goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
1 Wakorintho 2:13-15Sijadiki imani, nakutaka utoe uthibitisho Mungu yupo.
Imani unaruhusiwa kuamini unavyotaka. Hii ni haki yako ya kikatiba.
Unaruhusiwa kuamini uongo pia, in fact kwenye kuamini hakuna kutenganisha uongo na ukweli, unaamini tu.
Kwenye kutafuta ukweli, hapo ndip9 tunatakiwa kuthibitisha mambo, kuondoka kwenye imani isiyo na uthibitisho.
Wewe umejikita katika imani isiyo na uthibitisho.
Unahubiri imani hiyo.
Nikikuambia uthibitishe Mungu yupo, mpaka sasa huwezi.
Kwa sababu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
[13]Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
[14]Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
[15]Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
Endelea kumtafuta mungu kwa macho
Au subiri unaweza ukamnusa siku
Ama kumsikia
Au kumuonja
Hisi zako tano hazitakusaidia kumjua
Inahitaji hisi ya sita.
Na pia unawes ukawa umewah kumuon mungu na ukampita