DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Huku Arusha mwanamke kuvuta bangi ni kama huko kwenu Dar mwanamke kula popcorn 🍿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajeshi wengi wanavuta bangi lakini wanaendesha maisha vizuri tu. Hata mwanamke akivuta bangi, bado ana uwezo wa kutunza na kuilinda familia yake.Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.
Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake wengine na kuishi kwenye familia kama mama wa nyumbani au ndo basi tena akishavuta bangi hafai kuoa mana ataleta usumbufu kwenye familia? Je wazazi, wifi na shemeji wakigundua kuwa mke ni mvuta bangi wanamchukuliaje mme wake?
Mana swali kubwa kwa sisi wanaume kama mke ni mvuta bangi mwanaume atakapofariki ghafla au kupatwa na tatizo upi usalama wa familia na mali zake kama anabaki huyu mwanamke mvuta bangi?

Unalinganisha kiwembe na panga kisa vyote vina makali unasahau kazi zake?Kwann kwa mwanamke picha ya ajabu kwa mwanaume isiwe picha ya ajabu
Mawazo potofu na hayana uhalisia, woiiiiiihKupungua kwa idadi ya wanawake wenye maadili na discipline isikufanye kushusha vigezo vya asili vya mke. Mwanamke kuvuta bangi ilikuwa ni maamuzi yake binafsi sio maagizo ya MUNGU, why sasa unataka kumuingiza katika maagizo ya MUNGU ili awe mke wa ndoa?
Ni bora uwe malaya ila kuliko kula kiapo cha kujenga uzao na mwanamke kahaba, mzaa watoto nje ya ndoa, muongo, mdangaji, mtoa ujauzito, mpenda pesa/mali, mwenye tamaa za mambo makubwa kushinda uhalisia wake, etc.
Kataa mwanamke yoyote ambaye hafit profile ya mke mwema kwasababu haimgharimu chochote binti kujitunza na kufuata muongozo wa vitabu vya imani na kuishi kwa njia za kujitunza.
Mtu anavuta bangi tafsiri yake huyo hajitambui na hajielewi yeye ni nani na majukumu yake ya kike. Ni vema kuishi kwa mipaka na kujiheshimu.
Mwanamke anayevuta bangi si ajabu ameshawahi fanya mambo ya ajabu na huwa wanakuwa na company ya wahuni. Je unajua wamefanya mambo mangapi katika uhuni wao?
Sijashangazwa na komenti yako. Uganda imepiga marufuku ushoga na lesbiansMawazo potofu na hayana uhalisia, woiiiiiih
Hii kitu naona wahalalishe tujue moja tuHuku Arusha mwanamke kuvuta bangi ni kama huko kwenu Dar mwanamke kula popcorn 🍿