Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Mkuu ungechukua muda ukajifunza falsafa za RC usingeandika hiki ulichokiandika
1.Kanisa haliamini kuwa biblia ndo muongozo pekee wa kusimamia hilo kanisa, wana vyanzo vingine vya mambo mambo yao
2.Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadfamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani
3.kanisa linaweza kufuta amri yoyote unayoijua kwenye biblia wakaweka ya kwao. mfano walifuta ile inayokataza kuchonga sanamu na wakagawanya ile ya kutamani ikawa mbili ili mradi kuzuga kuwa ni kumi
Huo uongo unaouweka hapa,fahamu fika kuwa utakuja kuulizwa siku ya mwisho.Ni bora kufyata mkia kuliko kueneza uongo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ungechukua muda ukajifunza falsafa za RC usingeandika hiki ulichokiandika
1.Kanisa haliamini kuwa biblia ndo muongozo pekee wa kusimamia hilo kanisa, wana vyanzo vingine vya mambo mambo yao
2.Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadfamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani
3.kanisa linaweza kufuta amri yoyote unayoijua kwenye biblia wakaweka ya kwao. mfano walifuta ile inayokataza kuchonga sanamu na wakagawanya ile ya kutamani ikawa mbili ili mradi kuzuga kuwa ni kumi
Eti pope ni mungu mjinga sana ww
 
Biblia inasema Mungu ni yeye yule jana na leo na hata milele, yaani Mungu habadiliki wal;a habadilishi misimamo yake. Mwaka juzi papa alipoulizwa kama kanisa Katoliki linaweza kubariki ndoa ya jinsia moja, alijibu haiwezekani KWA SABABU MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI:

ROME (AP) — The Vatican declared Monday that the Catholic Church won’t bless same-sex unions since God “cannot bless sin.”

The Vatican’s orthodoxy office, the Congregation for the Doctrine of the Faith, issued a formal response to a question about whether Catholic clergy have the authority to bless gay unions. The answer, contained in a two-page explanation published in seven languages and approved by Pope Francis, was “negative.”

Lakini mwaka huu alipoulizwa swali lile lile papa amesema ndoa za jinsia moja zinaweza kubarikiwa, na watu hao wanaruhusiwa kuwa baba na mama wa ubatizo!:

Catholic Church relaxes rules for transgenders​

Pope Francis recently suggested priests could bless same-sex unions on an individual basis.
The Vatican’s doctrinal office has clarified its stance on transgender believers, saying they may get baptized and play various roles within the Catholic faith so long as it does not risk “public scandal.”

In a letter responding to questions posed by a Brazilian bishop, the church’s Dicastery for the Doctrine of the Faith outlined its position toward transgender and other LGBT worshipers, affirming that they may receive the sacrament of baptism, serve as witnesses in wedding ceremonies and act as godparents to Catholic children.

Je, Mungu kabadili msimamo kuhusu dhambi ya ushoga maana papa alisema awali kuwa MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI, au kanisa katoliki chini ya papa Fransis limepata mungu mwingine wa kichina ambaye yeye kwake kubariki dhambi ya ushoga siyo tatizo?

Kwa maoni yangu binafsi, kwa kuwa ninaamini kuwa Mungu hawezi kubadilika kwa mujibu wa Biblia (Ebr 13:8), basi italkuwa kanisa katoliki limeachana na Mungu wa Biblia na limejipatia mungu wa kichina anayekwenda na wakati hasa akizingatia haki za kidemokrasia kam,a zinavyosimamiwa na mataifa ya magharibi hasa Marekani (Democratic). Wadau mnasemaje? karibuni tudadavue!!
Mungu habadiliki
 
Ingekuwa ni akili kubwa kweli kama usemavyo, isingeshindwa kufafanua ili ieleweke kwa wale wanaodhaniwa ni akili ndogo.

Hapo tayari inajulikana akili ndogo ni yupi.

Hebu, Mr Akili Kubwa, fafanua mantiki ya kumwombea mtu aliyekufa.
uko sahihi, mwanafalsafa na mwanafizikia Albert Eisntein alisema, km huwezi kuelezea jambo kwa kijana wa miaka 6 akalielewa basi jambo hilo wewe mwenyewe hulielewi
 
Biblia inasema Mungu ni yeye yule jana na leo na hata milele, yaani Mungu habadiliki wal;a habadilishi misimamo yake. Mwaka juzi papa alipoulizwa kama kanisa Katoliki linaweza kubariki ndoa ya jinsia moja, alijibu haiwezekani KWA SABABU MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI:

ROME (AP) — The Vatican declared Monday that the Catholic Church won’t bless same-sex unions since God “cannot bless sin.”

The Vatican’s orthodoxy office, the Congregation for the Doctrine of the Faith, issued a formal response to a question about whether Catholic clergy have the authority to bless gay unions. The answer, contained in a two-page explanation published in seven languages and approved by Pope Francis, was “negative.”

