Kwa upande wa nafsi athari ni kubwa mnooWazo hili lina uzito zaidi kwenye fikra kuliko kwenye sayansi
Mwanamke habebi DNA za waliopita, bali hubeba kumbukumbu, hisia, na athari za uzoefu—na hizo ndizo ‘alama’ halisi za mahusiano.
Kwa maneno mengine, si mwili unaobeba wanaume wote…... ni nafsi
Kuna kipindi cha nyuma nilikuwa na yule binti then tunafanya uzinzi alitamka jina la mwanaume wake ambae alikuwa akiniambia ni rafiki yake.
Yaah for sure broKwa upande wa nafsi athari ni kubwa mnoo
Huyo jamaa kuna wenzake watatu huwambii kitu kwenye maswala ya imaniYaah for sure bro
Lakini kwa sisi tunaoamini katika Mungu,
Uyu Infropreneur atabisha nusu kurusha risasi kama tupo chicago
Upo sawa kabisa,,👆Kwa upande wa nafsi athari ni kubwa mnoo
Wanaopaswa kuwa mirembe wanazurula mitaani bwashee!Duh sikujua kama wanasaka bikra kwa lengo hilo😅
Bwashee hali ni mbaya sana😅Wanaopaswa kuwa mirembe wanazurula mitaani bwashee!
Sana,kuna mijamaa Huwa inafanya vitu vya hovyo mpaka Unabaki unajiuliza hawa walimaliza kweli darasa la Saba🤣🤣🤣🤣🤣Bwashee hali ni mbaya sana😅
Shibe, ni kula zako tu popcorn 🍿😅Sana,kuna mijamaa Huwa inafanya vitu vya hovyo mpaka Unabaki unajiuliza hawa walimaliza kweli darasa la Saba🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu unachanganya Vitu microchimerism ipo, lakini haiithibitishi telegonyKuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja kuzaa wakawa na tabia au muonekano unaofanana na wanaume hao wa zamani. Sasa swali la msingi linabakihii- ni kweli ya kisayansi au ni imani tu iliyojengeka?
Ukiangalia upande wa sayansi ya urithi, yaani Genetics, mtoto hupatikana pale ambapo yai la mwanamke linakutana na mbegu ya mwanaume mmoja tu. Hapo ndipo DNA za wazazi wawili zinachanganyika na kuunda mtoto. Hakuna mfumo unaoruhusu DNA ya mwanaume wa zamani kuja “kuingilia” mtoto wa mwanaume mwingine. Mfano rahisi ni huu: kama mwanamke alishawahi kuwa na mwanaume A miaka 3 iliyopita, halafu leo akapata mimba na mwanaume B, mtoto atakayezaliwa atachukua vinasaba kutoka kwa mama na mwanaume B pekeesio- A, wala C, wala mwingine yeyote aliyepita.
Chanzo cha mkanganyiko huu mara nyingi hutajwa kuwa ni kitu kinachoitwa Microchimerism. Hii ni hali ambapo seli chache sana za mtu mwingine zinaweza kubaki mwilini, mara nyingi kati ya mama na mtoto wakati wa ujauzito. Kwa mfano, mama anaweza kubaki na baadhi ya seli za mtoto wake kwa muda mrefu baada ya kujifungua. Lakini jambo la muhimu kuelewa hapa ni kwamba hali hii haimaanishi kubeba “DNA kamili” ya watu wengi kwa namna ya kuathiri watoto wa baadaye. Ni kiwango kidogo sana cha seli ambacho hakibadilishi urithi wa mtoto atakayezaliwa.
Ili kuweka wazi zaidi, fikiria mfano huu: kama kweli mwanamke angebeba DNA za wanaume wote aliowahi kulala nao, basi dunia ingekuwa na hali ya kushangaza sanamtoto- angeweza kuwa na mchanganyiko wa sura au tabia za watu ambao si wazazi wake kabisa. Lakini hali hii haionekani katika uhalisia wala haijaungwa mkono na tafiti za kisayansi. Watoto wanafanana na wazazi wao kwa sababu ya vinasaba wanavyorithi, si kwa sababu ya historia ya mahusiano ya mama.
Kwa hiyo hii dhana ya kwamba “uzae na mwanamke bikra ili kuepuka DNA za wanaume wengine” haina msingi wa kisayansi, bali inaegemea zaidi kwenye mitazamo ya kijamii na kitamaduni. Hii haimaanishi kwamba afya ya mahusiano haijalishikinachotakiwa- kupewa kipaumbele ni kujilinda dhidi ya magonjwa ya zinaa, kufanya vipimo, na kuwa na uaminifu katika mahusiano.
Mwisho wa siku, ni muhimu kutofautisha kati ya sayansi na imani. Sio kila kinachosambaa mtandaoni kina ukweli ndani yake. Elimu sahihi ndiyo inasaidia kufanya maamuzi sahihi.
