Tuko kwenye uhusiano kitambo, sema hizo weeksUkitaka kufukunyua sana hata utakapo pata mke kabisaa ndani ya ndoa.
Akipata mimba utakuja kutuuliza endapo yako au laa
What if huyo mke amepata kwa mtu wake hapohapo jirani? Kazini, classmate au vinginevo
Njia pekee ni DNA test. Na hii imeachanisha ndoa nyingi sana.
Lea mimba kwa imani
Chukuwa mke ...... alishakunogea 3weeks live bila chenga
Anzisheni familia endapo kuna vigezo at minimum anakidhi bibie.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mtoto wa kuibia.
Imagine mtoto ni wangu ila hiyo kauli ni sehemu ya mipango yake.. Yaani nahofia taarifa mimba imeharibikaHiyo sentensi yake ya "l will kill this kid" inatia shaka sana
Nimebahatika kukutana na wanawake wanaobumba mimba.Hiyo sentensi yake ya "l will kill this kid" inatia shaka sana
inaweza saidia japo kidogo em jaribu ww ndgNAKUSHAURI KWAMBA JARIBU KUWA KARIBU NA SIMU YAKE, SIKU AKIJISHAM FATILIA JUMBE NDIO UTAJUA MIMBA NI YA NANI
Hebu nipange mkuu... Hofu yangu ni kusikia Mimba imeharibika.. Isije ikawa manzi anaangalia kati ya washikaji zake yupi afadhaliNimebahatika kukutana na wanawake wanaobumba mimba.
Niliwahi kuambiwa hivo hivo miaka mingi imepita nikamjibu tu " utakavyoona inakufaa", akatumia hasira katoa ujauzito, hivi sasa umri umeshamwenda sana hawezi tena kuzaa anabaki anajilaumu mwenyeweImagine mtoto ni wangu ila hiyo kauli ni sehemu ya mipango yake.. Yaani nahofia taarifa mimba imeharibika
wordSasa Lea mtoto tu hakuna namba usiende kupima DNA wala nini
Mfanye Huyo mtoto kama malaika wa Mungu unaweza kuwa wako au sio wako.
Wewe mtunze huwezi jua ataweza kuwa msaada kwako huko mbele.
Huyo mwanamke unaweza kuwa hata hiyo mimba alishatoa
Sasa mbona unanifanya nimuaminiNiliwahi kuambiwa hivo hivo miaka mingi imepita nikamjibu tu " utakavyoona inakufaa", akatumia hasira katoa ujauzito, hivi sasa umri umeshamwenda sana hawezi tena kuzaa anabaki anajilaumu mwenyewe
"..i will kill this kid.."Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme...
Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3.
Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa taarifa kwa sababu mimi ndio mtu anaye amini ni muhusika mkuu Sterling wa hii movie. Binafsi niko tayari kulea hiyo mimba na mtoto,
Swali langu je kuna namna tofauti ya Kisaikolojia ya kudungua 100% kuwa mimi ndio streling hakuna nigga mwingine aliyejiongeza muda karibu na huu?
Nikichelewa kujibu SMS au kupokea simu nakuta malalamiko na. Ujumbe... 'I will kill this kid'
Moja ya mazungumzo yetu aliniambia hakuna anayejua so far zaidi yangu alitaka ajue baba nina uamuzi ganiNiliwahi kuambiwa hivo hivo miaka mingi imepita nikamjibu tu " utakavyoona inakufaa", akatumia hasira katoa ujauzito, hivi sasa umri umeshamwenda sana hawezi tena kuzaa anabaki anajilaumu mwenyewe
Sema na moyo/ nafsi yako juu ya hilo nduguSasa mbona unanifanya nimuamini
Nilikuwa nimemchunia ila baada ya hilo neno sikulala nawaza"..i will kill this kid.."
Ndio maana tunasema wanawake ni wakatili!! Alafu akijifungua utaskia nampenda mtoto wangu wakati alitaka kumuua!!
Kwa kifupi hapo huna mke ila una muuaji!!
Fanya vile moyo wako unakutumaMoja ya mazungumzo yetu aliniambia hakuna anayejua so far zaidi yangu alitaka ajue baba nina uamuzi gani