Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 183
- 266
Ana changamoto ya hormone imbalance.Usichoke
Endeleeni kumsikiliza daktari wake hakuna linaloshindikana,miaka 43 anaweza kufanikiwa
Hospital anakweda kubwa maana ana bima kubwa ya afya.Ina wezekana ka uko vizuri, jaribu kuwacheki ma specialist wa hospital kubwa.
Ka Yuko vizuri vipi Tena braza,wakati bibie tayari mjamzito!Ina wezekana ka uko vizuri, jaribu kuwacheki ma specialist wa hospital kubwa.
Vipi kuhusu ushauri wako kwake?Akijaaliwa kupata mwana, atakuja kustaafu with 60yrs old ndipo mwanawe anamaliza kidato cha nne.
Maoni yangu ni hayo tu mkuu...
Surrogate mother.Kuna program za kubebeana mimba kama alivofanya kim kardashian. Sijui inaitwaje ile, ila matabibu watakujibu.
Nasubiri wataalam waje wamshauri ili nami nisome ushauri wao mkuuVipi kuhusu ushauri wako kwake?
Pole sana.Ni mwanamke mtu mzima 43 years.
Alipata miscarriage 3.
Akawa hapati tena ujauzito.
Sasa amepata tena ila dalili sio njema.
Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili.
Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni.
Lakini mimi nina mashaka atazaa tena kweli huyu?
Maana mwezi mmoja na nusu tayari kasheshe zimeanza.
Nachoka kabisaaa.
Kuwa vizuri namaanisha kimfuko bibie, si unajua kuna hospital wana special treatment na docs kwenye issue hizoKa Yuko vizuri vipi Tena braza,wakati bibie tayari mjamzito!
Asante sana Dr.Pole sana.
Ndiyo, anaweza kubeba mimba, lakini itabidi azingatie sana ushauri na dawa ambazo amepatiwa.
Mwanamke akifikisha miaka 35 na kuendelea idadi na ubora wa mayai yake huanza kupungua kidogo kidogo.
Kwa hiyo kwa mwenye miaka 43 tayari kiwango na ubora wa mayai umepungua na kwa baadhi huanza kupata mvurugiko wa hedhi au wengine kwa umri huo hedhi huanza kukoma.
Hivyo wanaweza kubeba mimba lakini hatari ya mimba kuharibika ipo pia.
Ni muhimu sana akazingatia ushauri wa daktari pamoja na dawa atakazopatiwa za kusaidia mimba kukua (kuepuka mimba kuharibika ikiwa changa nk).
Pia siku hizi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia hata mwanamke mwenye miaka 48 au 50 anaweza kubeba mimba kupitia urutubishaji wa mayai kwenye maabara maalumu (IVF), japo ni gharama sana, si wengi wanaweza kumudu lakini inawezekana kabisa.
Kila la kheri.
Kichwa cha habari kinaonesha wewe ni kibeenten chake huyo mama mtu mzima. Miaka 43 bado mdogo sanaAsante sana Dr.
Vipi hiyo hali ya kutoka viuchafu vyenye damu ni dalili za miscarriage au ni nini??