Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.

Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake wengine na kuishi kwenye familia kama mama wa nyumbani au ndo basi tena akishavuta bangi hafai kuoa mana ataleta usumbufu kwenye familia? Je wazazi, wifi na shemeji wakigundua kuwa mke ni mvuta bangi wanamchukuliaje mme wake?

Mana swali kubwa kwa sisi wanaume kama mke ni mvuta bangi mwanaume atakapofariki ghafla au kupatwa na tatizo upi usalama wa familia na mali zake kama anabaki huyu mwanamke mvuta bangi?
wengi wanavuta
 
Bangi iheshimiwee tafadhariiii.

Wala skanka wotee peponii, 45 namba chafu,
Huruma sio malezi, mitaa inatuleaa.

45 kikosii kaziii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora huyo mvuta bangi maana ataivuta Kwa kujificha,kuliko mlevi wa pombe ambae anakunywa muda wowote na hajali kuhusu majukumu.
 
Asha ushoga wewe.Hiyo ni sawa na kupata Bata anayetaga yai la dhahabu,Yaani Mimi natafuta sana Demu mvuta ndumu.Nlishakuwa nae mmoja wayback,she was an angel,ila alienda zake uholanzi,I missed dat pus*y.
Hawasumbui kwenye familia?
 
Funga arusi utapata experience huko huko, wewe unataka waolewe na nani?

Toka nizaliwe na miaka yangu 50 sijawahi shika bangi, au ona mwanamke anavuta.

Ni ajabu hata kusikia mtu anaweza kufikiri kuoa mvuta bangi, ni ajabu sana umeuliza, nilifikiri unatania, pole.
Kweli kiongozi nilifikiri ni wasumbufu kwenye familia
 
Funga arusi utapata experience huko huko, wewe unataka waolewe na nani?

Toka nizaliwe na miaka yangu 50 sijawahi shika bangi, au ona mwanamke anavuta.

Ni ajabu hata kusikia mtu anaweza kufikiri kuoa mvuta bangi, ni ajabu sana umeuliza, nilifikiri unatania, pole.
Ni ajabu kwako, mwanamke kuvuta bangi ni ulevi kama ulevi mwingine kama upendi unaongea naye aachane na kilevi hicho.

Ila mwanamke teja ndio hafai, unga ni albadiri ya kihindi ile haumuachi Salama Mtumishi yeyote.
 
Mungu atakupa wa kufanana nae

Kama wewe wavuta bangi haina ubaya wa kuoa mvuta bangi mwenzako na mfano wa hivyo pia, kama hauvuti bangi haipendezi kuoa anaye vuta bangi

Ila mapenzi yakikuzidi haina tatzo unaweza kuishi na hata jambazi kama ww ni mlokole au ostadhati/ostaz..mapenzi yana nguvu sanaa
 
Back
Top Bottom