Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

Wapumbavu walokole mungu wao asikii mpaka waweke honi speaker
 
Mbona makelele ya misikiti na yenyewe tumeyapigia kelel mara nyingi tu humu!

Yaani kiufupi walokole na wale wote waliofunga vipaza sauti jwenye nyumba zao za ibada huku wakilazimisha watu wengine wasiohusika kusikia kile wanachokifanya, wanapiga kelele! Na kwa wenzetu Wazungu hicho kitu wanakitambua kama noise pollution.
 

1)ULOKOLE ni IMANI + UPUMBAVU

Na Mungu wa Malaria 2 hasikii hadi wawashe horn speakers
Ningekuwa Rais... wapumbavu wange koma... funguo za misikiti na makanisa zingekuwa zinaifadhiwa polisi hivyo misikiti na makanisa yange funguliwa siku moja tu kwa week...KUMCHA MUNGU NI KUTII MAAGIZO YAKE SIYO VINGINEVYO MUNGU AMEAGIZA KUWA SIKU MOJA TU KATI YA SIKU 7 NDIYO WATU WAJISHUGULISHE NA KUTOKUFANYA KAZI KISHA AKAAGIZA SIKU 6 IBADA YAKE NI KUFANYA KAZI ...hivyo kushinda makanisani na misikitini week nzima ni kutokumtii Mungu. Honi speaker ni uchafu misikitini na makanisani serikali inatakiwa kupiga marufuku maana kabla ya hizo honi dini zilikuwepo..
 
Na Mungu wa Malaria 2 hasikii hadi wawashe horn speakers
Hao wakina Malaria 2 na FaizaFoxy walishanikimbiaga hapa JF na wanakuja kwa kuvizia wakinikuta kwenye uzi wanatimka ...maana wanajua hoja zangu zinaweza zikawafanya wamtukana hadi mtume wao wenyewe sikuizi wameufyata...ila kitu nilicho gundua ni kuwa wapo makini ndiyo maana wananikimbia kwenye mada na hoja.
 
Kwanza fahamu hakuna kitu kinaitwa mungu wa walokole na neno walokole si neno rasmi bali ni kejeli na mzaha tu kwa watu waliojitenga na uovu. Kuna kalele za shangwe, kuna kuomba kwa kupaza sauti ni namna tu ya kufanya ibada. Mbona hushangai adhana kwenye loud speaker?
 
Pamoja na yote ukija na Mapepo yako yanakugalagza wewe, hafu ndio unaita walomole hao hao unaowatukana. Ukijidai kubali huko kwa wahesababu vinanii unakufa unajiona.

Ni style yetu ya kumuomba Mungu, Wala si kumshinikiza asikie kwasababu hata ukiwaza yeye anajua.

Kupitia Hilo, tunakupatieni sababu ya kutokujitetea siku ya hukumu. Kama kusikia neno mlisikia lakini mlikaza mishipa ya shingo kwa kuleta ujuaji na ustaarabu wa kipepo.

Tunafurahi kumpigia kelele za shangwe. Na habari njema ni kwamba anatujibu vilevile kwa ukubwa mno.
 

Ukiwa barabarani Kuna aina za magari na aina tofauti za horn, mpiga horn anaweza kuwapumbavu akapiga kwa nguvu au taratibu ila Malengo hutimia!

Mungu wetu sisi ni wa Rehema inawezekana tunampigia kelele kwa Hisia na kumkosea, ila hakupunguzi ukamilifu wake, kwa Rehema zake anatuchukulia wanawe!
 
THE BIG SHOW, The Boss , Ritz hebu njooni huku
 
Kumbe na wewe ni Mlokole 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…