Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Umenena wewe.Roman catholic ni pango la shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena wewe.Roman catholic ni pango la shetani
Watashindana lakini hawatashinda kanina Katoliki litabakia kuwa kubwa tu.Unauhakika mkuu,halafu pamoja na maneno yote mbona kanisa linakuwa kila siku na ndio kanisa lenye nguvu ulimwenguni?
Kanisa Katoliki haliwezi kufa hata siku moja.Ukatoliki unaelekea kufa, ni rahisi kwa mkatoliki kwenda kusali kwa walokole, lakini ningumu sana kwa mlokole kwenda kwenye ibada za wakatoliki, why? Kwa sababu ya masanamu yalipo kwa wakatoliki, sala za wakatoliki zimepoooza sana wakti sala za walokole ni za moto! sala za wakatoliki ni za kukariri na zina boa, wakati sala za kilokole zimechangamka{wana rap kama eminem], mkatoliki akifa kama alikuwa haendi jumuia hazikwi tofauti na walaokole! Walokole wanamtumia sana roho mtakatifu tofauti na wakatoliki
BIBLIA {torati}..inasema wazi usichonge sanamu na wala usiabudu sanamu,,,ndo manake ibrahim alivunja masanamu alokuwa akiabudu baba yakena nduguze!!Kanisa Katoliki haliabudu Sanamu bali linaabudu katika kweli, lakini kwa vile unachukulia vitu juu juu huwezi kuelewa hili.
Wewe una uhakika kuongezeka kwa kanisa ni ishara njema?Unauhakika mkuu,halafu pamoja na maneno yote mbona kanisa linakuwa kila siku na ndio kanisa lenye nguvu ulimwenguni?
Acha Ujinga mkuu 😂 😂 😂 Mungu yupo whether unaamini au huamini yupo tuMungu hayupo, hizo ni siasa za watu tu.
Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
Na kama kuna mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
It’s a matter of time ushoga na usagaji utaruhusiwa huko ukatoliki.
Wameshaanza kujadili na sasa hivi wameruhusu transgender kuwa baba wa ubatizo
Acha ngenga zako, weka hoja mezani kwamba hayupo.Mungu hayupo, hizo ni siasa za watu tu.
Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.
Na kama kuna mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
Mathayo 16 inayohusu mwamba, kanisa, ufunguo, na Petro Ukatoliki unaing'ang'ania 100% kwamba inahusu upapa na taasisi yao duniani.sasa unapingana na Maandiko?
RC- Wanafundishwa Unyenyekevu na Utii.Unasema uko bize na imani yako wala hauhangaiki na sie, hapo hapo unasema unafanya uinjilishaji.
Umejisoma kweli?
Toka huko kuzimu wewe mfuasi wa kadinali. Achana na masuala ya ushirikina wa Ukatoliki. Soma Biblia ili ukweli ukuweke huru.
Hakuna Mkristu wa kweli ambaye atakuacheni gizani mwangamie. Tutakufuateni kila siku hadi injili ya kweli ipenye kwenye mioyo iliyojaa makufuru ya kipagani.
Mafarisayo walijiona wako kwenye imani na dini sahihi, lakini Yesu akasema wamo gizani.
Ukatoliki ni kama kipofu anayemwongoza kipofu mwenzie, mwisho wote wawili watatumbukia shimoni.
Leta Ushahidi wa Kanisa Katoliki kupinga hivyo vifungu.Mathayo 16 inayohusu mwamba, kanisa, ufunguo, na Petro Ukatoliki unaing'ang'ania 100% kwamba inahusu upapa na taasisi yao duniani.
Vipi kuhusu Maandiko yanayosema wokovu haupatikani kwa mwingine yeyote isipokuwa Kristu pekee? Matendo 4:12.
Vipi kuhusu Kristu kuwa ndiye pekee Njia, Kweli, na Uzima?
Kwa nini basi inatokea Ukatoliki unaomba sala zake kwa wafu, akiwemo ^Bikra^ Maria?
Ni kwa msingi gani Ukatoliki unakubali Maandiko kama vile Mathayo 16:18, 19 wakati huohuo unatupilia mbali mavuvio mengine ya Maandiko kama vile Matendo 4:12?
Mkuu hapo umemaliza.RC- Wanafundishwa Unyenyekevu na Utii.
Zaidi wanafundishwa namna ya kumuomba Mungu katika mambo yao mbalimbali kupitia.
