Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Mathayo 16:18
"Nami ninakuambia: Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda."

Kristu amejenga Kanisa Katoliki juu ya mwamba. Hakuna nguvu za kuzimu zinazoweza kulishinda.

Kamwe halitaruhusu dhambi ya ushoga wala kuruhusu manyanyaso ya mashoga na wadhambi wengine.

Mungu huchukia dhambi, si wadhambi.
 
Biblia inasema Mungu ni yeye yule jana na leo na hata milele, yaani Mungu habadiliki wal;a habadilishi misimamo yake. Mwaka juzi papa alipoulizwa kama kanisa Katoliki linaweza kubariki ndoa ya jinsia moja, alijibu haiwezekani KWA SABABU MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI:

ROME (AP) — The Vatican declared Monday that the Catholic Church won’t bless same-sex unions since God “cannot bless sin.”

The Vatican’s orthodoxy office, the Congregation for the Doctrine of the Faith, issued a formal response to a question about whether Catholic clergy have the authority to bless gay unions. The answer, contained in a two-page explanation published in seven languages and approved by Pope Francis, was “negative.”

Lakini mwaka huu alipoulizwa swali lile lile papa amesema ndoa za jinsia moja zinaweza kubarikiwa, na watu hao wanaruhusiwa kuwa baba na mama wa ubatizo!:

Catholic Church relaxes rules for transgenders​

Pope Francis recently suggested priests could bless same-sex unions on an individual basis.
The Vatican’s doctrinal office has clarified its stance on transgender believers, saying they may get baptized and play various roles within the Catholic faith so long as it does not risk “public scandal.”

In a letter responding to questions posed by a Brazilian bishop, the church’s Dicastery for the Doctrine of the Faith outlined its position toward transgender and other LGBT worshipers, affirming that they may receive the sacrament of baptism, serve as witnesses in wedding ceremonies and act as godparents to Catholic children.

Je, Mungu kabadili msimamo kuhusu dhambi ya ushoga maana papa alisema awali kuwa MUNGU HAWEZI KUBARIKI DHAMBI, au kanisa katoliki chini ya papa Fransis limepata mungu mwingine wa kichina ambaye yeye kwake kubariki dhambi ya ushoga siyo tatizo?

Kwa maoni yangu binafsi, kwa kuwa ninaamini kuwa Mungu hawezi kubadilika kwa mujibu wa Biblia (Ebr 13:8), basi italkuwa kanisa katoliki limeachana na Mungu wa Biblia na limejipatia mungu wa kichina anayekwenda na wakati hasa akizingatia haki za kidemokrasia kam,a zinavyosimamiwa na mataifa ya magharibi hasa Marekani (Democratic). Wadau mnasemaje? karibuni tudadavue!!

Pope hana uwezo wala mamlaka ya kubadili mafundisho ya kanisa. Kazi yake ni kusimamia mafundisho ambayo kanisa linayo kwa enzi na enzi.
Kama anataka ndoa ya jinsia moja, akaanzishe kanisa lake. Ndani ya ukatoliki ameshashindwa na hatakuja kuweza
 
Kitendo tu cha Kanisa Katoliki kujadili hivyo suala la ushoga, hilo tayari ni tatizo kubwa sana.

Ni kana kwamba tayari amesharuhusu, sema tu bado upepo mbaya wa uharibifu haujavuma vizuri kunako ili kuikokota mashua hadi ng'ambo kwenye sherehe za harusi hiyo ya kishetani.

Haya ndiyo matokeo ya mfumo unaodai kwamba wenyewe una mapokeo na mafundisho ya kanisa, na wala siyo Biblia pekee, na papa akiwa mungu wao asiyekosea, huku wafu wao wakiabudiwa kama miungu ya akiba.

Kristu alishawaonya hao kwamba kumwabudu kwao ni bure wala hakufai, kwa sababu wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.~ Mathayo 15:9.

Warumi 1
20 Tangu Mungu alipoumba ulimwengu, asili ya Mungu asiyeonekana kwa macho, yaani uwezo wake wa milele na Uungu wake, umedhihirika wazi wazi kutokana na vitu alivyoviumba. Kwa hiyo watu hawana kisingizio.

21 Ingawa walimjua Mungu, hawakumpa heshima na utukufu anaostahili wala kumshukuru. Badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao zilizopumbaa zikatiwa giza. 22 Huku wakijidai kuwa ni werevu, wakawa wajinga. 23 Wakauacha utukufu wa Mungu aishiye milele wakageukia sanamu zinazofanana na mwanadamu ambaye hufa, na ndege na wanyama na viumbe vitambaavyo.

24 Kwa hiyo, Mungu aliwaacha waendelee kufuata tamaa mbaya za mioyo yao na kutenda matendo ya unajisi nakufanyiana mambo ya aibu katika miili yao. 25 Hii ni kwa sababu walikataa ukweli kuhusu Mungu wakaamua kuamini uongo; wakaabudu na kutumikia kiumbe badala ya Muumba ahimidiwaye milele! Amina.
Nyie right mngelijua Kanisa Katoliki! Poleni sana kwa gamba mlionalo na upofu sugu.
 