Kwahiyo wanangu bikra sio kitu muhimu sana cha kufanya uogope kuanzisha familia na hawa second hand walio sokoni 😀😀😀
Anabeba vinasaba vya mawazo, kuna alama inawekwa kichwani kwake ndo maana ni mara chache sana mwanamke atamuona mwanaume aliyewahi kushiriki naye tendo halafu asimtambue. Huwa wanakumbuka mpaka mikunjo waliyokunjwa siku husika.Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja kuzaa wakawa na tabia au muonekano unaofanana na wanaume hao wa zamani. Sasa swali la msingi linabakihii- ni kweli ya kisayansi au ni imani tu iliyojengeka?
Ukiangalia upande wa sayansi ya urithi, yaani Genetics, mtoto hupatikana pale ambapo yai la mwanamke linakutana na mbegu ya mwanaume mmoja tu. Hapo ndipo DNA za wazazi wawili zinachanganyika na kuunda mtoto. Hakuna mfumo unaoruhusu DNA ya mwanaume wa zamani kuja “kuingilia” mtoto wa mwanaume mwingine. Mfano rahisi ni huu: kama mwanamke alishawahi kuwa na mwanaume A miaka 3 iliyopita, halafu leo akapata mimba na mwanaume B, mtoto atakayezaliwa atachukua vinasaba kutoka kwa mama na mwanaume B pekeesio- A, wala C, wala mwingine yeyote aliyepita.
Chanzo cha mkanganyiko huu mara nyingi hutajwa kuwa ni kitu kinachoitwa Microchimerism. Hii ni hali ambapo seli chache sana za mtu mwingine zinaweza kubaki mwilini, mara nyingi kati ya mama na mtoto wakati wa ujauzito. Kwa mfano, mama anaweza kubaki na baadhi ya seli za mtoto wake kwa muda mrefu baada ya kujifungua. Lakini jambo la muhimu kuelewa hapa ni kwamba hali hii haimaanishi kubeba “DNA kamili” ya watu wengi kwa namna ya kuathiri watoto wa baadaye. Ni kiwango kidogo sana cha seli ambacho hakibadilishi urithi wa mtoto atakayezaliwa.
Ili kuweka wazi zaidi, fikiria mfano huu: kama kweli mwanamke angebeba DNA za wanaume wote aliowahi kulala nao, basi dunia ingekuwa na hali ya kushangaza sanamtoto- angeweza kuwa na mchanganyiko wa sura au tabia za watu ambao si wazazi wake kabisa. Lakini hali hii haionekani katika uhalisia wala haijaungwa mkono na tafiti za kisayansi. Watoto wanafanana na wazazi wao kwa sababu ya vinasaba wanavyorithi, si kwa sababu ya historia ya mahusiano ya mama.
Kwa hiyo hii dhana ya kwamba “uzae na mwanamke bikra ili kuepuka DNA za wanaume wengine” haina msingi wa kisayansi, bali inaegemea zaidi kwenye mitazamo ya kijamii na kitamaduni. Hii haimaanishi kwamba afya ya mahusiano haijalishikinachotakiwa- kupewa kipaumbele ni kujilinda dhidi ya magonjwa ya zinaa, kufanya vipimo, na kuwa na uaminifu katika mahusiano.
Mwisho wa siku, ni muhimu kutofautisha kati ya sayansi na imani. Sio kila kinachosambaa mtandaoni kina ukweli ndani yake. Elimu sahihi ndiyo inasaidia kufanya maamuzi sahihi.
Kwahiyo wanangu bikra sio kitu muhimu sana cha kufanya uogope kuanzisha familia na hawa second hand walio sokoni 😀😀😀
black joe!Wazo hili lina uzito zaidi kwenye fikra kuliko kwenye sayansi
Mwanamke habebi DNA za waliopita, bali hubeba kumbukumbu, hisia, na athari za uzoefu—na hizo ndizo ‘alama’ halisi za mahusiano.
Kwa maneno mengine, si mwili unaobeba wanaume wote…... ni nafsi
Kuna kipindi cha nyuma nilikuwa na yule binti then tunafanya uzinzi alitamka jina la mwanaume wake ambae alikuwa akiniambia ni rafiki yake.
Sifahamu lolote.black joe!
unafahamu nini kuhusu male microchimerism au kwa jina lisilo rasmi Sperm-mediated microchimerism ?
Nafsi Nafsi Nafsi, hapa unaweza ukawa upo sahihi.Wazo hili lina uzito zaidi kwenye fikra kuliko kwenye sayansi
Mwanamke habebi DNA za waliopita, bali hubeba kumbukumbu, hisia, na athari za uzoefu—na hizo ndizo ‘alama’ halisi za mahusiano.
Kwa maneno mengine, si mwili unaobeba wanaume wote…... ni nafsi
Kuna kipindi cha nyuma nilikuwa na yule binti then tunafanya uzinzi alitamka jina la mwanaume wake ambae alikuwa akiniambia ni rafiki yake.
Nimeishia kusoma hapa.Sio kila kinachosambaa mtandaoni kina ukweli ndani yake.