahihi ni lipi.

Kama umeshindwa kuelewa habari hii ya hesabu ambayo haina mjadala mrefu, habari za uwepo a Mungu hatuwezi kuelewana.

Habari za kuwepo kwa Mungu wenu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu zina contradiction kubwa na sawasawa na hii ya "square root ya 2 ni 10".

Hivyo haziwezi kuwa kweli.

Mungu huyo ni wa uongo kama jibu la square root ya 2 ni 10 lilivyo la uongo.

Jibu la Mungu na jibu la 10 yote yana contradiction.
 
Jaribu kufikiria kwa nn hatufikiihatufikii muafaka .
hapo nikama kubisha icream ya moto au ya baridi
Muafaka uko overrated.

Tukifikia muafaka kunywa maji ya mavi, huo utakuwa muafaka pia, lakini utasababisha vifo vya kipindupindu.
 
ndio maana nikakwambia kila MTU awe na lake au unasemaje mkuu.
 
Ukishajibu hoja hapa JF ushajitoa kwenye habari za kila mtu awe na lake, umejadili mambo katika uwanja wa umma.

Kama unataka kila mtu awe na lake usijadiliane hapa kwenye uwanja wa umma, kuna watu kibao hawajajadiliana hapa.

Ukijadiliana halafu unasema kila mtu awe na lake unaonesha hujui kujadiliana wala kukaa na lako.
 
Hesabu huwa hazidanganyi ukizifuatilia kwa uadilifu.

Ndiyo maana napenda sana kutumia mifano ya hesabu.

Nimekupa mfano, naona hujui kusoma, ungejua kusoma ungeuona na usingejibu ulivyojibu.

Narudia tena.

Si lazima kujua jibu sahihi ili kujua jibu unalopewa si sahihi.

Mathalani, naweza kujua kanuni tu kwamba, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, haiwezi kuwa kubwa zaidi ya mbili.

Mtu akakuuliza, square root ya mbili ni nini?

Ukamwambia sijui.

Akakwambia ni 10.

Ukajua hili jibu ni la uongo, haliwezi kuwa kweli, kwa sababu square root ya 2 haiwezi kuwa kubwa zaidi ya 2.

Hapo umejua jibu la 10 ni la uongo, bila hata kujua jibu sahihi.

Kwa sababu jibu la 10 lina contradict a central principle ya kwamba, square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko mbili.

Kwa hivyo, unaweza kujua jibu hili ni la uongo hata bila kujua jibu la kweli, kwa kuangalia contradiction kama kwa mfano huu wa square root ya 2.

Kama hujui square root ni nini (kwa majibu yako siwezi kushangaa kama hujui square root ni nini) hilo litakuwa tatizo lako, jingine, tofauti, na linalozidi kuonesha Mungu hayupo.
Kumjua Mungu Hakuhitaji Hisabati, Alaf Nasikitika sana Kwa Jibu Ulilonijibu Ndugu yangu! Kwani Limeonyesha Udhaifu Mkubwa mno Ulionao!

Limeonyesha Ni Jinsi Gani Umtaalam Wa Kila Kitu! Kiasi Kwamba Sisi Hapa Tunadiscuss na Mtu ambae anatusoma Nyuma Ya Visogo!, (Anajua kile anachojifanya anauliza!)

Kama Unajua Majibu Ya Mambo Ulienda Shule Kufanya nini!? Ulimsikiliza Mwalimu wa Hisabati kwa sababu Gani Ikiwa Tangu Upo Darasa la Kwanza Ulitambua Mwalimu akisema 1+1= 3 Ni Muongo!

Ikiwa sasa Jambo Ambalo Hulijui Kabisa kabisa, Hata Kanuni Yake Hujui Eti Mtu akaja na Kukupa Kanuni ya uongo na Jibu la Uongo wewe Ukastuka Kuwa Umedanganywa!

Narudia Tena Kujua uwepo Wa Mungu Hakuhitaji Hisabati! Ni Somo la Aina Nyingine kabisa Kama History na Civics!
 
Kumjua Mungu Hakuhitaji Hisabati, Alaf Nasikitika sana Kwa Jibu Ulilonijibu Ndugu yangu! Kwani Limeonyesha Udhaifu Mkubwa mno Ulionao!

Limeonyesha Ni Jinsi Gani Umtaalam Wa Kila Kitu! Kiasi Kwamba Sisi Hapa Tunadiscuss na Mtu ambae anatusoma Nyuma Ya Kisogo Anajua kile anachojifanya anauliza!

Kama Unajua Majibu Ya Mambo Ulienda Shule Kufanya nini!? Ulimsikiliza Mwalimu wa Hisabati kwa sababu Gani Ikiwa Tangu Upo Darasa la Kwanza Ulitambua Mwalimu akisema 1+1= 3 Ni Muongo!

Ikiwa sasa Jambo Ambalo Hulijui Kabisa kabisa, Hata Kanuni Yake Hujui Eti Mtu akaja na Kukupa Kanuni ya uongo na Jibu la Uongo wewe Ukastuka Kuwa Umedanganywa!

Narudia Tena Kujua uwepo Wa Mungu Hakuhitaji Hisabati! Ni Somo la Aina Nyingine kabisa Kama History na Civics!
Mungu wako ana contradiction.

Hujaondoa contradiction. Kama unaelewa hata contradiction ni nini.

Mungu wako ni wa hadithi tu. Hayupo.

Kama unasema yupo, thibitisha kwamba yupo.
 
Back
Top Bottom