Weka hoja wewe, matusi hayakusaidii kitu. Sana sana unaonekana kituko tu.
Huwezi kuelewa maana umekaza ubongo.
Kenge wewe,ulitaka tuamini uchuro unaouamini wewe?.
Hamuujui ukatoliki. Kaeni kimya kabisa.
Umepwaya sana, ewe mfuasi wa kadinali. Weka hoja mezani, acha janja janja.
Nyie right mngelijua Kanisa Katoliki! Poleni sana kwa gamba mlionalo na upofu sugu.
 
Kuna kitu hujielewi, hakuna Mwanadamu mkamilifu hapanduniani MTU anaweza kuongozwa na fikra au matakwa binafsi tatizo linakuja pale mtu anapoamini kiongozi wa dini Fulani hawezi kukosea. Yesu amewahi kusema haukuna mtu mwema matatizo Kama haya yanaweza kutokea lakini usihusishe kundi lote
 
ukatoliki unaelekea kufa,,,ni rahisi kwa mkatoliki kwenda kusali kwa walokole,,,lakini ningumu sana kwa mlokole kwenda kwenye ibada za wakatoliki,,,why????,kwa sababu ya masanamu yalipo kwa wakatoliki,,,sala za wakatoliki zimepoooza sana wakti sala za walokole ni za moto!!!,sala za wakatoliki ni za kukariri na zina boa,wakati sla za kilokole zimechangamka{wana rap kama eminem],,,,,mkatoliki akifa kama alikuwa haendi jumuia hazikwi tofauti na walaokole!!!!walokole wanam2mia sana roho mtakatifu tofauti na wakatoliki
Na Bado mpaka msemeeee......katoliki inawatesa sana
 
Hawa wapagani wa Utaliano ndio walio pelekewa ukirito na paul baada ya paulo kwaua wafuasi wa yesu kwa kuwakata vichwa na kuwanyonga wapi biblia ilipo sema wanaume na wanawake wasioe wala kuolewa watashindwa kuhalalisha ushogo,walicho nacho hawa wapagani ni nguvu ya uchumi tu lakini dini hawana
100% umemaliza kila kitu.
 
Weka hoja wewe, matusi hayakusaidii kitu. Sana sana unaonekana kituko tu.

Umepwaya sana, ewe mfuasi wa kadinali. Weka hoja mezani, acha janja janja.
Una hakika kanisa katoliki limeruhusu hizo ndoa?🤣🤣🤣🤣🤣
Tupunguze Pilau...tuanze kunywa na maziwa
 
Mathayo 16:18
"Nami ninakuambia: Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, wala milango ya kuzimu haitalishinda."

Kristu amejenga Kanisa Katoliki juu ya mwamba. Hakuna nguvu za kuzimu zinazoweza kulishinda.

Kamwe halitaruhusu dhambi ya ushoga wala kuruhusu manyanyaso ya mashoga na wadhambi wengine.

Mungu huchukia dhambi, si wadhambi.
Binadamu hawezi kuwa Mwamba, hicho kipengele ndo mnapopigiwa
Yesu ndo mwamba na siyo Petro.
Kanisa Katoliki la Roma linabishana kuwa Petro ni mwamba ambao Yesu alitaja na kisha linatumia ufafanuzi huo kama ushahidi kuwa ni kanisa moja la kweli. Lakini, kama tulivyoona, Petro kuwa mwamba siyo tafsiri pekee ya halali. Hata kama Petro ni mwamba katika Mathayo 16:18, haiwezi kumpa Kanisa Katoliki la Roma mamlaka yoyote. Hakuna mahali popote Maandiko yanasema Petro alikuwa Roma. Maandiko hayaelezei Petro kuwa na mamlaka juu ya mitume wengine au kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la kwanza. Petro hakuwa papa wa kwanza. Asili ya Kanisa la Katoliki si msingi katika mafundisho ya Petro au mtume mwingine yeyote.
 
Una hakika kanisa katoliki limeruhusu hizo ndoa?🤣🤣🤣🤣🤣
Tupunguze Pilau...tuanze kunywa na maziwa
Hakuna kitu kiovu ambacho Ukatoliki haukiruhusu. Hilo ni pango halisi la Ibilisi mwenyewe.

Usije kusema tena hujaambiwa. Jifunze kusikiliza shuhuda na hoja za Wakristu mbalimbali ambao zamani walikuwa Wakatoliki, usidhani wewe pekee ndiye umezaliwa humo.
 
sisi tuko bize na imani yetu, nyie mko bize kuhangaika na imani yetu.
sisi hatuhangaiki na nyie, hatuwatukani na kila iitwapo leo tunawaombea.
tumepigwa mishale mingi na kila siku tunazidi kuwa imara.
" Furaha ya uinjilishaji"
" Jumuia ndogo ndogo, Roho moja na mwili mmoja katika kristo"
 
Hakuna kitu kiovu ambacho Ukatoliki haukiruhusu. Hilo ni pango halisi la Ibilisi mwenyewe.

