Ndio mimi ni kibenten chake.Kichwa cha habari kinaonesha wewe ni kibeenten chake huyo mama mtu mzima. Miaka 43 bado mdogo sana
Umejuaje? Wewe mtabiriNdio mimi ni kibenten chake.
At least that’s where your ability to think ended.
Eid Mubarak to you!Umejuaje? Wewe mtabiri
Haifaidhina mkuu wanguEid Mubarak to you!
relax gentleman,Ni mwanamke mtu mzima 43 years.
Alipata miscarriage 3.
Akawa hapati tena ujauzito.
Sasa amepata tena ila dalili sio njema.
Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili.
Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni.
Lakini mimi nina mashaka atazaa tena kweli huyu?
Maana mwezi mmoja na nusu tayari kasheshe zimeanza.
Nachoka kabisaaa.
Miaka 43 ni Bibi?Bibi wa miaka 43 mtoto wa nini tena ? Anyway , inawezekana ila kwa shida shida na kubahatisha kwa baadhi ya watu.
Asante sana Dr.
Vipi hiyo hali ya kutoka viuchafu vyenye damu ni dalili za miscarriage au ni nini??
Hilo jambo linanigharimu sana mkuu.Akijaaliwa kupata mwana, atakuja kustaafu with 60yrs old ndipo mwanawe anamaliza kidato cha nne.
Maoni yangu ni hayo tu mkuu...
Miaka 43 mzee, mbona bado ka'miaka mitatu ama zaidi mbele huko?Huyo kashafika menopause
Mwanamke anapungua mayai 35+ halaf ni umri wa pre menopauseMiaka 43 mzee, mbona bado ka'miaka mitatu ama zaidi mbele huko?
Our last born tulimzaa nikiwa na 40 na thank God alikuja na mibaraka tele Allah alitubariki maradufu hata hatupungukiwi ingawa kuna wakati tunakosa.Hilo jambo linanigharimu sana mkuu.
Angalizo lako hilo 'pendwa' liwafikie wapenzi wanandoa watarajiwa na vijana wote waliomo kwenye ndoa, kupanga uzazi wa mpango/malengo wa mapema!
Wasizae kwa mazoea ama kwa kujifurahisha, itawacost sana uzeeni hiyo.
'...Baba ada ya shule...' neno hilo linapendeza masikioni ukiwa bado kazini ama makamo ya kuchacharika na siyo uzeeni.
Mi nnavitoto vyangu vya kustaafia, 'ivi, viwili!
Muziki wake baba, hadi najua kwamba sijui.