Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Kweli imani ni ugonjwa wa akili?kanisa hili lenye wafuasi wengi ulimwenguni na kila siku wanaongezeka leo linaenda kufa[emoji28]. Mkuu umedanganywa sana hata uhalisia huuoni,unapambana na adui bandia adui halisi sio ukatoliki ni wale wanaokataa uungu wa kristo hao ndio adui na wapinga kristo.
Yani wewe
Hivi unazani kanisa kuwa na watu wengi ndo mungu yupo nalo?
Na je unadhani uislam ni upinga kristi
Biblia inasema shetani yupo madhabahuni kabisani, akidanganya kiasi cha kuabudiwa kanisani.
Usizan uislam ndio upinga kristo
Yesu mwenye alisema watafanana sana kiasi kwamb itakuwa ngumu kujua ngano na magugu
Aliwaambia yaacheni yakue moaka wakati wa mavuno ndo mtajua ngano ni ipi na magugu ni yapi
Na ni wakati huu ambao rangi za udhehebu
Kama roman na mengine zinaonekana wazi.

Na biblia pia ilisema wakati wa mwisho watakusanya makundi makundi tayar kw ajil ya kuchomwa
Ila wakati huo ngano ipo ghalani tayari.
 
Kama katoliki sio kanisa la kikristo lipi ni kanisa la kikristo?
Ilo ndo swali zuri
Ww usilazimishe kumuweka yesu kwenye madhehebu ambayi mmeshamfukuza
Yesu yupo kwenye neno lake
Sio kwenye taasisi
Hajawahi kuwa kwenye taasisi kamwe
Ata wakat yupo apa dunian kimwili.
Wakati yupo kulikuwa na madheheb ya mafarisayo, waandish na masadukayo.
Na yote yalimkataaa.

Ukiona unasali sehem inapingana na maandiko ya biblia mnayosema mnaiamini iokoe nafsi yako

Apa mnatoa jasho kutetea madhehebu yenu kuliko kulitetea neno la mungu
Inasikitisha
Yesu yupo lakini sio kwenye izi taasisi zenu
 
Biblia ni kama katiba,katiba ili ikamilike lazima itengenezewe sheria,kanuni na miongozo.

Katiba inataka msali siku fulani,lakini namna ya kusali muda wa kuingia kanisani na kutoka havijaandikwa kwenye biblia ni kanuni na miongozo iliowekwa na wanadamu ili kuikamilisha takwa la ibada.

Ebu tumia akili kama kufuata biblia inavyosema mbona wwnawake zenu wanaingia kanisani hawajafunika nywele mana biblia inataka wafunike wawapo kwenye ibada.
Biblia haiitaji sheria tenaa
Mungu alisema neno lake limekamilika usiongeze wala usipunguze kitu
Hakosei akisema kitu ni hvyo
Lakini papa anabadili vifungu vya biblia akisema amepewa mamlaka yakubadili nakuifanya biblia iendane na wakati
Aibu.
 
Huwa na shangaa sana,
Katoliki lilipachika vitabu vyake vingine sita kwenye biblia ambavyo vinaruhusu ruhusu upagani.
Lakini wateule wa mungu walivishtukia mapema
Kanisa halijatunza biblia
Mungu mwenyewe aliitunza mpaka wakati huu.
Na yeye alitumia ata mikono ya waovu ilimradi kuifikisha wakat huu
 
mtu wa dini ya kweli hawezi kuwa na dhehebu .....Mkristo wa kweli awezi kuwa na dhehebu
Madhehebu ni upotevu na ujinga kabisa...Ukiona tu anashabikia dhehebu basi tambua hana elimu .
Dhana ya madhehebu haiwezi kukwepeka hata kidogo kwenye suala la dini au imani, kwa sababu ya uwepo wa mbegu ovu aliyoipanda Ibilisi.