Usije kusema tena hujaambiwa. Jifunze kusikiliza shuhuda na hoja za Wakristu mbalimbali ambao zamani walikuwa Wakatoliki, usidhani wewe pekee ndiye umezaliwa humo.
mkikaa huko kwenye makanisa yenu ya mabati yenye kutu, spika kubwa kuliko idadi ya wanaosikiliza, kwenye viwanja vya 10*15 mnaishia kuokota ujinga kama huu
 
Akili ndogo ww unaebururw kuelekea USHOGANI?
Wakatolliki Wana nini zaidi ya kuwaf** watoto???
wewe jamaa unajua mchakato wa ndoa kwenye kanisa katoliki wewe, unazijua sheria katoliki za ndoa? au unakaa kwenye vikanisa vya kupiga makelele unaondoka na pepo la uzushi na ujinga
 
Ukatoliki ni upagani kwan hamjajuaga tuuu mpaka leo
Haonsio wakristo
Maskini waumini hawajui lolote, wanaingiza shimoni wakat wote
Kuna ibada za mapapa waliokufa, zinatisha na mengine mengi.
Mungu hajawah kuwa na kanisa katoliki hata siku moja
Na yesu alisema pale wanapozan wapo na mm, mm ndo sipo nao.
Kama maria na yusufu, walidhan wapo nae kumbe walimuacha hekaluni

Kimbia katoliki ukoa nafsi yako.
Kama mungu hayupo humo ww unafanya nn.
 
Binadamu hawezi kuwa Mwamba, hicho kipengele ndo mnapopigiwa
Yesu ndo mwamba na siyo Petro.
Kanisa Katoliki la Roma linabishana kuwa Petro ni mwamba ambao Yesu alitaja na kisha linatumia ufafanuzi huo kama ushahidi kuwa ni kanisa moja la kweli. Lakini, kama tulivyoona, Petro kuwa mwamba siyo tafsiri pekee ya halali. Hata kama Petro ni mwamba katika Mathayo 16:18, haiwezi kumpa Kanisa Katoliki la Roma mamlaka yoyote. Hakuna mahali popote Maandiko yanasema Petro alikuwa Roma. Maandiko hayaelezei Petro kuwa na mamlaka juu ya mitume wengine au kuwa kiongozi mkuu wa kanisa la kwanza. Petro hakuwa papa wa kwanza. Asili ya Kanisa la Katoliki si msingi katika mafundisho ya Petro au mtume mwingine yeyote.
Umesoma hicho kifungu?
 
Kitendo tu cha Kanisa Katoliki kujadili hivyo suala la ushoga, hilo tayari ni tatizo kubwa sana.

Ni kana kwamba tayari amesharuhusu, sema tu bado upepo mbaya wa uharibifu haujavuma vizuri kunako ili kuikokota mashua hadi ng'ambo kwenye sherehe za harusi hiyo ya kishetani.

Haya ndiyo matokeo ya mfumo unaodai kwamba wenyewe una mapokeo na mafundisho ya kanisa, na wala siyo Biblia pekee, na papa akiwa mungu wao asiyekosea, huku wafu wao wakiabudiwa kama miungu ya akiba.

Kristu alishawaonya hao kwamba kumwabudu kwao ni bure wala hakufai, kwa sababu wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.~ Mathayo 15:9.

Warumi 1
20 Tangu Mungu alipoumba ulimwengu, asili ya Mungu asiyeonekana kwa macho, yaani uwezo wake wa milele na Uungu wake, umedhihirika wazi wazi kutokana na vitu alivyoviumba. Kwa hiyo watu hawana kisingizio.

21 Ingawa walimjua Mungu, hawakumpa heshima na utukufu anaostahili wala kumshukuru. Badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao zilizopumbaa zikatiwa giza. 22 Huku wakijidai kuwa ni werevu, wakawa wajinga. 23 Wakauacha utukufu wa Mungu aishiye milele wakageukia sanamu zinazofanana na mwanadamu ambaye hufa, na ndege na wanyama na viumbe vitambaavyo.

24 Kwa hiyo, Mungu aliwaacha waendelee kufuata tamaa mbaya za mioyo yao na kutenda matendo ya unajisi nakufanyiana mambo ya aibu katika miili yao. 25 Hii ni kwa sababu walikataa ukweli kuhusu Mungu wakaamua kuamini uongo; wakaabudu na kutumikia kiumbe badala ya Muumba ahimidiwaye milele! Amina.
Asili ya Ukatoki ni upinga Kristo
 
Back
Top Bottom