Je, Mwanamke mvuta Bangi anafaa Kuolewa?

wengi wanavuta
 
Bangi iheshimiwee tafadhariiii.

Wala skanka wotee peponii, 45 namba chafu,
Huruma sio malezi, mitaa inatuleaa.

45 kikosii kaziii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora huyo mvuta bangi maana ataivuta Kwa kujificha,kuliko mlevi wa pombe ambae anakunywa muda wowote na hajali kuhusu majukumu.
 
Asha ushoga wewe.Hiyo ni sawa na kupata Bata anayetaga yai la dhahabu,Yaani Mimi natafuta sana Demu mvuta ndumu.Nlishakuwa nae mmoja wayback,she was an angel,ila alienda zake uholanzi,I missed dat pus*y.
Hawasumbui kwenye familia?
 
Kweli kiongozi nilifikiri ni wasumbufu kwenye familia
 
Ni ajabu kwako, mwanamke kuvuta bangi ni ulevi kama ulevi mwingine kama upendi unaongea naye aachane na kilevi hicho.

Ila mwanamke teja ndio hafai, unga ni albadiri ya kihindi ile haumuachi Salama Mtumishi yeyote.
 
Mungu atakupa wa kufanana nae

Kama wewe wavuta bangi haina ubaya wa kuoa mvuta bangi mwenzako na mfano wa hivyo pia, kama hauvuti bangi haipendezi kuoa anaye vuta bangi

Ila mapenzi yakikuzidi haina tatzo unaweza kuishi na hata jambazi kama ww ni mlokole au ostadhati/ostaz..mapenzi yana nguvu sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…