Ni kama tu ambavyo dini na mfumo wa dini haviwezi kukwepeka. Huwezi kuacha jina zuri, kisa tu linatumiwa na mtu mwingine (mathalani aliye mbaya).

Kwa mfano, Ukatoliki unaamini ubatizo wa kunyunyiza maji, wakati Ukristu wa kweli unafundisha kuhusu ubatizo wa kuzamisha majini kabisa.

Tayari mpaka hapo ni madhehebu mawili kwenye kundi linalodai linafuata dini moja ya Ukristu.
Ukristo wa kweli ni kinyume na mambo ya madhehebu.
Thibitisha. Nangoja jibu.

Yohana Mbatizaji alikuwa mfuasi wa dini ya Kiyahudi, dhehebu lake lilikuwa Mnazorayo.

Huyu ndiye alimbatiza Kristu, na wala Kristu hakuukemea Unazorayo wake maadamu hakupingana na dini ya Kiyahudi (ambayo ndiyo msingi wa Ukristu).
 
Dhana ya madhehebu haiwezi kukwepeka hata kidogo kwenye suala la dini au imani, kwa sababu ya uwepo wa mbegu ovu aliyoipanda Ibilisi.

Kwa mfano, Ukatoliki unaamini ubatizo wa kunyunyiza maji, wakati Ukristu wa kweli unafundisha kuhusu ubatizo wa kuzamisha majini kabisa.

Tayari mpaka hapo ni madhehebu mawili kwenye kundi linalodai linafuata dini moja ya Ukristu.

Thibitisha. Nangoja jibu.

Yohana Mbatizaji alikuwa mfuasi wa dini la Kiyahudi, dhehebu lake lilikuwa Mnazorayo.

Huyu ndiye alimbatiza Kristu, na wala Kristu hakuukemea Unazorayo wake maadamu hakupingana na dini ya Kiyahudi (ambayo ndiyo msingi wa Ukristu).
Kwani uwezi kumcha mungu wako bila ya kuwa na dhehebu tumia akili ....nitajie mtume au mtakatifu yoyote wa kweli aliye kwenye maandiko aliyekuwa na dhehebu au aliye anzisha dhehebu
 
Mkuu ni vyema na inapendeza kama dunia tukiwa na dini moja itapendeza sana kuliko huu upuuzi na takataka za dini zinznzoendlea duniani kwa sasa.
Biblia ilisema watakusanywa upya tena na mama yao
Mungu akitoa watu hawarudishi tena kwenye uchafu huo huo
Ni sawa alipowatoa misri awarudishe tena misri
Ama yesu alipojitoa kwenge madheheb yao alafu ayarufie tena

Mungu hajahama habadili msimamo wake
Wala hakui akil useme alikosea zaman
Akisema ni hvyo mpaka sasa hakosei

Ni sisi binadam tunajitoa kwenye mpango wake

Na kama makanisa yapo kwenhe mistari basi mungu asingekuja kuhukumu ulimwengu kusingekuwa na haja

Biblia inasema ni njia nyembamba sana na wanaoiona ni wachache mno
Wengi wanaifata ile njia kubwa ya watu wengi ambayo ni ya upotovu
 
Dhana ya madhehebu haiwezi kukwepeka hata kidogo kwenye suala la dini au imani, kwa sababu ya uwepo wa mbegu ovu aliyoipanda Ibilisi.

Kwa mfano, Ukatoliki unaamini ubatizo wa kunyunyiza maji, wakati Ukristu wa kweli unafundisha kuhusu ubatizo wa kuzamisha majini kabisa.

Tayari mpaka hapo ni madhehebu mawili kwenye kundi linalodai linafuata dini moja ya Ukristu.

Thibitisha. Nangoja jibu.

Yohana Mbatizaji alikuwa mfuasi wa dini ya Kiyahudi, dhehebu lake lilikuwa Mnazorayo.

