Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Ukatoliki unaelekea kufa, ni rahisi kwa mkatoliki kwenda kusali kwa walokole, lakini ningumu sana kwa mlokole kwenda kwenye ibada za wakatoliki, why? Kwa sababu ya masanamu yalipo kwa wakatoliki, sala za wakatoliki zimepoooza sana wakti sala za walokole ni za moto! sala za wakatoliki ni za kukariri na zina boa, wakati sala za kilokole zimechangamka{wana rap kama eminem], mkatoliki akifa kama alikuwa haendi jumuia hazikwi tofauti na walaokole! Walokole wanamtumia sana roho mtakatifu tofauti na wakatoliki
Kanisa Katoliki haliwezi kufa hata siku moja.
 
Kanisa Katoliki haliabudu Sanamu bali linaabudu katika kweli, lakini kwa vile unachukulia vitu juu juu huwezi kuelewa hili.
BIBLIA {torati}..inasema wazi usichonge sanamu na wala usiabudu sanamu,,,ndo manake ibrahim alivunja masanamu alokuwa akiabudu baba yakena nduguze!!
 
Unauhakika mkuu,halafu pamoja na maneno yote mbona kanisa linakuwa kila siku na ndio kanisa lenye nguvu ulimwenguni?
Wewe una uhakika kuongezeka kwa kanisa ni ishara njema?

Njia ya uzima inaonekana na wachache, hivyo kukua kwa kanisa si ishara ya utakatifu wake

Nyie ndo mnasema sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Huo ni ulaghai

Mathayo 7:13-14​

“Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi. Lakini njia inayoongoza kwenye uhai ni nyembamba, na mlango wa kuingilia humo ni mwembamba; ni watu wachache tu wanaoweza kuigundua njia hiyo.
 
Mungu hayupo, hizo ni siasa za watu tu.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Na kama kuna mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
Acha Ujinga mkuu 😂 😂 😂 Mungu yupo whether unaamini au huamini yupo tu
Tupishe tujadili mambo yetu😀
Kuwepo kwako ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu au wewe ulijiumba?
mbona ukiona gari unaulizia mtengenezaji wake. why wewe ukose mtengenezaji wako. huyo aliyekutengeneza na kukupa uwezo wa kujikakamua hapa na kudai hakuna Mungu ndiye Mungu
 
It’s a matter of time ushoga na usagaji utaruhusiwa huko ukatoliki.
Wameshaanza kujadili na sasa hivi wameruhusu transgender kuwa baba wa ubatizo

This will sink down with whomever wants it. Unaifahamu story ya Cardinal McCarick wa US.

Haya mambo ya ushoga na kulala na watoto wameyafichwa sana. Muda unawaumbua. Latin America ndio kinara wa kutengeneza mapadri wenye hizo filosofia
 
Mungu hayupo, hizo ni siasa za watu tu.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Na kama kuna mtu anabisha, athibitishe Mungu yupo.
Acha ngenga zako, weka hoja mezani kwamba hayupo.

Umesahau kanuni zinazohusu pingamizi?

Ukipinga jambo, unaweka hoja mbadala. Siyo upinge halafu umtake mpinzani wako akupe hoja.

Acha kufilisika kimawazo kiasi hicho.
 
sasa unapingana na Maandiko?
Mathayo 16 inayohusu mwamba, kanisa, ufunguo, na Petro Ukatoliki unaing'ang'ania 100% kwamba inahusu upapa na taasisi yao duniani.

Vipi kuhusu Maandiko yanayosema wokovu haupatikani kwa mwingine yeyote isipokuwa Kristu pekee? Matendo 4:12.

Vipi kuhusu Kristu kuwa ndiye pekee Njia, Kweli, na Uzima?

Kwa nini basi inatokea Ukatoliki unaomba sala zake kwa wafu, akiwemo ^Bikra^ Maria?

Ni kwa msingi gani Ukatoliki unakubali Maandiko kama vile Mathayo 16:18, 19 wakati huohuo unatupilia mbali mavuvio mengine ya Maandiko kama vile Matendo 4:12?
 
Unasema uko bize na imani yako wala hauhangaiki na sie, hapo hapo unasema unafanya uinjilishaji.

Umejisoma kweli?

Toka huko kuzimu wewe mfuasi wa kadinali. Achana na masuala ya ushirikina wa Ukatoliki. Soma Biblia ili ukweli ukuweke huru.

Hakuna Mkristu wa kweli ambaye atakuacheni gizani mwangamie. Tutakufuateni kila siku hadi injili ya kweli ipenye kwenye mioyo iliyojaa makufuru ya kipagani.

Mafarisayo walijiona wako kwenye imani na dini sahihi, lakini Yesu akasema wamo gizani.

