Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

Ni ajabu kwako, mwanamke kuvuta bangi ni ulevi kama ulevi mwingine kama upendi unaongea naye aachane na kilevi hicho.

Ila mwanamke teja ndio hafai, unga ni albadiri ya kihindi ile haumuachi Salama Mtumishi yeyote.

"Unaongea naye anaacha"
 
Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.

Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake wengine na kuishi kwenye familia kama mama wa nyumbani au ndo basi tena akishavuta bangi hafai kuoa mana ataleta usumbufu kwenye familia? Je wazazi, wifi na shemeji wakigundua kuwa mke ni mvuta bangi wanamchukuliaje mme wake?

Mana swali kubwa kwa sisi wanaume kama mke ni mvuta bangi mwanaume atakapofariki ghafla au kupatwa na tatizo upi usalama wa familia na mali zake kama anabaki huyu mwanamke mvuta bangi?
Nobody is perfect.. Kama havuti mjani hawezikosa mapungufu mengine! Kikubwa asilimia za mapungufu zisizidi za mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibi zenu walibugia ugoro na wakaolewa wakalea baba na mama zenu katika maadili sawa ,sasa wa bangi atashindwa nini kutimiza majukumu yake

Siku ukipewa uchague kati ya mwanamke anayetumia pombe,sigara,mzaramo au anayevuta bangi.Nakushauri chagua mvuta bangi utakuja kushukuru huko mbeleni kuliko hizi type nyingine

Bangi reaction yake haina shida kubwa kama pombe au vilevi vingine ni vile tu jamii iliamua kutengeza maelezo mabovu kuhusu bangi
 
Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana. Ukishaweka neno LAKINI ndo basi tena!!
 
Bibi zenu walibugia ugoro na wakaolewa wakalea baba na mama zenu katika maadili sawa ,sasa wa bangi atashindwa nini kutimiza majukumu yake

Siku ukipewa uchague kati ya mwanamke anayetumia pombe,sigara,mzaramo au anayevuta bangi.Nakushauri chagua mvuta bangi utakuja kushukuru huko mbeleni kuliko hizi type nyingine

Bangi reaction yake haina shida kubwa kama pombe au vilevi vingine ni vile tu jamii iliamua kutengeza maelezo mabovu kuhusu bangi
Asee
 
Mungu atakupa wa kufanana nae

Kama wewe wavuta bangi haina ubaya wa kuoa mvuta bangi mwenzako na mfano wa hivyo pia, kama hauvuti bangi haipendezi kuoa anaye vuta bangi

Ila mapenzi yakikuzidi haina tatzo unaweza kuishi na hata jambazi kama ww ni mlokole au ostadhati/ostaz..mapenzi yana nguvu sanaa
Hii noma😂
 
Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.

Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake wengine na kuishi kwenye familia kama mama wa nyumbani au ndo basi tena akishavuta bangi hafai kuoa mana ataleta usumbufu kwenye familia? Je wazazi, wifi na shemeji wakigundua kuwa mke ni mvuta bangi wanamchukuliaje mme wake?

Mana swali kubwa kwa sisi wanaume kama mke ni mvuta bangi mwanaume atakapofariki ghafla au kupatwa na tatizo upi usalama wa familia na mali zake kama anabaki huyu mwanamke mvuta bangi?
Kipindi nipo chuo mwaka wa mwisho naelekea kuhitimu, Maza akanipigia simu kwamba sista anavuta bangi Tena akiwepo nyumbani kukiwa na wadogo zetu wadogo wazazi hawapo anayonga vitu vyake huku wanamuona.

Majibu niliyompq ndo yakamshangaza.....
"Nilimwambia haiwezekani dada yangu avute bangi halafu Mimi mwanaume nimekaa tu sivuti, nikamwambia na mimi lazima nivute bangi"

Nilivyorudi kitaa nikakuta washikaji zangu wote wanavuta bangi wakawa Wana kula vitu vyao dogo mmoja huku akiwa anayonga pembeni Kuna kisado Cha bangi,, akaniuliza vipi unatumia miba? Nikamwambia ndo naisubilia hiyo ukimaliza kunyoga uwashe unitembezee ebanaee liliibuka shange kibao kama lulu ametoka jela.

Nilivyo piga pafu mbili nilionekana sio mvutaji maana niliishia kukohoa sana ndo ivo nikapiga pafu zingine za kutosha ila ndo ikawa siku ya mwisho kuvuta.
 
Kama anajuankutafuta hela na Yuko smart,mambo mengine Siri za ndani
 
Kama na wewe unavuta angalau
Ila ni hatari mno kwa kizazi chako na kesho yako.
Bangi ndio Gate ya madawa mengine
 
Kwani akivuta anakuaje? Mimi navuta na maisha yanasonga, hakuna anayejua kama navuta natekeleza majukumu yangu kama kawaida.
Na mtu akiniona hawezi jua kama navuta. Labda utueleze yeye akivuta anakuaje?
Natoka zangu mishemishe, nakoga maji. Then natengewa msosi, namaliza nahamia bedroom. Nakuta mama chanja ameshawasha kitu sativa, anapiga puff kadhaa then ananipasia. Najilaza kitandani, nakula kush taratibu huku babymama anapiga blow job maniner!

I'm high like a kite, hata mkiigawa bure bandari, I won't give a damn shit!
 
story of my life.
Nasmoke na mr basi burudani ya kutosha. Sometimes tukiwa na ugomvi weed inasuluhisha😅
Bandari iuzwe tu
 
Kwani akivuta anakuaje? Mimi navuta na maisha yanasonga, hakuna anayejua kama navuta natekeleza majukumu yangu kama kawaida.
Na mtu akiniona hawezi jua kama navuta. Labda utueleze yeye akivuta anakuaje?
Hupati shida hapo kwenye kuonekana unanunua? Mi nachowapendea wavuta bangi ni kama ndugu wakikutana wanajuana hata sijui Huwa wanajuanaje Ukiwa ugenini na unakula miba bas utajiona kama uko nyumbani.
 
Ukiwa ugenini ni ngumu kupata maana ni hadi uwe na uhakika wa sehemu inapatikana.
Ukikomaa unaipata vzr tu😅
 
Back
Top Bottom