Huyu ndiye alimbatiza Kristu, na wala Kristu hakuukemea Unazorayo wake maadamu hakupingana na dini ya Kiyahudi (ambayo ndiyo msingi wa Ukristu).
Yohana hakuwa na dhehebu
Na hakuwa na kanisa
Alikuwa anahubiri nakuwapinga viongozi wa dini na madhehebu
Hajawah kuibgia kwenye makanisa yao
Alihubiri mitaani na mtoni
Hakuwa anaeleweka ata mavazi
Hakuwa na hadhi ya madhehebu yao
Ila mungu ndue aliemchagua na akamtumia
 
Mkuu kumbuka rumi ya ukatoliki ilikua ni dola sasa unasimamishaje dola bila kuwa na sheria na kanuni na miongozo,ambapo kwenye biblia haipo lazima ingetungwa ili kuendana na wakati pia kuilinda dola.

Hata safari ya wana waisrael zilitungwa sheria nyingi sana wengi mnaziita za musa ili kuhakikisha wanastick kwenye plan ya kufika kaanani,kwanini iwe kosa kwa kanisa kufanya hivyo ukizingatia ilikua ni dola chini ya kanisa. ?
Na kanuni zote alizitoa mungu sio mwanadamu
Tofauti na shirika la roman lilivyokaa chini na kuweka sheria za kipagani kwenhe ukristo
Na sio roman tuu na binti zake wameangukia kule kula
Kkkt anglikan na mengineo hayana tofaut tena na walichokipinga enzi izo
 
kuna watu akili zenu ni ndogo sana, mambo ya wakatoliki ukiwa na akaili ndogo huwezi kuyaelewa, baki huko kwenye kuuziwa bidhaa za upako
Ndo mana wanauziwa maji yaliyonunuliwa sh 250 kwa sh 2000 eti wakawe matajiri.yaani maji nusu Lita unauziwa 2000 bado unamjadili mkatoliki?siku nyingine mkitaka kutujadili mtuletee bajeti ili mtujadili huku mnapiga vyuku sio mnatujadili huku mnapiga miayo.
 
Mkuu ungechukua muda ukajifunza falsafa za RC usingeandika hiki ulichokiandika

1. Kanisa haliamini kuwa biblia ndo muongozo pekee wa kusimamia hilo kanisa, wana vyanzo vingine vya mambo mambo yao

2. Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani

3. Kanisa linaweza kufuta amri yoyote unayoijua kwenye biblia wakaweka ya kwao. mfano walifuta ile inayokataza kuchonga sanamu na wakagawanya ile ya kutamani ikawa mbili ili mradi kuzuga kuwa ni kumi
2. Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani.... Unaelewa ulichokiandika??.... Acha kudanganya watu.....
 
Siyo hivyo tu ...ukimwona mtu yoyote awe wa dini yoyote ukamuuliza yeye ni dhehebu gani akakutajia dhehebu lake basi ujue huyo ni mpumbavu kama wapumbavu wote ....maana mtu wa dini ya kweli hawezi kuwa na dhehebu .....mkristo wa kweli awezi kuwa na dhehebu kwa sababu ukristo wa kweli ni kinyume na mambo ya madhehebu ...na muislamu wa kweli awezi kuwa na dhebebu kwa sababu uislamu wa kweli ni kinyume na madhehebu .....Yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mpentekosti nk ..Muhamadi siyo msuni wala mshia wala musarni ..nk
Safi kabisa
Mungu hana dhehebu
Na wala hataihukumu dunia kwa vitabu vya roman ama kkkt ama wasabato
Ila atawahukumu kupitia biblia
Ubaya ayo madhehebj yanapingana na biblia yenyewe wanayodai wanaiamini
 
Exactly! Ni mpango wa ibilisi kuvuruga ukristo
Yesu alisema ibilisi anapanda magugu kwa siri
Alipanda zamani sana
Kanisa lilianza siku ya pentekoste
Ila dhehebu la kwanza lilianza rumi miaka 300 baadae

Kwa sasa ndio mavuno lazima ukweli uonekane wazi na rangi zao
Romanj haifichi tena kama zaman uasi wake
Ipo wazi mnoo

Sijui kwanini mtu anatetea ushetani

Hata malaika akiwahubiria na vifungo vya biblia wanayoibeba kila siku kanisan watapinga.
Na watamuua kabisa
 
Basi itakuwa ama hujui maana ya kuamini au hujui kinachozungumziwa.