Lakini mwaka huu alipoulizwa swali lile lile papa amesema ndoa za jinsia moja zinaweza kubarikiwa, na watu hao wanaruhusiwa kuwa baba na mama wa ubatizo!:

Catholic Church relaxes rules for transgenders​

Pope Francis recently suggested priests could bless same-sex unions on an individual basis.
The Vatican’s doctrinal office has clarified its stance on transgender believers, saying they may get baptized and play various roles within the Catholic faith so long as it does not risk “public scandal.”

In a letter responding to questions posed by a Brazilian bishop, the church’s Dicastery for the Doctrine of the Faith outlined its position toward transgender and other LGBT worshipers, affirming that they may receive the sacrament of baptism, serve as witnesses in wedding ceremonies and act as godparents to Catholic children.

Je, Mungu kabadili msimamo kuhusu dhambi ya ushoga maana papa alisema awali kuwa MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI, au kanisa katoliki chini ya papa Fransis limepata mungu mwingine wa kichina ambaye yeye kwake kubariki dhambi ya ushoga siyo tatizo?

Kwa maoni yangu binafsi, kwa kuwa ninaamini kuwa Mungu hawezi kubadilika kwa mujibu wa Biblia (Ebr 13:8), basi italkuwa kanisa katoliki limeachana na Mungu wa Biblia na limejipatia mungu wa kichina anayekwenda na wakati hasa akizingatia haki za kidemokrasia kam,a zinavyosimamiwa na mataifa ya magharibi hasa Marekani (Democratic). Wadau mnasemaje? karibuni tudadavue!!
Hawa wapagani wa Utaliano ndio walio pelekewa ukirito na paul baada ya paulo kwaua wafuasi wa yesu kwa kuwakata vichwa na kuwanyonga wapi biblia ilipo sema wanaume na wanawake wasioe wala kuolewa watashindwa kuhalalisha ushogo,walicho nacho hawa wapagani ni nguvu ya uchumi tu lakini dini hawana
 
Pole yako.Utakufa wewe na Kikanisa chako lkn sio Kanisa moja Takatifu Katoliki na la Mitume.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
mimi siongeli ushabiki kama simba na yanga!!! no,,mimi mwenyewe ni mkatoliki na nimefunga ndoa ya kanisani,,,lakini naongea ukweli,,,,ukiingia kanisani waumini wamepoa sana,,,hamna ata uwezo wa kutoa mapepo,,,padre kama una upako wa kutoa mapepo,haruhusiwi mpaka apate kibali toka kwa papa akilazimisha anafungiwa{kumbuka father nkwera na huduma yake pala river-side],,,ukienda kwenye sherehe zao wanakula pombe mpaka wanalewa!!!!,,,,,narudia tena mimi ni mkatoliki but remember"truth will make you free" na kuna mstari mmoja ndani ya bible unasema"wa2 wangu wanateketea kwa kukosa maarifa"...kama wewe ulivokosa maarifa,,,pia kuna mstari mwingine MUNGU anasema[sikumbuki ni wapi lakini ndani ya Biblia] MUNGU anawaambia viongozi wa dini"na nitapiga muhuri ndani ya miyoyo ya wa2 wangu,nao watanitambua mimi bila ya mafundisho yenu,nao wataacha kuja kwenye huduma zenu kwani mumezidi kupotosha wa2 wangu" na hata kwenye Q'ran tukufu pia kuna sura inaitwa AR-RUMI ikisema"romma must be defeated!!!!.....kwanza mkatoliki asipojiongeza kujisomea biblia anakuwa shallow sana,yaani anakuwa mwelewa mdogo sana wa neno la MUNGU kwani kuanzia tarehe moja ya mwaka mpya[january]mpka tarehe 31 ya mwezi december,,,,,,kuanzia jumatatu mpaka jumapili,wameshapangiwa masomo ya kusoma,they are not free thinker,,,,,,ndo manake siwezi kukushangaa kwa msimamo wako mkali kwani you know nothing ata all!!!
 
Mkuu ungechukua muda ukajifunza falsafa za RC usingeandika hiki ulichokiandika
1.Kanisa haliamini kuwa biblia ndo muongozo pekee wa kusimamia hilo kanisa, wana vyanzo vingine vya mambo mambo yao
2.Wanaamini pope ni mungu, yupo daraja la juu kuliko binadfamu, ni muakilishi wa Mungu hapa duniani
3.kanisa linaweza kufuta amri yoyote unayoijua kwenye biblia wakaweka ya kwao. mfano walifuta ile inayokataza kuchonga sanamu na wakagawanya ile ya kutamani ikawa mbili ili mradi kuzuga kuwa ni kumi
Kumbe Wana vyanzo vyengine ambavyo ni MAMBO YAO ??!
 
Back
Top Bottom