1. Sala
2. Kitubio
3.Maombi.
Dini/Dhehebu lolote lazima liwe na mifumo(System) inayoliendesha.
Katika system, RC wamekuwa bora zaidi na ndio maana inawaumini wengi duniani.
Mamambo mengi ya madhehebu ya Kikristo yameanzishwa na hao RC, eg Jumuiya ndogondogo.
Tafsiri za Biblia zimekuwa na mikanganyiko tofauti kutokana na mapokeo, Eg Matumizi ya Sanamu. Kama unakumbuka Sanamu la nyoka lilotumika kuwaokoa wana wa Israel, (Hii alama ya nyoka imebaki kuwa alama kuu ya matibabu, ndio mana vyuo vinavyofundisha Madaktari, katika nembo zao, lazima alama ya Nyoka iwepo).
Unaposema kuifahamu Biblia, na ukajiridhisha kuwa Wakatoliki hawafahamu, hii ni kujitekenya mwenyewe!; wao ndio kama waanzilishi wa Biblia hii unayosema ww unaifaham zaidi kuliko wao.
Kila mtu ashinde mechi zake, huku tukifahamu duniani tuko huru kufuata kile tunachoona kinafaa.
Hakuna anayelazimishwa kuwa Mkatoliki.
Judaism or Jewish religion is based on the sacred books known as the Hebrew Scriptures.Dini ya kiyahudi ndiyo dini gani hiyo.....inaelekea ujui tofauti ya madhehebu na dini ?
Kwahiyo sisi hapa tunaelezea dini au madhehebu ?Judaism or Jewish religion is based on the sacred books known as the Hebrew Scriptures.
It's a monotheistic religion of the Jews, tracing it's origin to Abraham and having its spiritual and ethical principles embodied chiefly in the Bible and the Talmud.
Soma hapo utaelewa maana ya dini ya Kiyahudi.
Kwa hiyo Petro ndiye Ukatoliki? Hebu acheni ulaghai wa mchana kwenye masuala ya wokovu!anasema eti Petro sio Mwamba?,Kwa hiyo unampinga Yesu?.Je,tuache kuyaamini Maandiko Matakatifu,tukuamini wewe?
Hakuna cha mtandaoni habari ndio hiyo, subirini muolewe tu.Acha kuamini mambo ya mtandaoni.Kanisa Katoliki linafanya kazi kwa nyaraka.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Hujathibitisha Mungu yupo.Acha Ujinga mkuu 😂 😂 😂 Mungu yupo whether unaamini au huamini yupo tu
Tupishe tujadili mambo yetu😀
Kuwepo kwako ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu au wewe ulijiumba?
mbona ukiona gari unaulizia mtengenezaji wake. why wewe ukose mtengenezaji wako. huyo aliyekutengeneza na kukupa uwezo wa kujikakamua hapa na kudai hakuna Mungu ndiye Mungu
Hebu fikiria kama Yesu leo angesema kwamba makabaha wanaweza kupokelewa kanisani na hata kuwa walezi wa kiroho!Yesu alivyompokea yule kahaba na kula naye, alibariki ukahaba?
Rudia kusoma nilichoandika, nimeweka mfano mmojawapo.Leta Ushahidi wa Kanisa Katoliki kupinga hivyo vifungu.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sijanukuu habari hii toka mtandaoni bali kwenye vyombo rasmi vya habari vilivyokuwa vikimwuliza maswali papa Francis!
" Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu" . Baada ya kusoma hapa ndo nimejua kuwa wewe ni msabato..Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu, yeye sikuzote anakuwa nakikundi kidogo pemben kinachomuamini
Atakama ni wa chache
Kipind cha nuhu alikuwa na wanne
Kipind cha ruth sodoma na gomora alikiwa na nane tuu
Kipind cha yesu vile vile
Usizan kanisa lako kusali watu mashuhuri basi mungu atakuwepo umo.
Ama kisa ni watu wengi.
Mara mtume na nabii.
Inabidi umuombe mungu akuonyeshe ukweli.
Usimuwekee mpaka
Mara mbona kanisa letu halisemi hvyo, padri wetu hajawah kutufundisha ayo
Luka 12:32
[32]Msiogope, enyi kundi dogo; kwa kuwa Baba yenu ameona vema kuwapa ule ufalme.
Mithali 14:12
[12]Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu,
Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
There is a way which seemeth right unto a man, but the end thereof are the ways of death.
.