Halafu, siyo tu kwamba wanamwabudu; papa ni mmoja tu kati ya miungu wao wasio na idadi.

Ndiyo maana wanawaabudu hata wafu, akiwemo ^Bikira^ Maria.
Bro nashangaa wanamuita mpaka leo bikira na wakati alipozaa tu bikira yake iliishia apo
Yeye sio bikra tena
Ni mtakatifi wa mungu.
Ila wao ni mungu mama
 
Wakatoliki wakishaimba salamu maria imetosha. Hamna hata kusoma neno la Mungu.
Maigizo mengi na kukariri rozali tu
Hawasomi kabisaaa
Wanasubiri padri awasomee mstari mmoja
Watoe sadaka waende zao
Ni wavibu mnooo sijapata kuona
Wanataka mpaka zambi zao padri awaombee wasemehewe
Wakaona haitoshi
Wanamuomba maria amshawishi mwanae awasamehe dhambi zao

Yani ni upagani
Yesu alikufa na pazia likapasuka la hekalu iliiweje
Ili mtu aingie madhahahuni na aombe kwa mungu yeye mwenyew na sio kuhani awapelekee maombi yao

Ila ni wavivu mnoo
 
Ni ngumu sana kuwa na dini moja katika ulimwengu ambao, wale wanaodai eti walipewa ufunguo wa kanisa la Petro, wanaabudu sanamu na kufuata mapokeo kinyume na mafundisho ya Kristu.

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116]
Wanasema petro ni padri wa kwanza
Petro alikufa kabla ya kanisa katoliki kuanzishwa


Petro hajawahi kuwa padri wala kuwa mroman
Wala dhehebu lolote
 
Wewe mjinga ndiyo upo kwenye usingizi wa mauti,takataka,unajua Maana ya kuabudu sanamu? Au unaropokwa kisa mchungaji wako kasema
Lugha yako ya matusi ni matokeo na uthibitisho wa sanamu unazoabudu. Ibada ya sanamu imeufanya moyo wako uwe mkavuuu na mtupuu.

Maana miungu na sanamu havikupi uhai wa roho, bali vinakufanya uwe mtumwa wa Shetani, na kuipoteza roho yako.

Ni ushahidi gani tunaohitaji zaidi ya huu kuhusu ubaya na hatari ya kuabudu sanamu?

Achana na sanamu ili Roho Mtakatifu akupe moyo wenye kauli njema ya Ukristo.
 
2. Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani.... Unaelewa ulichokiandika??.... Acha kudanganya watu.....
Hajadanganywa watu
Katafute jina la papa ambalo lilikuwa limeandikwa kwenye kofia yake ya dhahabu utalijua VICARIUS filli DEI
Tafuta maana yake ilo jina

Mbadala/muwakilishe wa mwana wa mungu duniani.
Unabisha
 
Wanasema petro ni padri wa kwanza
Petro alikufa kabla ya kanisa katoliki kuanzishwa


Petro hajawahi kuwa padri wala kuwa mroman
Wala dhehebu lolote
Wakatoliki ni waongo kwenye hiyo hoja ukristo wa kweli hauna dhehebu
 
Bro nashangaa wanamuita mpaka leo bikira na wakati alipozaa tu bikira yake iliishia apo
Yeye sio bikra tena
Ni mtakatifi wa mungu.
Ila wao ni mungu mama
Wewe ni Mkristo au Mwislamu. Kasome Q'uran juu ya hoja yako.
 
Back
Top Bottom