jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Oyo Yesu mnaedai kumuamini akija leo
Watu wa kwanza watakao mshtaki na kutaka kumuua ni kanisa katoliki
Biblia inasema yeye ni kahaba na amezaa binti wakufanana nae
Ndomana ata ayo makanisa yaliyojitoa kwa roman yanarudi tena kwa mama yao
Na kama ulkuwa hujui wanamejiandaa kuunda dini moja
Video zipo kibao viongozi wa madhehe mengine wakimbusu papa na mpaka waislam viongozi wao walienda kwenye mkutano huo
Sawasawa kabisa na biblia ilivyosema itakuwa
Na huo muunganiko wa ayo makanisa na huyo mnyama ndio ile alama ya mnyama ambayo ipo kwenye kofia ya papa hesab za kibinadam 666.
Sikuizi hawaivai baada yakuona aibu.
Utabisha kwa sababu padri wako hajakuambia ayoo. Ila jua wanajua ukwel na hawatakuambia
Mkuu ni vyema na inapendeza kama dunia tukiwa na dini moja itapendeza sana kuliko huu upuuzi na takataka za dini zinznzoendlea duniani kwa sasa.