Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

Ukitaka kufukunyua sana hata utakapo pata mke kabisaa ndani ya ndoa.

Akipata mimba utakuja kutuuliza endapo yako au laa

What if huyo mke amepata kwa mtu wake hapohapo jirani? Kazini, classmate au vinginevo

Njia pekee ni DNA test. Na hii imeachanisha ndoa nyingi sana.

Lea mimba kwa imani

Chukuwa mke ...... alishakunogea 3weeks live bila chenga

Anzisheni familia endapo kuna vigezo at minimum anakidhi bibie.
 
Nakuonea huruma sana unazaa na mwanamke ambaye hana akili kichwani. Utajuta maisha yako yote labda abadilike na kujitambua. Ingekuwa mimi ningesubiri DNA kama si wangu ningeachana nae. Huyo dada hakufai. Mark my words
 
Ukitaka kufukunyua sana hata utakapo pata mke kabisaa ndani ya ndoa.

Akipata mimba utakuja kutuuliza endapo yako au laa

What if huyo mke amepata kwa mtu wake hapohapo jirani? Kazini, classmate au vinginevo

Njia pekee ni DNA test. Na hii imeachanisha ndoa nyingi sana.

Lea mimba kwa imani

Chukuwa mke ...... alishakunogea 3weeks live bila chenga

Anzisheni familia endapo kuna vigezo at minimum anakidhi bibie.
Tuko kwenye uhusiano kitambo, sema hizo weeks
 
NAKUSHAURI KWAMBA JARIBU KUWA KARIBU NA SIMU YAKE, SIKU AKIJISHAM FATILIA JUMBE NDIO UTAJUA MIMBA NI YA NANI
 
Hiyo sentensi yake ya "l will kill this kid" inatia shaka sana
 
Imagine mtoto ni wangu ila hiyo kauli ni sehemu ya mipango yake.. Yaani nahofia taarifa mimba imeharibika
Niliwahi kuambiwa hivo hivo miaka mingi imepita nikamjibu tu " utakavyoona inakufaa", akatumia hasira katoa ujauzito, hivi sasa umri umeshamwenda sana hawezi tena kuzaa anabaki anajilaumu mwenyewe
 
Sasa Lea mtoto tu hakuna namba usiende kupima DNA wala nini
Mfanye Huyo mtoto kama malaika wa Mungu unaweza kuwa wako au sio wako.

Wewe mtunze huwezi jua ataweza kuwa msaada kwako huko mbele.
Huyo mwanamke unaweza kuwa hata hiyo mimba alishatoa
word
 
Niliwahi kuambiwa hivo hivo miaka mingi imepita nikamjibu tu " utakavyoona inakufaa", akatumia hasira katoa ujauzito, hivi sasa umri umeshamwenda sana hawezi tena kuzaa anabaki anajilaumu mwenyewe
Sasa mbona unanifanya nimuamini
 
Unataka uhakika upi..!!.lea mimba mwanao huyo
 
Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme...

Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3.

Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa taarifa kwa sababu mimi ndio mtu anaye amini ni muhusika mkuu Sterling wa hii movie. Binafsi niko tayari kulea hiyo mimba na mtoto,

Swali langu je kuna namna tofauti ya Kisaikolojia ya kudungua 100% kuwa mimi ndio streling hakuna nigga mwingine aliyejiongeza muda karibu na huu?

Nikichelewa kujibu SMS au kupokea simu nakuta malalamiko na. Ujumbe... 'I will kill this kid'
"..i will kill this kid.."

Ndio maana tunasema wanawake ni wakatili!! Alafu akijifungua utaskia nampenda mtoto wangu wakati alitaka kumuua!!

Kwa kifupi hapo huna mke ila una muuaji!!
 
Niliwahi kuambiwa hivo hivo miaka mingi imepita nikamjibu tu " utakavyoona inakufaa", akatumia hasira katoa ujauzito, hivi sasa umri umeshamwenda sana hawezi tena kuzaa anabaki anajilaumu mwenyewe
Moja ya mazungumzo yetu aliniambia hakuna anayejua so far zaidi yangu alitaka ajue baba nina uamuzi gani
 
Njia ya kwanza ni kujihakikisha uwezo wako wa kumpa mwanamke ujauzito, njia ya pili DNA. Wao wenyewe hawajuagi 100% ni nani muhusika kama alikutana na wanaume zaidi ya mmoja ndani ya muda mfupi. Lets say same month.
 
"..i will kill this kid.."

Ndio maana tunasema wanawake ni wakatili!! Alafu akijifungua utaskia nampenda mtoto wangu wakati alitaka kumuua!!

Kwa kifupi hapo huna mke ila una muuaji!!
Nilikuwa nimemchunia ila baada ya hilo neno sikulala nawaza
 
Back
Top Bottom