Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Waumini wa Katoliki wao ndio waamke waache kuamini dhehebu, wamuamini Mungu aliye hai...

Waache kufia Dini
Siyo hivyo tu ...ukimwona mtu yoyote awe wa dini yoyote ukamuuliza yeye ni dhehebu gani akakutajia dhehebu lake basi ujue huyo ni mpumbavu kama wapumbavu wote ....maana mtu wa dini ya kweli hawezi kuwa na dhehebu .....mkristo wa kweli awezi kuwa na dhehebu kwa sababu ukristo wa kweli ni kinyume na mambo ya madhehebu ...na muislamu wa kweli awezi kuwa na dhebebu kwa sababu uislamu wa kweli ni kinyume na madhehebu .....Yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mpentekosti nk ..Muhamadi siyo msuni wala mshia wala musarni ..nk
 
Ukatoliki unaelekea kufa, ni rahisi kwa mkatoliki kwenda kusali kwa walokole, lakini ningumu sana kwa mlokole kwenda kwenye ibada za wakatoliki, why? Kwa sababu ya masanamu yalipo kwa wakatoliki, sala za wakatoliki zimepoooza sana wakti sala za walokole ni za moto! sala za wakatoliki ni za kukariri na zina boa, wakati sala za kilokole zimechangamka{wana rap kama eminem], mkatoliki akifa kama alikuwa haendi jumuia hazikwi tofauti na walaokole! Walokole wanamtumia sana roho mtakatifu tofauti na wakatoliki
Wote ni wahuni tu yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mlokole
 
Wakolosai 2:12
[12]Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu.
Umeitoa wapi kuzamishwa Sasa? Mbona unaandika tofauti na ulichoulizwa?
 
kuna watu akili zenu ni ndogo sana, mambo ya wakatoliki ukiwa na akaili ndogo huwezi kuyaelewa, baki huko kwenye kuuziwa bidhaa za upako
Unaweza kulitetea hili kanisa kubariki viboga viliwe?
 
mmeacha kuhubiri injili mnafanya kazi ya kuupinga ukatoliki.
Unajua hata maana ya injili wewe? Kupinga mapokeo yenu na ibada zenu za sanamu ni sehemu ya injili. Wake up!

Kanisa katoliki lipo, lilikuwepo na litakuwepo milele, mpaka Yesu atakaporudi
Hakuna mtu ambaye amesema litafutika. Hata Shetani mwenyewe yupo sana tu hadi wakati wa Kiyama. Weka hoja nzuri. Kudumu kwa taasisi haina maana kwamba inafuata ukweli.

TUACHENI WAKATOLIKI TUABUDU SANAMU ZETU, Nyingi siyo Mungu hamuwezi kutuhukumu.
Hakuna mtu anayekuhukumu, isipokuwa unajihukumu wewe mwenyewe. Maana umesema uachwe uabudu sanamu. Amka kwenye usingizi wa mauti wewe!
 
Mathayo 12:46-48
[46]
Alipokuwa katika kusema na makutano, tazama, mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje, wataka kusema naye.

[47]Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe.

[48]Akajibu, akamwambia yule aliyempasha habari, Mama yangu ni nani? Na ndugu zangu ni akina nani?

Zipo sehem tatu
Msalabani pia alimuita ewe mwanamke umumtunze mwanao(yohana)
Kwa hiyo hapa unamaanisha Yesu Alimkataa Maria kuwa siyo mama yake?
 
Unajua hata maana ya injili wewe? Kupinga mapokeo yenu na ibada zenu za sanamu ni sehemu ya injili. Wake up!


Hakuna mtu ambaye amesema litafutika. Hata Shetani mwenyewe yupo sana tu hadi wakati wa Kiyama. Weka hoja nzuri. Kudumu kwa taasisi haina maana kwamba inafuata ukweli.


Hakuna mtu anayekuhukumu, isipokuwa unajihukumu wewe mwenyewe. Maana umesema uachwe uabudu sanamu. Amka kwenye usingizi wa mauti wewe!
Wewe mjinga ndiyo upo kwenye usingizi wa mauti,takataka,unajua Maana ya kuabudu sanamu? Au unaropokwa kisa mchungaji wako kasema
 
Unaweza kulitetea hili kanisa kubariki viboga viliwe?
Ni lini na wapi kanisa limebariki huo upumbavu unaousema?
Maovu mengine mnayofanya ni nani amebariki?
Kwenu dhambi zipo ngapi?
 