Ukatoliki ni kama kipofu anayemwongoza kipofu mwenzie, mwisho wote wawili watatumbukia shimoni.
RC- Wanafundishwa Unyenyekevu na Utii.
Zaidi wanafundishwa namna ya kumuomba Mungu katika mambo yao mbalimbali kupitia.
1. Sala
2. Kitubio
3.Maombi.

Dini/Dhehebu lolote lazima liwe na mifumo(System) inayoliendesha.

Katika system, RC wamekuwa bora zaidi na ndio maana inawaumini wengi duniani.

Mamambo mengi ya madhehebu ya Kikristo yameanzishwa na hao RC, eg Jumuiya ndogondogo.

Tafsiri za Biblia zimekuwa na mikanganyiko tofauti kutokana na mapokeo, Eg Matumizi ya Sanamu. Kama unakumbuka Sanamu la nyoka lilotumika kuwaokoa wana wa Israel, (Hii alama ya nyoka imebaki kuwa alama kuu ya matibabu, ndio mana vyuo vinavyofundisha Madaktari, katika nembo zao, lazima alama ya Nyoka iwepo).

Unaposema kuifahamu Biblia, na ukajiridhisha kuwa Wakatoliki hawafahamu, hii ni kujitekenya mwenyewe!; wao ndio kama waanzilishi wa Biblia hii unayosema ww unaifaham zaidi kuliko wao.

Kila mtu ashinde mechi zake, huku tukifahamu duniani tuko huru kufuata kile tunachoona kinafaa.

Hakuna anayelazimishwa kuwa Mkatoliki.
 
Mathayo 16 inayohusu mwamba, kanisa, ufunguo, na Petro Ukatoliki unaing'ang'ania 100% kwamba inahusu upapa na taasisi yao duniani.

Vipi kuhusu Maandiko yanayosema wokovu haupatikani kwa mwingine yeyote isipokuwa Kristu pekee? Matendo 4:12.

Vipi kuhusu Kristu kuwa ndiye pekee Njia, Kweli, na Uzima?

Kwa nini basi inatokea Ukatoliki unaomba sala zake kwa wafu, akiwemo ^Bikra^ Maria?

Ni kwa msingi gani Ukatoliki unakubali Maandiko kama vile Mathayo 16:18, 19 wakati huohuo unatupilia mbali mavuvio mengine ya Maandiko kama vile Matendo 4:12?
Leta Ushahidi wa Kanisa Katoliki kupinga hivyo vifungu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
RC- Wanafundishwa Unyenyekevu na Utii.
Zaidi wanafundishwa namna ya kumuomba Mungu katika mambo yao mbalimbali kupitia.
1. Sala
2. Kitubio
3.Maombi.

Dini/Dhehebu lolote lazima liwe na mifumo(System) inayoliendesha.

Katika system, RC wamekuwa bora zaidi na ndio maana inawaumini wengi duniani.

Mamambo mengi ya madhehebu ya Kikristo yameanzishwa na hao RC, eg Jumuiya ndogondogo.

Tafsiri za Biblia zimekuwa na mikanganyiko tofauti kutokana na mapokeo, Eg Matumizi ya Sanamu. Kama unakumbuka Sanamu la nyoka lilotumika kuwaokoa wana wa Israel, (Hii alama ya nyoka imebaki kuwa alama kuu ya matibabu, ndio mana vyuo vinavyofundisha Madaktari, katika nembo zao, lazima alama ya Nyoka iwepo).

Unaposema kuifahamu Biblia, na ukajiridhisha kuwa Wakatoliki hawafahamu, hii ni kujitekenya mwenyewe!; wao ndio kama waanzilishi wa Biblia hii unayosema ww unaifaham zaidi kuliko wao.

Kila mtu ashinde mechi zake, huku tukifahamu duniani tuko huru kufuata kile tunachoona kinafaa.

Hakuna anayelazimishwa kuwa Mkatoliki.
Mkuu hapo umemaliza.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Dini ya kiyahudi ndiyo dini gani hiyo.....inaelekea ujui tofauti ya madhehebu na dini ?
Judaism or Jewish religion is based on the sacred books known as the Hebrew Scriptures.

It's a monotheistic religion of the Jews, tracing it's origin to Abraham and having its spiritual and ethical principles embodied chiefly in the Bible and the Talmud.

Soma hapo utaelewa maana ya dini ya Kiyahudi.
 
Kwahiyo sisi hapa tunaelezea dini au madhehebu ?
 
anasema eti Petro sio Mwamba?,Kwa hiyo unampinga Yesu?.Je,tuache kuyaamini Maandiko Matakatifu,tukuamini wewe?
Kwa hiyo Petro ndiye Ukatoliki? Hebu acheni ulaghai wa mchana kwenye masuala ya wokovu!

