jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ila hizi kauli za huyu papa sa hivi zinaweka kanisa njia panda wewe kama ni kukataa ukata au kama ni kukubali ukubali tatizo hyu kiongozi amekuwa Neutral mno kiasi cha kuwaacha waumini njia panda kuhusu suala la LGBTQ yani inaboa sana hta tu kumwona[emoji57][emoji57]
Kuambiwa ukweli siyo kuchukiwa, bali kupendwa. Mtu mnafiki ndiye atakwambia kile unachotamani kusikia tu.
Ukatoliki uko mbali sana na Ukristo. Na kwa kweli unapingana kabisa na imani ya Kristu na mitume. Sasa hilo ni kanisa la Mungu kweli?
Ukatoliki ni taasisi inayojificha kwenye vazi la dini na Ukristo.
Wakatoliki wanajua wanachoambiwa na Wakristu ni ukweli 100% na wao wako kinyume na Yesu, ndiyo sababu wanapaniki na kujaa jazba kirahisi.
Kukua kwa kanisa sio idadi broooUnauhakika mkuu,halafu pamoja na maneno yote mbona kanisa linakuwa kila siku na ndio kanisa lenye nguvu ulimwenguni?
Labda kweli mti wenu wa Ukatoliki unaweza kuwa na matunda, tena mengi sana.Kuna nyuzi nyingi za kushambulia kanisa katoliki, hata hivyo mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe.
πππjana papa katangaza kwamba mashoga wana haki ya kubatizwa na kusimamia ndoa,,,kimsingi ushoga ni ruksa kwa katoliki
AminaThank you Lord Jesus kwa kufumbua watu macho sasa wanaona, ila ubishi tu wa kibinadam. Ila ukweli sasa uko wazi.
Umetoa wapi hiiMkuu ungechukua muda ukajifunza falsafa za RC usingeandika hiki ulichokiandika
1. Kanisa haliamini kuwa biblia ndo muongozo pekee wa kusimamia hilo kanisa, wana vyanzo vingine vya mambo mambo yao
2. Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani
3. Kanisa linaweza kufuta amri yoyote unayoijua kwenye biblia wakaweka ya kwao. mfano walifuta ile inayokataza kuchonga sanamu na wakagawanya ile ya kutamani ikawa mbili ili mradi kuzuga kuwa ni kumi
Ninafikiri unapaswa utueleze na au kututhibitishia msimamo rasmi wa Kanisa Katoliki kama linaunga mkono unyanyasaji wa kingono kwa yeyote, siyo watoto pekee.Vp kuhusu kashfa ya mapadiri kuwanyanyasa kingono watoto wadogo?β
Huo sio ushoga
πππKwani uwezi kumcha Mungu wako bila ya kuwa na dhehebu tumia akili ....
Dhana ya madhehebu haiwezi kukwepeka hata kidogo kwenye suala la dini au imani, kwa sababu ya uwepo wa mbegu ovu aliyoipanda Ibilisi.
Ni kama tu ambavyo dini na mfumo wa dini haviwezi kukwepeka. Huwezi kuacha jina zuri, kisa tu linatumiwa na mtu mwingine (mathalani aliye mbaya).
Kwa mfano, Ukatoliki unaamini ubatizo wa kunyunyiza maji, wakati Ukristu wa kweli unafundisha kuhusu ubatizo wa kuzamisha majini kabisa.
Tayari mpaka hapo ni madhehebu mawili kwenye kundi linalodai linafuata dini moja ya Ukristu.
Thibitisha. Nangoja jibu.
Yohana Mbatizaji alikuwa mfuasi wa dini ya Kiyahudi, dhehebu lake lilikuwa Mnazorayo.
Huyu ndiye alimbatiza Kristu, na wala Kristu hakuukemea Unazorayo wake maadamu hakupingana na dini ya Kiyahudi (ambayo ndiyo msingi wa Ukristu).
Nimekupa mfano hapo wa Yohana Mbatizaji. Huyu, kama hujui, alikuwa nabii. Tena Kristu alimwita kuwa ni nabii wa juu kabisa. Luka 7:28.nitajie mtume au mtakatifu yoyote wa kweli aliye kwenye maandiko aliyekuwa na dhehebu au aliye anzisha dhehebu
Hao mapadri wamechukuliwa hatua gani?!Ninafikiri unapaswa utueleze na au kututhibitishia msimamo rasmi wa Kanisa Katoliki kama linaunga mkono unyanyasaji wa kingono kwa yeyote, siyo watoto pekee.
Ni wapagani waabudu sanamu waliojificha kwenye kivuli cha ukristo.Hawasomi kabisaaa
Wanasubiri padri awasomee mstari mmoja
Watoe sadaka waende zao
Ni wavibu mnooo sijapata kuona
Wanataka mpaka zambi zao padri awaombee wasemehewe
Wakaona haitoshi
Wanamuomba maria amshawishi mwanae awasamehe dhambi zao
Yani ni upagani
Yesu alikufa na pazia likapasuka la hekalu iliiweje
Ili mtu aingie madhahahuni na aombe kwa mungu yeye mwenyew na sio kuhani awapelekee maombi yao
Ila ni wavivu mnoo
Soma Mathayo 2:23.Yohana hakuwa na dhehebu
Bila kuwa na kanisa, hivi alikuwa akiwahubiri akina nani?Na hakuwa na kanisa
Yohana alikuwa akiwapinga viongozi wa dini na viongozi wa madhehebu, waliokuwa hawafuati misingi sahihi ya dini.Alikuwa anahubiri nakuwapinga viongozi wa dini na madhehebu
Siyo lazima uingie kanisani au kwenye sinagogi, ndipo uwe na dini au dhehebu. Tafadhali jielimishe kidogo kuhusu maana ya kanisa, dini, dhehebu, na imani.Hajawah kuingia kwenye makanisa yao
Alihubiri mitaani na mtoni
Na sasa hivi wameshaanza kujadili maswala mapenzi ya jinsia moja?!Yesu alisema ibilisi anapanda magugu kwa siri
Alipanda zamani sana
Kanisa lilianza siku ya pentekoste
Ila dhehebu la kwanza lilianza rumi miaka 300 baadae
Kwa sasa ndio mavuno lazima ukweli uonekane wazi na rangi zao
Romanj haifichi tena kama zaman uasi wake
Ipo wazi mnoo
Sijui kwanini mtu anatetea ushetani
Hata malaika akiwahubiria na vifungo vya biblia wanayoibeba kila siku kanisan watapinga.
Na watamuua kabisa
Ukatoliki ni tajiri duniani leo kwa sababu ya ulaghai kama huo huo wa makanisa mengi leo.Ndo mana wanauziwa maji yaliyonunuliwa sh 250 kwa sh 2000 eti wakawe matajiri.yaani maji nusu Lita unauziwa 2000 bado unamjadili mkatoliki?siku nyingine mkitaka kutujadili mtuletee bajeti ili mtujadili huku mnapiga vyuku sio mnatujadili huku mnapiga miayo.
Mfalme Daudi, anayetajwa kwenye Biblia kwamba aliupendeza moyo wa Mungu, alikuwa mpagani? Hakuwa na kanisa?Kanisa lilianza siku ya pentekoste
Ila dhehebu la kwanza lilianza rumi miaka 300 baadae