Sijanukuu habari hii toka mtandaoni bali kwenye vyombo rasmi vya habari vilivyokuwa vikimwuliza maswali papa Francis!!
Mkuu weka link ya hii habari ili Kila mtu ajipakulie kwa muda wake, hamna haja ya kutanua mapafu kwa kubishana ilhali ushahidi upo mezani
 
Biblia inasema Mungu ni yeye yule jana na leo na hata milele, yaani Mungu habadiliki wala habadilishi misimamo yake. Mwaka juzi papa alipoulizwa kama kanisa Katoliki linaweza kubariki ndoa ya jinsia moja, alijibu haiwezekani KWA SABABU MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI:

ROME (AP) — The Vatican declared Monday that the Catholic Church won’t bless same-sex unions since God “cannot bless sin.”

The Vatican’s orthodoxy office, the Congregation for the Doctrine of the Faith, issued a formal response to a question about whether Catholic clergy have the authority to bless gay unions. The answer, contained in a two-page explanation published in seven languages and approved by Pope Francis, was “negative.”

Lakini mwaka huu alipoulizwa swali lile lile papa amesema ndoa za jinsia moja zinaweza kubarikiwa, na watu hao wanaruhusiwa kuwa baba na mama wa ubatizo!:

Catholic Church relaxes rules for transgenders​

Pope Francis recently suggested priests could bless same-sex unions on an individual basis.
The Vatican’s doctrinal office has clarified its stance on transgender believers, saying they may get baptized and play various roles within the Catholic faith so long as it does not risk “public scandal.”

In a letter responding to questions posed by a Brazilian bishop, the church’s Dicastery for the Doctrine of the Faith outlined its position toward transgender and other LGBT worshipers, affirming that they may receive the sacrament of baptism, serve as witnesses in wedding ceremonies and act as godparents to Catholic children.

Je, Mungu kabadili msimamo kuhusu dhambi ya ushoga maana papa alisema awali kuwa MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI, au kanisa katoliki chini ya papa Fransis limepata mungu mwingine wa kichina ambaye yeye kwake kubariki dhambi ya ushoga siyo tatizo?

Kwa maoni yangu binafsi, kwa kuwa ninaamini kuwa Mungu hawezi kubadilika kwa mujibu wa Biblia (Ebr 13:8), basi italkuwa kanisa katoliki limeachana na Mungu wa Biblia na limejipatia mungu wa kichina anayekwenda na wakati hasa akizingatia haki za kidemokrasia kam,a zinavyosimamiwa na mataifa ya magharibi hasa Marekani (Democratic). Wadau mnasemaje? karibuni tudadavue!!
Kosa lako kubwa ni kumfikiria papa kuwa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INASIKITISHA SANA KUONA WAKRISTU WENZETU WAKITUCHUKIA KWA KIASI KIKUBWA NA NAMNA HII
Kuambiwa ukweli siyo kuchukiwa, bali kupendwa. Mtu mnafiki ndiye atakwambia kile unachotamani kusikia tu.

Ukatoliki uko mbali sana na Ukristo. Na kwa kweli unapingana kabisa na imani ya Kristu na mitume. Sasa hilo ni kanisa la Mungu kweli?

Ukatoliki ni taasisi inayojificha kwenye vazi la dini na Ukristo.

Wakatoliki wanajua wanachoambiwa na Wakristu ni ukweli 100% na wao wako kinyume na Yesu, ndiyo sababu wanapaniki na kujaa jazba kirahisi.
 
Hapo hawatoi waraka wa kuwaonya waumini ..mradi Mungu wao wa Vatican keshasema...ndo hivyo
 
Mungu hayupo.

Ukishaona Mungu ana badilishwa badilishwa mafundisho yake na maagizo yake fahamu kwamba Mungu ni kiumbe Created na wanadamu.

Human beings created God through assumptions Based on things beyond their imaginations.
 
Tatizo wajinga wengi wanashabikia madhehebu kama timu, hata kanisa liboronge wao wamo tu kisa lina jina kubwa wanajiona mabingwa wa kidini wa wakati wote, kimsingi hawajui lengo la kusali ni kuokoa nafsi yako mwenyewe si kukuza uchawa wa kidini.
Hivi aga mnalipwa kuvumilia/kushabikia ujinga au mnalogwa kwanza?
 
Back
Top Bottom