Vibe kama vibe..hahaMkuu tunapiga kelele kutafuta vibe mzee
Hapana. Hawa wanaovaa mashati ya kitenge ni mandondocha. Kila asemacho mkewe yeye huitikia ndio.Halafu wale wavaao mashati ya vitenge ndio wale waendao kitafuta mademu kanisani.
Nyie mnaona mbingu ya saba ni karibu hivyo?!Imani yetu "sisi" wapiga mayowe ni kwamba,Mungu yupo mbali mnoo.Hivyo inabidi tupaze sauti zetu ili zifike mbingu ya Saba.Ameeen?
Hahaha, mkuu umepatia vizuri sana.Hapana. Hawa wanaovaa mashati ya kitenge ni mandondocha. Kila asemacho mkewe yeye huitikia ndio.
Hata mke wake alisema leo naenda kulala kwa nabii, jamaa huitika sawa mama, nakutakia usingizi mwema wenye upako
Kwanini hao masister hawashiki mimba za mapadri?!Mapadre wanawamiminia sana mbegu masisteri
Tena hawa wachungaji wanakula hadi wake za watu!Mbona hata wachungaji wenu huwa wanakula sana kondoo wao! Au wewe si mmoja wao? Waulize wenzako watakuambia.
Kuna kitengo maalum cha kuwachoropoa mimbaKwanini hao masister hawashiki mimba za mapadri?!
Kuna kitengo maalum cha kuwachoropoa mimbaKwanini hao masister hawashiki mimba za mapadri?!
Kuna msikiti coco Beach ⛱😁😁 itakuwa mashekh mudi boy wanataka kuitwa beach boy vipi mashekh watake msikiti kwenye maeneo kama hayo?MamaSamia2025 kajenga msikiti Coco Beach kwenye eneo la umma. Jengo ni la kudumu
Kuna kitengo maalum cha kuwachoropoa mimbaKwanini hao masister hawashiki mimba za mapadri?!
Hivi makanisa ya kikatoliki hayana spika za nje kweli?!Mbona makelele ya misikiti na yenyewe tumeyapigia kelel mara nyingi tu humu!
Yaani kiufupi walokole na wale wote waliofunga vipaza sauti jwenye nyumba zao za ibada huku wakilazimisha watu wengine wasiohusika kusikia kile wanachokifanya, wanapiga kelele! Na kwa wenzetu Wazungu hicho kitu wanakitambua kama noise pollution.
Shangwe ya mungu ni ya rohoni ...soma mariam anasema roho yangh yamshangiria bwana pia hizo shangwe za makelele mbona aziendani na matunda ya rohoni upendo wema uchamungu uhadilifu upole unyenyekevu nk tunaona kinyume chake wezi mataperi vibaka wahuni washenzi wanafiki nkKelele. Soma hiyo tafsiri ya Kingereza hujaona neno noises?
Ntumie hela yangu kwanza 😂 😂Kijana wangu umepotea sana. Au umeoa?
Kwa njia yake yeye pamoja naye na ndani yake wewe Mungu baba Mwenyezi katika umoja wa Roho Mtakatifu unavifanya vitu vyote kuwa sifa na heshima yako, milele na mileleWakatoliki huwa hatuna makelele! Hata kwenye mahubiri yetu (homilia) huwezi kumkuta Katekista/ Shemasi/Padre/Askofu ametokwa na mishipa ya shingo, macho yamemtoka, na mate yamejaa mdomoni; huku akipiga makelele 🗣️🎤 pepoo tookaa! Mbengo zemefongoka! Sharaghabar tashasha! 😁
Subiri mwisho wa mwezi sasa hivi nalishwa na mshangazi mmoja hivi.Ntumie hela yangu kwanza 😂 😂
Dragon.Hivi China wanamuabudu Nani?
Zaburi 68:3 Bali wenye haki hufurahi, Na kuushangilia uso wa Mungu, Naam, hupiga kelele kwa furaha.Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.