Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

Hiv
Hivi hiyo nayo inakuumiza kichwa?
Nafikiri tuwaache watu waombe watakavyo ili mradi hawavunji sheria!
 
Umenena vyema Ewe Mtumishi akili ya walokole nikama wametafuna Miraa full handasi!
 
Swala za waislamu msikitini kwa kile kipazasauti haziwezi zikawa kero maana wanaswali kwa muda mfupi na sio kwa makelele ya muziki, ni shekhe au imamu tu ndo watasikika wakiongoza....ila sisi makanisa ya kiroho bana ni habari nyingine tunaimba na mziki uko juu sana, tukiamua ule mkesha usiku kucha, ibada za jpili kuanzia sa 12 asubuhi mziki mkubwa uko on hadi hiyo wanamaliza sijui sa nne usiku watu wamekoma. Ukija kuangalia waumini waliomo unachoka hadi unakaa chini
 
Ushairi wako ni mzuri lakini kumpata mwenye vigezo nivitakvyo ndo shida
Vigezo vitengeneze wewe,

Mwanamke yupo chini ya mamlaka na mamlaka hayo ni wewe,

Ikiwa ataenda kinyume Hana budi kuomba msamaha au kumwondoa,

Ila yeye hawezi ji position as you want instead you are the one who make her better en best pengine
 
Vigezo vitengeneze wewe,

Mwanamke yupo chini ya mamlaka na mamlaka hayo ni wewe,

Ikiwa ataenda kinyume Hana budi kuomba msamaha au kumwondoa,

Ila yeye hawezi ji position as you want instead you are the one who make her better en best pengine
Ngoja niwaze mkuu.
 
Wakuu kuna mkoa niko likizo ila cha ajabu hii saa 11 nimeamshwa na mziki mzito sana wa maspika.
Nimejiuliza sana hawa watu kwanini hawajali watu wengine, wanawezaje kuacha wake zao vitandani alfajiri yote hii kuja kupigia watu kelele? Ni yesu gani ili asikie anahitaji makelele yote hayo?
 
Wafuasi wa manabii ni vichaa wanaovaa nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…