Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

DNA huwa zinabaki katika maeneo ya mwili wa mwanamke mfano ini, ubongo n.k. Hivyo inawezekana mtoto akarithi baadhi ya vitu kutoka kwa ex wa mwanamke mfano mwangilie huyo mtoto wa kiume wa vanesa mdee na rotimi. Utaona amefanana fanana na jux.
 

Attachments

  • IMG_20260330_021626.jpg
    569.1 KB · Views: 23
DNA huwa zinabaki katika maeneo ya mwili wa mwanamke mfano ini, ubongo n.k. Hivyo inawezekana mtoto akarithi baadhi ya vitu kutoka kwa ex wa mwanamke mfano mwangilie huyo mtoto wa kiume wa vanesa mdee na rotimi. Utaona amefanana fanana na jux.
Kataa ndoa linda maisha yako, kataa kutibu majeraha ya usio wajua.
 
Mwili unahifadhi kumbukumbu na sio Brain?
 
Inawezekana mkuu, kwenye kuulizia ulizia mdada utan utan anasema ikitokea nimefanya mapenz na wewe bas hata siku ukija umenifunga macho nitajua tuu huyu ni fulani😄
Nadhani sperm zinaacha taarifa zako kwake, sijui.
How?
 
DNA huwa zinabaki katika maeneo ya mwili wa mwanamke mfano ini, ubongo n.k. Hivyo inawezekana mtoto akarithi baadhi ya vitu kutoka kwa ex wa mwanamke mfano mwangilie huyo mtoto wa kiume wa vanesa mdee na rotimi. Utaona amefanana fanana na jux.
DNA inapenyaje kutoka kwenye uke hadi kulifikia ini au kuufikia ubongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…