Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Kwa hiyo, wewe ukiona Mungu wa Wakatoliki amebadilika na Wakatoliki wanakuwa wanaona amebadilika? Zamani tulikuwa tukitumia vibatari, baadaye taa za mafuta ya taa na baadaye tochi za netri. Whochi serves the purpose? Wakatoliki hubatiza watu wanaoamini na kiishi maisha ya injili (ya ujumbe ulioletwa na Bwana Yesu). Mtu yeyote anayeliaminisha kanisa kuwa anatenda na kuishi hivyo, yuko entitled kubatizwa.
 
Bro nashangaa wanamuita mpaka leo bikira na wakati alipozaa tu bikira yake iliishia apo
Yeye sio bikra tena
Ni mtakatifi wa mungu.
Ila wao ni mungu mama
Nachosikitika zaidi ni pale ambapo wamemgeuza awe mungu wao wa kumwabudu, wakati Yesu hakufanya hivyo.

^Mtu mmoja akamwambia, Tazama, mama Yako na ndugu Zako wamesimama nje, wanataka kusema nawe.^

Akajibu: Mama Yangu ni nani? Ni yule atakayefanya mapenzi ya Baba Yangu aliye Mbinguni. Mathayo 12:47-50.
 
Sijanukuu habari hii toka mtandaoni bali kwenye vyombo rasmi vya habari vilivyokuwa vikimwuliza maswali papa Francis!!
Mzee vyombo vya hbr huwa vinazusha Mambo,na kwa bahati mbaya hujui kuwa Kanisa Katoliki linawindwa sana,Wabaya wa Kanisa Katoliki hutumia mbinu mbalimbali kulichafua.Ndio Maana Sisi Wakatoliki hatupapaliki,tunajua Ukweli wa Mambo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Tatizo sio Kanisa Katoliki,tatizo ni wewe mwenyewe.Ishu ya kuchangamka Kanisani nani alikukataza wewe kuchangamka?,Ishu ya Kutoa mapepo,Umeongopa(Umesema Uongo),Si Kweli Kwamba hadi kibali cha Papa,ni utaratibu uliopo kuwa ni Muhimu Askofu wa Jimbo kufahamu Padre mwenye karama hiyo;Suala la Fr.Nkwera wewe hulijui,Ukiwa na Karama halafu umejaa Kiburi na majivuno wewe hutufai.Kuhusu ujuzi wa Maandiko Matakatifu,naona wewe Ulikuwa mvivu wa kusoma Biblia hivyo usililaumu Kanisa Katoliki,Kanisa Katoliki limekuwa likiwahimiza Waumini wake kununua Biblia na kuzisoma ktk Familia zao,Jumuiya ndogondogo na ktk Semina na Mafungo mbalimbali Kanisani.Mwisho,wewe kufunga ndoa Katoliki haina Maana kuwa wewe ni MKATOLIKI,inawezekana ulikuja tu kufunga ndoa.Hiyo ni lugha tu ambayo wengi huitumia wanapotaka kulichafua Kanisa Katoliki.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Amina

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mungu hayupo, hizo ni siasa za watu tu.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Na kama kuna mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
 
Mijitu km hii ndio inasababisha mvua zisinyeshe,sasa unapingana na Maandiko?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Dini ya kiyahudi ndiyo dini gani hiyo.....inaelekea ujui tofauti ya madhehebu na dini ?
 
maandiko yapi mkuu, si uweke hapa tusome tujifunze tubadili msimamo
Injili ya Mathayo 16:18 inasemaje na wewe unasemaje?.


Mathayo 16
18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.


Halafu mpuuzi na fala mmoja anasema eti Petro sio Mwamba?,Kwa hiyo unampinga Yesu?.Je,tuache kuyaamini Maandiko Matakatifu,tukuamini wewe?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni kichaa,period
 
Zambi ni zote na kazi ya kanisa ni kuendelea kukemea dhambi sio kuzibariki
Kanisa gani limebariki dhambi,Yesu alivyompokea yule kahaba na kula naye,alibariki ukahaba?
Acheni kuropoka nyie vilokole uchwara
 
Vyanzo vipi hivyo?
 
Kanisa Katoliki haliabudu Sanamu bali linaabudu katika kweli, lakini kwa vile unachukulia vitu juu juu huwezi kuelewa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…