Kanisa la Mungu halijawahi kamwe kuwekwa chini ya mwanadamu yeyote awe kichwa cha kanisa; Wakristu wote ni watumishi wa Mungu wenye hadhi sawa, tangu viongozi waaminifu wa kiroho hadi muumini wa kawaida.

Kristu ndiye kichwa cha kanisa la Mungu. Efeso 5:23. Kristu ndiye Mwamba, Jiwe Kuu la Pembeni.
 
Acha Ujinga mkuu 😂 😂 😂 Mungu yupo whether unaamini au huamini yupo tu
Tupishe tujadili mambo yetu😀
Kuwepo kwako ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu au wewe ulijiumba?
mbona ukiona gari unaulizia mtengenezaji wake. why wewe ukose mtengenezaji wako. huyo aliyekutengeneza na kukupa uwezo wa kujikakamua hapa na kudai hakuna Mungu ndiye Mungu
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hoja yako ya kusema kuwepo kwangu ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu, kwa sababu mimi sijajiumba, ni sawasawa na wewe useme yule jasusi wa tamthiliya za Kiingereza 007 James Bond yupo, na ni baba yako, halafu nikikutaka uthibitishe kuwa huyo 007 James Bond yupo kweli, na ni baba yako, badala ya kunipa ushahidi, umlete hapa. tupime DNA, au utoe ushahidi wa kimantiki, unanijibu kwamba"kwani mimi nimejizaa?".

Ukweli kwamba wewe hujajizaa mwenyewe hauthibitishi James Bond 007 yupo kweli nje ya hadithi.

Vivyo hivyo, ukweli kwamba mimi sijajiumba si uthibitisho kwamba Mungu yupo.

Inawezekana kabisa mimi sijajiumba, nimezaliwa kwa wazazi wangu, na Mungu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo, umetoa hoja yenye logical fallacy ya "logical non sequitur" inayorahisisha jibu kizembe na kudai kwamba, kwa vile mimi nipo hapa, basi lazima nipo hapa kwa kuumbwa na Mungu, bila ya kuthibitisha Mungu yupo wala kutoa ushahidi wowote unaounganisha uwepo wangu na uwepo wa Mungu.

Huna tofauti kabisa na mtu anayesema James Bond 007 yupo kweli nje ya sinema na hadithi, na ni baba yake, halafu anashindwa hata kutoa ushahidi zaidi ya kusema "kwani mimi nimejizaa?".

Ukweli kwamba hujajizaa haumaanishi baba yako ni James Bond 007!
 
Yesu alivyompokea yule kahaba na kula naye, alibariki ukahaba?
Hebu fikiria kama Yesu leo angesema kwamba makabaha wanaweza kupokelewa kanisani na hata kuwa walezi wa kiroho!

Wadhambi wote aliowapokea, Kristu aliwasamehe matendo ya maovu na wakaishi maisha mapya chini ya neema ya Mungu.

Yohana 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.

Yohana 8:11
Yesu akamwambia, Wala Mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Je, ushoga ndivyo unavyokemewa leo na taasisi ya Ukatoliki?

Au si kwamba mashoga wanakaribishwa ndani ya mfumo wa Ukatoliki ili wawe sehemu yake na waendeleze uchuro wao?

Isisahaulike kwamba Sodoma na Gomora ziliangamia kwa sababu ya dhambi, mojawapo kuu ikiwa ni ushoga.
 
Sijanukuu habari hii toka mtandaoni bali kwenye vyombo rasmi vya habari vilivyokuwa vikimwuliza maswali papa Francis!

Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu, yeye sikuzote anakuwa nakikundi kidogo pemben kinachomuamini
Atakama ni wa chache
Kipind cha nuhu alikuwa na wanne
Kipind cha ruth sodoma na gomora alikiwa na nane tuu
Kipind cha yesu vile vile
Usizan kanisa lako kusali watu mashuhuri basi mungu atakuwepo umo.
Ama kisa ni watu wengi.
Mara mtume na nabii.

Inabidi umuombe mungu akuonyeshe ukweli.
Usimuwekee mpaka
Mara mbona kanisa letu halisemi hvyo, padri wetu hajawah kutufundisha ayo

Luka 12:32
[32]Msiogope, enyi kundi dogo; kwa kuwa Baba yenu ameona vema kuwapa ule ufalme.

Mithali 14:12
[12]Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu,
Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
There is a way which seemeth right unto a man, but the end thereof are the ways of death.

.
" Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu" . Baada ya kusoma hapa ndo nimejua kuwa wewe ni msabato..

Unahisi kwa sababu kundi lenu ni dogo kwamba ndo mpo na Mungu au mpo sahihi kuliko wengine ?
 
Back
Top Bottom