Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 183
- 266
Ni mwanamke mtu mzima 43 years.
Alipata miscarriage 3.
Akawa hapati tena ujauzito.
Sasa amepata tena ila dalili sio njema.
Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili.
Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni.
Lakini mimi nina mashaka atazaa tena kweli huyu?
Maana mwezi mmoja na nusu tayari kasheshe zimeanza.
Nachoka kabisaaa.